Gavano23
JF-Expert Member
- Jan 30, 2022
- 2,056
- 5,340
Nchi ngumu hiiDuuuuh ... Yaan huu mwez Hadi Leo tarehe 2 hakuna hata pdf ya Usaili.. hawa viongozi vipi jamani..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ngumu hiiDuuuuh ... Yaan huu mwez Hadi Leo tarehe 2 hakuna hata pdf ya Usaili.. hawa viongozi vipi jamani..?
Unaenda kufanya ya taasisi gani mkuu?Mdau aliefanya examination officer naomba maswali uliyokutana nayo
Nasklizia ATC Examination OfficerUnaenda kufanya ya taasisi gani mkuu?
Hahaha hamna mzee TRA,NAOT,VETA,ATC,ARIMO,NIT,TPDC,NELSON MANDELA hii mzee japo kuitwa ni jambo la kubahatisha nalo... mung ajlie walau mmoja uniweke kwenye mrija wa asali...Una mikeka mingi mkuu
TPDC uliomba post Gani ?Hahaha hamna mzee TRA,NAOT,VETA,ATC,ARIMO,NIT,TPDC,NELSON MANDELA hii mzee japo kuitwa ni jambo la kubahatisha nalo... mung ajlie walau mmoja uniweke kwenye mrija wa asali...
😂😂😂Ukikosa hata moja itabidi utumie traditional approachHahaha hamna mzee TRA,NAOT,VETA,ATC,ARIMO,NIT,TPDC,NELSON MANDELA hii mzee japo kuitwa ni jambo la kubahatisha nalo... mung ajlie walau mmoja uniweke kwenye mrija wa asali...
Mikeka ni mingi duuuh hapo mojawapo lazima ulambe asaiHahaha hamna mzee TRA,NAOT,VETA,ATC,ARIMO,NIT,TPDC,NELSON MANDELA hii mzee japo kuitwa ni jambo la kubahatisha nalo... mung ajlie walau mmoja uniweke kwenye mrija wa asali...
Finance officer bila shakaTPDC uliomba post Gani ?
Poa poa mkuuFinance officer bila shaka
Hahahaa[emoji23][emoji23][emoji23]Ukikosa hata moja itabidi utumie traditional approach
😂😂😂😂hamna jinsi yaniHahahaa
Nimeona watu wamekandwa sana, kada ya Research Fellow - Medicinal Chemistry haijapata watu wenye sifa kabisa. Waliopiga written wamekandwa haswa.Waliofanya usahili muhimbili wakatazame majibu yao
Duuuuh mbona mambo ni magumu kuliko nilivyo tegemea, ngoja nisubirie za MDAs & LGAs Mchumi Daraja la IINimeona watu wamekandwa sana, kada ya Research Fellow - Medicinal Chemistry haijapata watu wenye sifa kabisa. Waliopiga written wamekandwa haswa.
Imagine marks kubwa ni 23.
AiseeNimeona watu wamekandwa sana, kada ya Research Fellow - Medicinal Chemistry haijapata watu wenye sifa kabisa. Waliopiga written wamekandwa haswa.
Imagine marks kubwa ni 23.
😂😂😂😂Medicinal chemistry Ilikua lazima wakandwe kwasababu waliita watu waliosoma chemistry ni heri hata wangeita watu wa phamacy wangetoboa lakini huwezi kumchukua mtu wa chemistry afundishe medicinal chemistry maana wanaisomaga kama optionalNimeona watu wamekandwa sana, kada ya Research Fellow - Medicinal Chemistry haijapata watu wenye sifa kabisa. Waliopiga written wamekandwa haswa.
Imagine marks kubwa ni 23.
Watu wa Pharmacy walikuwepo kwenye shortlist ila wengi wao walikuwa na multiple shortlist, nina imani walikimbilia kozi(masomo) zingine penye unafuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Medicinal chemistry Ilikua lazima wakandwe kwasababu waliita watu waliosoma chemistry ni heri hata wangeita watu wa phamacy wangetoboa lakini huwezi kumchukua mtu wa chemistry afundishe medicinal chemistry maana wanaisomaga kama optional
Mambo sio mamboWatu wa Pharmacy walikuwepo kwenye shortlist ila wengi wao walikuwa na multiple shortlist, nina imani walikimbilia kozi(masomo) zingine penye unafuu