PSRS interview questions (written, pract & oral)

Watu wa Pharmacy walikuwepo kwenye shortlist ila wengi wao walikuwa na multiple shortlist, nina imani walikimbilia kozi(masomo) zingine penye unafuu
😂😂😂😂ndo shida sasa unakuta mtu wa chemistry akapige medicinal hawezi kutoboa hata kidogo labda iwe bahati tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo shida sasa unakuta mtu wa chemistry akapige medicinal hawezi kutoboa hata kidogo labda iwe bahati tu
Walioisoma Medicinal Chemistry wamekimbia sembuse hao.

Tusubiri nafasi zirudi hewani tena labda wanaweza kupata watu
 
Watu wa Pharmacy walikuwepo kwenye shortlist ila wengi wao walikuwa na multiple shortlist, nina imani walikimbilia kozi(masomo) zingine penye unafuu
Mkuu Research Fellow Trainie ya 3 Years medicinal Chemistry ni y watu wa Chemistry.
But Tutorial Assistant in Medicinal Chemistry ndio y watu wa Pharmacy.

By the way wote walikandwa wakemia na wafamasia.
Paper ya Medicinal nimefuatiliiia paper ilikiwa Heavy
kwa ma TA na wale wa Research.
 
Daahh, hiyo idara hawakuwa na masikhara kabisa..

Vipi kwa upande wako, umefanikiwa kusonga mbele(oral)?
 
Nimeona watu wamekandwa sana, kada ya Research Fellow - Medicinal Chemistry haijapata watu wenye sifa kabisa. Waliopiga written wamekandwa haswa.
Imagine marks kubwa ni 23.

Hivi kumbe hii kitu inatokeaga..?

Kama mimi apa tuliitwa interview watu wanne tu tulioenda ni mtu tatu tu. Interview zilikua mbili ya practical then oral, written haikuwepo...

Practical haikua fair kabisa yaani absolute ridiculous ... Tukakandwa wote kwa post ile hakuna aliyetoboa to oral... Dah apo nikaanza kushangaa sana how come wanafanya vile? What will be way forward???
 
Maana yake mnaweza kurudia paper au position zikawa re-advertised maana hamjakidhi vigezo vya kuingia oral.
 
Interview yangu ya kwanza maswali yalikua matano
1.Briefly explain the geophysical methods that used in oil and gas exploration
2. Mention geomorphic land forms that arise from geological process
3.Explain briefly the types of observation
4.Mention the branches of geography
HR unayeweka maswali kama haya katika oral interview lengo lako ni kumpata mtu mwenye skills za kukariri vitu au namna gani?
 
Maana yake mnaweza kurudia paper au position zikawa re-advertised maana hamjakidhi vigezo vya kuingia oral.

Hiyo post ilitangwazwa publicly pale ajira.go.tz means tulio-apply tulikua hundreds ila tuliokuwa shortlisted ni wanne tu of which watatu tu ndo tulifanya practical interview "tukawa-assassinated" wote apo nobody aliye advance to oral interview.

Look like possibly watarudia kushortlist au hata kuita one of us... The later is unlikely.

Ata ivyo hawakutuita kwa email au pdf la call for interview but through phone call thats another odd thing. Asa apo wanakuwa wanareport utumishi au wanamaliza wao kama wao juu kwa juu? Practical yao ilikua na kasoro kubwa technically speaking
 
Kada gani mkuu?
 
Muhimbili watamaliza wao kama wao juu kwa juu kwasababu hata names zilikuwa posted kwenye website yao na sio ajira.go.tz ,cha muhimu ni kuomba sana hata kama wataita upya wawarudishe wale wa mwanzo maana wanaweza kuona mliofanya practical hamjakidhi vigezo vya kwenda oral so wakahitaji sura mpya nyie mkawa cancelled, au ikafanyika njia ya ziada zaidi ya hiyo.
 
Upo vzuri mkuu kutowarudia waliokandwa wote hadi same post ikakosa mtu means waliotolewa ndo walionekana best wakawa shortlisted ila because of mtihani uliotungwa bila kuzingatia yaan irrelevant/out of contest/unfair evil approach iliyotumika asa apo kutotoa second chance au wao kujistukia na kurekebisha hapo ni problem. Sisi wakitureject completely, Sizani hata wakishortlist wengine waliowaacha mwanzo kama watatoboa paper likiwa lile lile/similar... Apo busara inaitajika or else breaucracy is not an option
 
Back
Top Bottom