ππππndo shida sasa unakuta mtu wa chemistry akapige medicinal hawezi kutoboa hata kidogo labda iwe bahati tuWatu wa Pharmacy walikuwepo kwenye shortlist ila wengi wao walikuwa na multiple shortlist, nina imani walikimbilia kozi(masomo) zingine penye unafuu
Dah tunazisubiri Kwa hamu hiziDuuuuh mbona mambo ni magumu kuliko nilivyo tegemea, ngoja nisubirie za MDAs & LGAs Mchumi Daraja la II
Walioisoma Medicinal Chemistry wamekimbia sembuse hao.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo shida sasa unakuta mtu wa chemistry akapige medicinal hawezi kutoboa hata kidogo labda iwe bahati tu
Yeah cha muhimu ni kumeza ambilikile 1&2 pamoja na research maana kufika tarehe 14 mkeka utakuwa on air.Dah tunazisubiri Kwa hamu hizi
Mkuu Research Fellow Trainie ya 3 Years medicinal Chemistry ni y watu wa Chemistry.Watu wa Pharmacy walikuwepo kwenye shortlist ila wengi wao walikuwa na multiple shortlist, nina imani walikimbilia kozi(masomo) zingine penye unafuu
Daahh, hiyo idara hawakuwa na masikhara kabisa..Mkuu Research Fellow Trainie ya 3 Years medicinal Chemistry ni y watu wa Chemistry.
But Tutorial Assistant in Medicinal Chemistry ndio y watu wa Pharmacy.
By the way wote walikandwa wakemia na wafamasia.
Paper ya Medicinal nimefuatiliiia paper ilikiwa Heavy
kwa ma TA na wale wa Research.
Nipo namaandaliz Oral yangu trh 7.Daahh, hiyo idara hawakuwa na masikhara kabisa..
Vipi kwa upande wako, umefanikiwa kusonga mbele(oral)?
Sawa mkuu kila la kheri.Nipo namaandaliz Oral yangu trh 7.
Hongera mzee kapambane tuNipo namaandaliz Oral yangu trh 7.
Pambania kombe bro kufika oral sio kazi nyepesi.Nipo namaandaliz Oral yangu trh 7.
Kufika oral utumishi ni hatua kubwaPambania kombe bro kufika oral sio kazi nyepesi.
Nimeona watu wamekandwa sana, kada ya Research Fellow - Medicinal Chemistry haijapata watu wenye sifa kabisa. Waliopiga written wamekandwa haswa.
Imagine marks kubwa ni 23.
Maana yake mnaweza kurudia paper au position zikawa re-advertised maana hamjakidhi vigezo vya kuingia oral.Hivi kumbe hii kitu inatokeaga..?
Kama mimi apa tuliitwa interview watu wanne tu tulioenda ni mtu tatu tu. Interview zilikua mbili ya practical then oral, written haikuwepo...
Practical haikua fair kabisa yaani absolute ridiculous ... Tukakandwa wote kwa post ile hakuna aliyetoboa to oral... Dah apo nikaanza kushangaa sana how come wanafanya vile? What will be way forward???
HR unayeweka maswali kama haya katika oral interview lengo lako ni kumpata mtu mwenye skills za kukariri vitu au namna gani?Interview yangu ya kwanza maswali yalikua matano
1.Briefly explain the geophysical methods that used in oil and gas exploration
2. Mention geomorphic land forms that arise from geological process
3.Explain briefly the types of observation
4.Mention the branches of geography
Maana yake mnaweza kurudia paper au position zikawa re-advertised maana hamjakidhi vigezo vya kuingia oral.
Kada gani mkuu?Hiyo post ilitangwazwa publicly pale ajira.go.tz means tulio-apply tulikua hundreds ila tuliokuwa shortlisted ni wanne tu of which watatu tu ndo tulifanya practical interview "tukawa-assassinated" wote apo nobody aliye advance to oral interview.
Look like possibly watarudia kushortlist au hata kuita one of us... The later is unlikely.
Ata ivyo hawakutuita kwa email au pdf la call for interview but through phone call thats another odd thing. Asa apo wanakuwa wanareport utumishi au wanamaliza wao kama wao juu kwa juu? Practical yao ilikua na kasoro kubwa technically speaking
"I am myself""Tell me about your self? "
Muhimbili watamaliza wao kama wao juu kwa juu kwasababu hata names zilikuwa posted kwenye website yao na sio ajira.go.tz ,cha muhimu ni kuomba sana hata kama wataita upya wawarudishe wale wa mwanzo maana wanaweza kuona mliofanya practical hamjakidhi vigezo vya kwenda oral so wakahitaji sura mpya nyie mkawa cancelled, au ikafanyika njia ya ziada zaidi ya hiyo.Hiyo post ilitangwazwa publicly pale ajira.go.tz means tulio-apply tulikua hundreds ila tuliokuwa shortlisted ni wanne tu of which watatu tu ndo tulifanya practical interview "tukawa-assassinated" wote apo nobody aliye advance to oral interview.
Look like possibly watarudia kushortlist au hata kuita one of us... The later is unlikely.
Ata ivyo hawakutuita kwa email au pdf la call for interview but through phone call thats another odd thing. Asa apo wanakuwa wanareport utumishi au wanamaliza wao kama wao juu kwa juu? Practical yao ilikua na kasoro kubwa technically speaking
Engineering. Excuse me sitotoa details specific kabisa ili kuconceal identityKada gani mkuu?
Muhimbili watamaliza wao kama wao juu kwa juu kwasababu hata names zilikuwa posted kwenye website yao na sio ajira.go.tz ,cha muhimu ni kuomba sana hata kama wataita upya wawarudishe wale wa mwanzo maana wanaweza kuona mliofanya practical hamjakidhi vigezo vya kwenda oral so wakahitaji sura mpya nyie mkawa cancelled, au ikafanyika njia ya ziada zaidi ya hiyo.