PSRS interview questions (written, pract & oral)

hapo research inasaidia ku
1.identify tatizo
2.inatuonesha source ya tatizo
3.inatupa methods za kusolve tatizo
4.inatupa njia zakupu guza athari ya tatizo na mengineyo
 
Je hao wanaojitolea nao inawahitaji kufanya usaili, au mkate unaliwa juu kwa juu bila ya hata kufanya huo mchakato wa usaili?
 
mwenye kitabu cha Kothari cha Research Methodology aweke,hicho kitabu ndo mzizi wa fitina hakuna swali lililoulizwa ,litakaloulizwa na Utumishi likakosa mule,hao maprof,dr nk hicho ndo kitabu chao cha kufundishia mavyuoni.
 
Wameshakituma huko post za juu kile kitabu kizuri sana kwa research hawatokagi nje
 
TRA wameshaingiza intern kwa mujibu wa utafiti niliofanya ni kama wanataka wale intern waje wawe permanent.Huenda(makisio) zile nafasi za TRA zisiwepo tena.
 
Ukiona tangazo limepelekwa utumishi lazima interview ifanyike hata intern watafanya interview labda useme watapewa madesa yakupitia ili wakatusue kwenye pepa
 
Wakuu nje ya mada kidogo.

Naomba mwenye kuweza kugeuza majukumu hayo ya kazi pichani kwenda kiingereza cha taaluma yake.
 
Ukiona tangazo limepelekwa utumishi lazima interview ifanyike hata intern watafanya interview labda useme watapewa madesa yakupitia ili wakatusue kwenye pepa
Hawa wa loan officer VIP jmn Hali zao vp
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…