PSRS interview questions (written, pract & oral)

Mkuu,ulikua na paper nini?
Haya majibu yako sahihi 100%.
Hili swali watu wengi watakua walijichanganya,limekaa kimtego sana.
Halafu ujinga wa Psrs watu wanajiandaa na vitu vigumu,wao wanawaletea tuvitu ambavyo hawakuvitegemea kuvikuta.
Still hizo ni "guessing answers". Majibu sahihi yanapatikana katika "Higher Education Policy" ipo katika website ya HESLB.

Pamoja na mambo maengine, hiyo policy inazungumzia "Loan finance" sehem ya mwisho. Swali liko clear na pia lina majibu clear as per marking scheme. Guessing answers ndicho majority wanafanya, in fact mtihani haukua rahisi.
 
Wanasema paper ikishapigwa na upepo na kutoka nje ya chumba cha mtahiniwa huwa rahisi mnoo.

Ndicho mnachokifanya hapa. Kwa mtihani ule Act pekee haikuvushi pale, japo haitokufanya ukose cha kuandika kama majibu katika maswali yote.
 
Mimi nawaangalia tuu msema kweli ni matokeo, mimi nikipata nikikosa kwangu sawa tuu wala sijalitia maanani sana
LIWALO NA LIWE TUU FRESH KWANGU
 
Mimi nawaangalia tuu msema kweli ni matokeo, mimi nikipata nikikosa kwangu sawa tuu wala sijalitia maanani sana
LIWALO NA LIWE TUU FRESH KWANGU
Huo ndio ukweli,. Ule mtihani kwenda O.P ni rahisi, na kwa namna ulivo marking scheme ina majibu clear, though, majority itakuwa imejazwa na "guessing answers". Matokeo ndo yatatoa tathmini ya kuwa mtihani ulikia rahisi au mgum.
 
Utumishi nawajua sana kama mtu utashangaa cutting point ikawa 95 ndo macho yatawatoka🤣🤣🤣
 
Hivi kwanza hao watu wanaoandika makaratasi mawili ,huwa wanatoa wapi huo muda?
Hahahahaa, hivi unakumbuka ile post ya Mjengoni(sijui ilikuwa Katibu au Mwandishi wa taarifa rasmi za Bunge), mojawapo ya sifa ilikuwa ni speed ya kuandika, yaani iwe direct proportion na mtu anayeongea.

Watu wenye speed ya kuandika wapo mkuu
 
Huo ndio ukweli,. Ule mtihani kwenda O.P ni rahisi, na kwa namna ulivo marking scheme ina majibu clear, though, majority itakuwa imejazwa na "guessing answers". Matokeo ndo yatatoa tathmini ya kuwa mtihani ulikia rahisi au mgum.
Hapana ule sio technical exam kwahiyo majibu hayawezi kuwa jibu moja direct kinachoangaliwa kwenye mitihani ambayo sio technical wanaangalia idea inaendana na jibu husika??
Lakini sasa majibu yasiwe kama habari wanachotaka kwamfano labda jibu ilitakiwa ujaze beneficiary wewe ukaandika the one who got the loan ,utakuwa umejibu na umepata maana hiyo sio technical exam kinaangaliwa idea ni ile inayotakiwa?
 
Hahahahaa, hivi unakumbuka ile post ya Mjengoni(sijui ilikuwa Katibu au Mwandishi wa taarifa rasmi za Bunge), mojawapo ya sifa ilikuwa ni speed ya kuandika, yaani iwe direct proportion na mtu anayeongea.

Watu wenye speed ya kuandika wapo mkuu
😂😂😂😂Katika wenye speed niweke na Mimi mzee ukinipa Yale maswali halafu niwe nayajua yote namaliza within muda husika sema shda inakujaga maswali yakiwa magumu mzee
 
Hukuwepo katika chumba cha mtihani, na hata maswali hao baadhi walivyo leta hapa sivyo yalivyokua, ndo maana nikakwambia hivyo.

Swali la nne, halikua "heslb finance" bali lilikua "loan finance". Hii ipo clear katika Higher Education Policy, ingia website ya heslb, downloan n read.
 
😂😂😂😂Katika wenye speed niweke na Mimi mzee ukinipa Yale maswali halafu niwe nayajua yote namaliza within muda husika sema shda inakujaga maswali yakiwa magumu mzee
Hata mm kama maswali nayajua dk ya 20 nagonga peni kuomba karatasi nyingine🤣🤣🤣🤣🤣
Sema sasa hicho kingereza ndo kinakuwa hakitamaniki😅
 
Mimi nawaambia kila siku subiria matokeo
 
Ofcourse alivyosema wizy ni sahihi kama hutotaja point husika ila ukaandika kivingine lakini maana ni ileile bhas umepata maana mm nakumbuka niliwahi kufanya swali la elements za research proposal kutokana na kupanick kwa mtihani points zilinipotea lakini nilikuwa naandika jambo namaanisha point flan na mfano sjui "title" mm niliandika maelezo kwa ufupi nikimaanisha point ni title
Na ile paper nilitususua hats sikutegemea zile marks
 
Hata mm kama maswali nayajua dk ya 20 nagonga peni kuomba karatasi nyingine🤣🤣🤣🤣🤣
Sema sasa hicho kingereza ndo kinakuwa hakitamaniki😅
😂😂😂😂😂😂Kiingereza hicho tunasemaga siwametaka wenyewe tuandike kwa speed watajua wao sasa Ile kwa speed tu kama nayajua mbona watafurahi na roho zao
 
Ndo huwa ipo hivyo hasa kwa mitihani ambayo sio technical wewe tunga kiingereza kiendane na zile point for sure unatoboa hii nna experience nayo kabisa kabisa
 
Kuna mtu nilikaa naye pembeni aliomba plain 2 na akamaliza asee hapo mimi hata sijajaza karatasi yangu, huyu mwamba na namba yake ya mtihan akitoboa aniite mbwa nimekaa pale [emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂Aliandika habari au??
 
Kuna mtu nilikaa naye pembeni aliomba plain 2 na akamaliza asee hapo mimi hata sijajaza karatasi yangu, huyu mwamba na namba yake ya mtihan akitoboa aniite mbwa nimekaa pale [emoji23][emoji23]
Una dhambi kwahiyo uka save kabisa namba yake ya mtihani unamsubiria matokeo yatoke🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…