Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 949
- 2,284
Still hizo ni "guessing answers". Majibu sahihi yanapatikana katika "Higher Education Policy" ipo katika website ya HESLB.Mkuu,ulikua na paper nini?
Haya majibu yako sahihi 100%.
Hili swali watu wengi watakua walijichanganya,limekaa kimtego sana.
Halafu ujinga wa Psrs watu wanajiandaa na vitu vigumu,wao wanawaletea tuvitu ambavyo hawakuvitegemea kuvikuta.
Pamoja na mambo maengine, hiyo policy inazungumzia "Loan finance" sehem ya mwisho. Swali liko clear na pia lina majibu clear as per marking scheme. Guessing answers ndicho majority wanafanya, in fact mtihani haukua rahisi.