Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Sawa mkuuHalafu we jamaa haya mambo ya database yasikuchanganye hakuna anayejua, hao wenyewe PSRS ndo wanafahamu.. nachokushauri we piga interview zako hata 10... Siku zali likikudondokea utaona tu jina lako kwenye mkeka....
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app