PSRS interview questions (written, pract & oral)

PSRS interview questions (written, pract & oral)

Interview zote nilizofanya niliwapa cv yangu wakaipitia mwanzo mwisho kama unabisha muulize wa aliyewai kufanya utumishi unawpa wanakagua na unaenda na copy kwa kila interviewer pale kweny panel list unampa wanakuja kila kitu chako kwa juu juu mpaka miaka
Sina uhakika na hiki unachokizungumza.niliwahi kufika oral moja ya utumishi na hakuna sehemu walisema twende na cv zetu.tulichoambiwa kwenda nacho ni vyeti pamoja na vitambulisho tu.hilo la cv labda kama limeanza awamu hii ya Samia.
 
Marks za written haziusiani kabisa na oral, kwenye oral unaenda kutafuta marks nyingine ambazo zitakufanya upate kazi endapo utajibu vizur na kupata marks nyingi kuliko wengine
sawa sawa ngoja tusubili matokeo
 
Sina uhakika na hiki unachokizungumza.niliwahi kufika oral moja ya utumishi na hakuna sehemu walisema twende na cv zetu.tulichoambiwa kwenda nacho ni vyeti pamoja na vitambulisho tu.hilo la cv labda kama limeanza awamu hii ya Samia.
Hapana nimekosea nikitambo ila Kuna copy tuliambiwa tuwape nahisi ni ya vyeti izo kama maana ni mda nishasau sio cv ila vyeti vilikuwepo Kuna taasisi ya binafsi ndo niliwapa cv nakumbuka
 
Interview yangu ya kwanza maswali yalikua matano
1.Briefly explain the geophysical methods that used in oil and gas exploration
2. Mention geomorphic land forms that arise from geological process
3.Explain briefly the types of observation
4.Mention the branches of geography
Ilikuwa kada gani?
 
Hapana nimekosea nikitambo ila Kuna copy tuliambiwa tuwape nahisi ni ya vyeti izo kama maana ni mda nishasau sio cv ila vyeti vilikuwepo Kuna taasisi ya binafsi ndo niliwapa cv nakumbuka
Hapo nimekuelewa
 
Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written....

Acha swali ulilokutana nalo ujibiwe hapa
Hii swali anasema explain objective of keywords filing system as used in an organization five explain
Kada records management
 
Back
Top Bottom