PSRS interview questions (written, pract & oral)

PSRS interview questions (written, pract & oral)

Oral interview

Which technique do you use to know if your students understand what you taught? Hii ni baada ya kupresent

After presentation unapewa kiti ukae.

Maswali
1. Give us your background
2. What is the meaning of security as applied in information technology?
3. Give out five techniques you may use to teach.
4. Give out the importance of the computer network ( 5 points )
5. Assessment techniques ( 5 points ) ila sikumbuki vizuri hapa.
 
Huu ni uzi maalumu kwa ajiri ya kushare Maswali ambayo ulishawahi kukutana nayo katika Interview za UTUMISHI (PSRS) kwenye kada tofauti tofauti iwe ni Oral,pract au written....

Acha swali ulilokutana nalo ujibiwe hapa
ORAL INTERVIEW QUESTIONS
Kada:SYSTEM ADMINISTRATOR
Taasisi: BRELA
1.Talk about yourself and education background in whole?
2. what is domain controler
3.function/uses of domain controler
4.what is cloud computing
5.advantages of cloud computing

Hayo ndio nnayokumbuka....
 
amna Yale maswali sio yakiswahili sasa utajibuje kwakiswahili?

Hahaha, sawa Mkuu. Miaka ya nyuma kidogo kuna benki moja ya kigeni niliwauliza kama naruhusiwa kuongea kiswahili mara chache?

Hahaha, wale jamaa nikagundua na wao walikuwa wameshachoka kujibana bana, rasmi tukajikuta katikati ya usaili tunaongea Kiswahili kitupu mpaka mwisho.
 
TUTORIAL ASSISTANT HUMAN RESOURCE MANAGENENT-----INSTITUTE OF SOCIAL WORK WRITEN INTERVIEW

08/09/22 SAA MOJA ASUBUHI

1. Important of CB to employees
2. Three levels involved in decision making with labour relations
3.What are the Labour Right supervised by ILO
4. How could you advise your organisation to prevent/avoid labour dispute

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Duuuh ngoma ngumu hii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha, huwa na tabia ya kurudi usaili ukiisha. Hata hivyo kingereza kinatabia ya kuwa chepesi ukijiongelesha mwenyewe, akija tu mtu kukuongelesha kinakugeuka na kuwa adui wake.
😂😂😂😂Yani siku hiyo sijui ilikuaje aseeh huwa nakaa najicheka tu
 
Hahaha, sawa Mkuu. Miaka ya nyuma kidogo kuna benki moja ya kigeni niliwauliza kama naruhusiwa kuongea kiswahili mara chache?

Hahaha, wale jamaa nikagundua na wao walikuwa wameshachoka kujibana bana, rasmi tukajikuta katikati ya usaili tunaongea Kiswahili kitupu mpaka mwisho.
😂😂😂😂😂Hahhhhh walichoka kutumia nguvu
 
Back
Top Bottom