PSRS interview questions (written, pract & oral)

PSRS interview questions (written, pract & oral)

Research is a systematic, so inamaana Kuna vitu ambavyo tunavifuata ili kukamilisha hiyo system so automatic tutaconsider research methodologies kama kukamilisha system hiyo, so majibu hapa ni ya research methodologies.
au nadhani tunaelezea zile characteristic za research maana hata methodology ina characteristic zinafanana na zile za research
 
Wakuu Hivi kwani swali la research ni lazima liwepo kila Pepa au inakuwaje ?
 
Mwifwa mkuu ukiwa unajiandaa huko na mkando wa course yako, mimi nitakuwa nadondosha maswali fikirishi ya research, unajua nimekandwa hadi nimechocha.

Na mimi najua baada ya nyie kumaliza kukandwa na mimi nitafuata kwenye mkeka wa MDG's kada nyingine zilizobaki.

Swali
Research methodology is also research? Explain
wizy njoo huku utupe tips wewe ndiye angalau umefika oral...
Ahsante mkuu kwa kuendelea kutupa muongozo, Mungu akatende miujiza kwa sisi sote tunaosaka mrija wa Asali
 
Kama kuna mtu anaenda Mipango anatokea mwanza anaenda Mipango tuwacliane
 
Wakuu nisaidieni kujibu haya maswali ya research
Qn 1. Sampling techniques
Qn2. Ways of disseminating research findings
 
Pia anaeweza kuelezea kuhusu probability sampling and non probability sampling anielezee nipate mwanga nimeshachoka kusoma research haiishi
 
Pia anaeweza kuelezea kuhusu probability sampling and non probability sampling anielezee nipate mwanga nimeshachoka kusoma research haiishi
Sasa hizi si ugoogle tu jamani ,au unataka uelezeeweje?
 
Wakuu nisaidieni kujibu haya maswali ya research
Qn 1. Sampling techniques
Qn2. Ways of disseminating research findings
Namba mbili ni namna ya kuspread findings za research kwangu mimi nadhani naweza tumia issuing press release,presenting at national conference,publishing program or policy briefs,discussion on radio,tv presentation,publishing in local newspapers,publish on website, social media e.tc njia ziko nyingi

Hilo la kwanza ukisoma tu unazikuta kama zilivyo
 
Sorry mkuu kuna hili swali.. How research can be used to solve the problem?
Hili swali mimi nadhani unalifanya kwa how research is conducted to solve a particular problem, nadhani unatumia zile steps/process unazozitumia kufanya research Ili uweze kusolve tatizo yaani kuanzia mwanzo mpaka mwisho unapokuja kucommunicate research results/findings

Mimi nadhani ni hivyo kama Kuna mwenye mawazo tofauti ataelezea.
 
Back
Top Bottom