Orosso
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 949
- 2,284
Huwezi tunga hizo point ziendane kama hujapata kupitia/kusoma reliable source, iwe kitabu, au material zozote reliable.Ndo huwa ipo hivyo hasa kwa mitihani ambayo sio technical wewe tunga kiingereza kiendane na zile point for sure unatoboa hii nna experience nayo kabisa kabisa
Kwa uzoefu wangu wa hizi sahili chache, zinataka maandalizi ya kina, sio maandalizi haya zima moto, siku kumi kabla ya usahili. Kichwa kiwe kimetulia hasa.