Sasa mzee acha ubishi kwasababu hayajkukutaMkifaulu wengi wanachukua walofanya vizuri zaidi soma sheria zao zimeelekeza mkifaulu wengi wanafanya 1:3 au 1:4 manake nafasi moja igombaniwe na watu 3 au 4 ko itategemea mmefaulu vipi hujawahi ona mtu anapata 70 ila anaachwa?
Nakuuliza kwenye watu 700 watakao pata marks 90% haeatazidi 15? Kama watazidi ndo utajua kwamba kuna kukatwa **** hunielew subr ikutokee ndo utajuaMkifaulu wengi wanachukua walofanya vizuri zaidi soma sheria zao zimeelekeza mkifaulu wengi wanafanya 1:3 au 1:4 manake nafasi moja igombaniwe na watu 3 au 4 ko itategemea mmefaulu vipi hujawahi ona mtu anapata 70 ila anaachwa?
Mi nishatoka uko nilishafanya mitihani mingi ya psrs nilifeli mingi hatimae nilipata ko naongea kwa uzoefu kijana usijione special sana kwamba hustahili kufeli.Nakuuliza kwenye watu 700 watakao pata marks 90% haeatazidi 15? Kama watazidi ndo utajua kwamba kuna kukatwa **** hunielew subr ikutokee ndo utajua
Mi nishatoka uko nilishafanya mitihani mingi ya psrs nilifeli mingi hatimae nilipata ko naongea kwa uzoefu kijana usijione special sana kwamba hustahili kufeli.
Kufeli kunaambatana na mambo mengi next time jipange vizuri elewa swali jibu short and clear.
Wapi ndugu ,ile mitihan miwili ilinivunja moyo Sana,Ila hamna namna ni kukaza tuKwaiyo sasa hivi ni auditor mahala flani ?
Sasa mzee acha ubishi kwasababu hayajkukuta
Acha mipasho mzee taarabu nyingi kama ulifeli mitihan mingi ni wewe alafu sijasema kuwa mimi special naona taarabu zinakuwa nyingi kwako af mtoto wa kiume hanaga taarabu na mipasho.Mi nishatoka uko nilishafanya mitihani mingi ya psrs nilifeli mingi hatimae nilipata ko naongea kwa uzoefu kijana usijione special sana kwamba hustahili kufeli.
Kufeli kunaambatana na mambo mengi next time jipange vizuri elewa swali jibu short and clear.
We ndo unazipokea kimipasho mi nakusaidia dogo usijinyonge we unaona mipasho, vijana mna shida gani siku hizi ?Acha mipasho mzee taarabu nyingi kama ulifeli mitihan mingi ni wewe alafu sijasema kuwa mimi special naona taarabu zinakuwa nyingi kwako af mtoto wa kiume hanaga taarabu na mipasho.
We ndo unazipokea kimipasho mi nakusaidia dogo usijinyonge we unaona mipasho, vijana mna shida gani siku hizi ?
Kwa akili hizi ndo unataka ufaulu mitihani ni psrs?
Kukuelekeza na kukupa uzoefu we unaona ni mipasho
hayo ni makasiriko hujafeli mwenye
1.Briefly explain why trial balance msy still balance even if there is incorrect entry posted in a group of accounts.hayo ni makasiriko hujafeli mwenyew
Nishampuuza huyu dogo kwa kiwewe hiki ataendelea kukandwa tu[emoji23] puuza mkuu ni uchungu tu
Kwaiyo unajiona kwamba umetoboa basi sisi tuliobaki hatuna akili sioWe ndo unazipokea kimipasho mi nakusaidia dogo usijinyonge we unaona mipasho, vijana mna shida gani siku hizi ?
Kwa akili hizi ndo unataka ufaulu mitihani ni psrs?
Kukuelekeza na kukupa uzoefu we unaona ni mipasho
Sijatoboa kwa maana ya kutimiza ndoto zangu .Kwaiyo unajiona kwamba umetoboa basi sisi tuliobaki hatuna akili sio
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mswahili akipata katokea familia duni mbwembwe nyiingi
Unajuaje kama umejibu sawa sawa?Kwanini usijiwekee umefaulu na unaona umejibu sawa?? Nambie kwaiyo hata ukijibu sawa ukubali kufeli sio?? Sasa unaenda dodoma kubahatisha sio?? Nijibu huwa unaenda dodoma kubahatisha??