PSRS wanataka tujibu vipi mitihani yao ili tufaulu? Unajibu majibu sahihi wanaweka marks sio sahihi, inauma sana

Mkifaulu wengi wanachukua walofanya vizuri zaidi soma sheria zao zimeelekeza mkifaulu wengi wanafanya 1:3 au 1:4 manake nafasi moja igombaniwe na watu 3 au 4 ko itategemea mmefaulu vipi hujawahi ona mtu anapata 70 ila anaachwa?
Sasa mzee acha ubishi kwasababu hayajkukuta
 
Mkifaulu wengi wanachukua walofanya vizuri zaidi soma sheria zao zimeelekeza mkifaulu wengi wanafanya 1:3 au 1:4 manake nafasi moja igombaniwe na watu 3 au 4 ko itategemea mmefaulu vipi hujawahi ona mtu anapata 70 ila anaachwa?
Nakuuliza kwenye watu 700 watakao pata marks 90% haeatazidi 15? Kama watazidi ndo utajua kwamba kuna kukatwa **** hunielew subr ikutokee ndo utajua
 
Mi nishatoka uko nilishafanya mitihani mingi ya psrs nilifeli mingi hatimae nilipata ko naongea kwa uzoefu kijana usijione special sana kwamba hustahili kufeli.

Kufeli kunaambatana na mambo mengi next time jipange vizuri elewa swali jibu short and clear.
 
"PSRS wanataka tujibu vipi mitihani yao ili tufaulu? Unajibu majibu sahihi wanaweka marks sio sahihi, inauma sana"​

Mi nishatoka uko nilishafanya mitihani mingi ya psrs nilifeli mingi hatimae nilipata ko naongea kwa uzoefu kijana usijione special sana kwamba hustahili kufeli.

Kufeli kunaambatana na mambo mengi next time jipange vizuri elewa swali jibu short and clear.
Acha mipasho mzee taarabu nyingi kama ulifeli mitihan mingi ni wewe alafu sijasema kuwa mimi special naona taarabu zinakuwa nyingi kwako af mtoto wa kiume hanaga taarabu na mipasho.
 
We ndo unazipokea kimipasho mi nakusaidia dogo usijinyonge we unaona mipasho, vijana mna shida gani siku hizi ?

Kwa akili hizi ndo unataka ufaulu mitihani ni psrs?

Kukuelekeza na kukupa uzoefu we unaona ni mipasho
 
[emoji23] puuza mkuu ni uchungu tu
 
hayo ni makasiriko hujafeli mwenye

hayo ni makasiriko hujafeli mwenyew
1.Briefly explain why trial balance msy still balance even if there is incorrect entry posted in a group of accounts.

2. Reasons for difference between cash book and bank statement.

3. Source of document ya hivi vitu.
1.Purchase book.
2.sales book.
3.Purchase return book.
4.Sales return book.
5. Cash receipt.
6. Cash payment.
7. Cheque payment

4. Mention 5 benefit of preparing profit and loss account.
Hamna makasiriko ni vile najiuliza huu mtihan nimefeki vp na nilijibu msawali vizuri
 
We ndo unazipokea kimipasho mi nakusaidia dogo usijinyonge we unaona mipasho, vijana mna shida gani siku hizi ?

Kwa akili hizi ndo unataka ufaulu mitihani ni psrs?

Kukuelekeza na kukupa uzoefu we unaona ni mipasho
Kwaiyo unajiona kwamba umetoboa basi sisi tuliobaki hatuna akili sio
 
Sijatoboa kwa maana ya kutimiza ndoto zangu .

Bado niko safarini kuelekea nakotaka kufika.

Na kufaulu mitihani ya utumishi haimaanishi una akili kuliko waliofeli au kufeli haimaanishi huna akili kufeli na kufaulu uambatana na vitu vingi sana mdogo wangu na usikate tamaa .

Watu wanafanya interview zaidi ya kumi .

Hakikisha kila mtuhani unaofanya uwe hatua ya kisonga mbele siku ukibahatika kufanya mitihani mingine.

Punguza hasira dogo.
 
Mswahili akipata katokea familia duni mbwembwe nyiingi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ni kweli nimetokea familia duni ndo maana tumaini langu lilikua utumishi.

Natamani siku moja nawewe upate kazi ndo maana nakuelekeza we unaleta ujuaji dogo .

Utumishi hakuna anayekujua hakikisha unajibu vizuri kazi yako ivutie isimchoshe msahihishaji.
 
Back
Top Bottom