SPONSA
Senior Member
- Oct 30, 2018
- 178
- 270
- Thread starter
- #21
Sasa mzee acha ubishi kwasababu hayajkukutaMkifaulu wengi wanachukua walofanya vizuri zaidi soma sheria zao zimeelekeza mkifaulu wengi wanafanya 1:3 au 1:4 manake nafasi moja igombaniwe na watu 3 au 4 ko itategemea mmefaulu vipi hujawahi ona mtu anapata 70 ila anaachwa?