Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Si atapewa mwenza kama watoto washakuwa wakubwa mkuu?Inasemekana kuwa kuna kanuni mpya za kulipa fao la wategemezi ambazo zimeanza kutumika mwaka huu 2025.
Hapo awali mstaafu ambae alikuwa mtumishi akifariki ilikuwa warithi wanalipwa miezi 36 ya mafao ya marehemu .
Ila sasa kanuni zinabagua kwamba watalipwa warithi amaboa wana umri chini ya miaka 18.
Hii ina maana kuwa kama mstaafu atafariki na kuacha warithi ambao walisha vuka umri wa miaka 18 mafao aliyobakiza mstaafu ili kulipwa pensheni yatafia mikononi wa Psssf.
Hii ni dhuluma kubwa kwa watumishi. Maana unakatwa pesa zako alafu ikitokea ukastaafu na kufariki huku umeacha mke na umeacha warithi wanaozidi umri wa miaka 18 Psssf wanadhulumu pesa zilizobaki.
Kweli hii sio sawa,unastaafu na miaka 55_60 Kweli utakuwa una watoto chini ya 18?Ulichelewa kuoa au kuolewa?!!Inasikitisha sana!Inasemekana kuwa kuna kanuni mpya za kulipa fao la wategemezi ambazo zimeanza kutumika mwaka huu 2025.
Hapo awali mstaafu ambae alikuwa mtumishi akifariki ilikuwa warithi wanalipwa miezi 36 ya mafao ya marehemu .
Ila sasa kanuni zinabagua kwamba watalipwa warithi amaboa wana umri chini ya miaka 18.
Hii ina maana kuwa kama mstaafu atafariki na kuacha warithi ambao walisha vuka umri wa miaka 18 mafao aliyobakiza mstaafu ili kulipwa pensheni yatafia mikononi wa Psssf.
Hii ni dhuluma kubwa kwa watumishi. Maana unakatwa pesa zako alafu ikitokea ukastaafu na kufariki huku umeacha mke na umeacha warithi wanaozidi umri wa miaka 18 Psssf wanadhulumu pesa zilizobaki.
Hapewi kwa mujibu wa hizi kanuni mpya.Si atapewa mwenza kama watoto washakuwa wakubwa mkuu?
Yeah mstaafu akifariki sheria mpya mjanae analipwa miezi 36 na pesa ya mazishi laki 5Akiacha mjane analipwa mm bi mkubwa kalipwa bila shaka ilaa watoto hakuna labda kama Kuna alie chini ya 18
Wewe mshua alifariki mwaka gani?Akiacha mjane analipwa mm bi mkubwa kalipwa bila shaka ilaa watoto hakuna labda kama Kuna alie chini ya 18
Ndio maana nchi inazidi kulaaniwa hela za watu si uwape wenyewe hata hiyo ya miezi 36 ni nchi ya majuha tu kama Tanzania tunakubali. Kikubwa ukipata nafasi ya kuiba iba sana maana serikali nayo ndio Mwizi namba moja wa hela za waajiriwa.Inasemekana kuwa kuna kanuni mpya za kulipa fao la wategemezi ambazo zimeanza kutumika mwaka huu 2025.
Hapo awali mstaafu ambae alikuwa mtumishi akifariki ilikuwa warithi wanalipwa miezi 36 ya mafao ya marehemu .
Ila sasa kanuni zinabagua kwamba watalipwa warithi amaboa wana umri chini ya miaka 18.
Hii ina maana kuwa kama mstaafu atafariki na kuacha warithi ambao walisha vuka umri wa miaka 18 mafao aliyobakiza mstaafu ili kulipwa pensheni yatafia mikononi wa Psssf.
Hii ni dhuluma kubwa kwa watumishi. Maana unakatwa pesa zako alafu ikitokea ukastaafu na kufariki huku umeacha mke na umeacha warithi wanaozidi umri wa miaka 18 Psssf wanadhulumu pesa zilizobaki.
Malizia kabisa kuwa mke wa rais mstaafu anaendelea kulipwa posho wakati ana haki nyingi kama vile kutibiwa ,kulindwa n.kHii ni dhuluma kubwa kwa watumishi. Maana unakatwa pesa zako alafu ikitokea ukastaafu na kufariki huku umeacha mke na umeacha warithi wanaozidi umri wa miaka 18 Psssf wanadhulumu pesa zilizobaki.
Mengi yanatokea kwenye maisha mkuu wanguKweli hii sio sawa,unastaafu na miaka 55_60 Kweli utakuwa una watoto chini ya 18?Ulichelewa kuoa au kuolewa?!!Inasikitisha sana!
Sasa pesa ya mazishi laki 5 SI ya jeneza tu hiyo? Hii mifuko mbona inawabania sana wachangiaji ? Uwepo uhuru wa kuchagua na kuchangia mifuko ili uwepo ushindani wa utoaji wa huduma wa mifukoYeah mstaafu akifariki sheria mpya mjanae analipwa miezi 36 na pesa ya mazishi laki 5
Sheria hii imeanza mwaka huu januari mosi
Ila nasikia wastaafu wote waliofariki mwaka jana kuanzia December kurudi nyuma mjana hapati ata mia
Miaka 60 na kuwa na watoto chini ya miaka 18, kawaida sana siku hiziKweli hii sio sawa,unastaafu na miaka 55_60 Kweli utakuwa una watoto chini ya 18?Ulichelewa kuoa au kuolewa?!!Inasikitisha sana!
Hili la miezi 36 sijaelewa, ni analipwa pesa yote ndani ya miezi 36 au anamegewa fungu tu kidogo ndani ya huo muda?Yeah mstaafu akifariki sheria mpya mjanae analipwa miezi 36 na pesa ya mazishi laki 5
Sheria hii imeanza mwaka huu januari mosi
Kwa mkupuo ya pesa aliyokuwa anapokea mstaafu kila mwezi mfanoHili la miezi 36 sijaelewa, ni analipwa pesa yote ndani ya miezi 36 au anamegewa fungu tu kidogo ndani ya huo muda?
SERIKALI PUMBAVU YA CCMInasemekana kuwa kuna kanuni mpya za kulipa fao la wategemezi ambazo zimeanza kutumika mwaka huu 2025.
Hapo awali mstaafu ambae alikuwa mtumishi akifariki ilikuwa warithi wanalipwa miezi 36 ya mafao ya marehemu .
Ila sasa kanuni zinabagua kwamba watalipwa warithi amaboa wana umri chini ya miaka 18.
Hii ina maana kuwa kama mstaafu atafariki na kuacha warithi ambao walisha vuka umri wa miaka 18 mafao aliyobakiza mstaafu ili kulipwa pensheni yatafia mikononi wa Psssf.
Hii ni dhuluma kubwa kwa watumishi. Maana unakatwa pesa zako alafu ikitokea ukastaafu na kufariki huku umeacha mke na umeacha warithi wanaozidi umri wa miaka 18 Psssf wanadhulumu pesa zilizobaki.
Mkuu suala la state capture yule jamaa chama chake ndo kinapitisha haya mambo yote, yule nae ni tapeli pamoja na wenzake anaowalalamikia.Malizia kabisa kuwa mke wa rais mstaafu anaendelea kulipwa posho wakati ana haki nyingi kama vile kutibiwa ,kulindwa n.k
mtu mmoja akasikika anasema nchi ipo kwenye state capture.