Psychedelic Drugs & Consciousness

Kwanza umevuta 'kitu' chenyewe au magumashi?
Kitu hakivutwi kama sigara asee, pandisha mistari.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwanza umevuta 'kitu' chenyewe au magumashi?
Kitu hakivutwi kama sigara asee, pandisha mistari.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app

Sijui kitu kama ni kitu kweli , maana hata jani lake sijawahi kuliona zaidi ya kweenye vitambaa
Ila nimenunua kwa vijana ambao wanaaminika maana niwatumiaji wazuri.

Kuhusu kuvuta sijavuta kama sigara, nimefuata maelekezo ya humu kuvuta na kutoa moshi mdomoni
Kupandisha mstari ndio kufanyaje?
 
usifuate maelekezo ya humu, hao waliokuuzia ndo wakuelekeze jinsi ya kupandisha mistari

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, roll your joint, halafu puff mbili ni kwamba, ukivuta one puff, unaihale moshi wote kama deep breath, then unaexhale. Unakosea kuvuta na kutoa moshi.

Unajua mpaka unakua elevated means kwamba THC lazima ifike kwenye system.

Ukifanya hivyo, utafeel the first high hata kwa hizo puff ni mbili tu. Lakini kuwa makini, mara nyingi bangi kwa mara ya kwanza unaweza feel kwamba haujawa high bado, unavuta kuliko kawaida, ikakufanya ukawa unachekacheka tu, kwa sababu stimu ya dawa kwa mara ya kwanza itakufungua mambo mengi kutokana na state of mind uliyonayo, kitu kinachopelekea kuwa too high.
 

Nashukuru sana mkuu, kumbe ndio maana nilikua sioni kuwa elevated wala nini.
Nimegundua wapi nilipokua nakosea.
 
Umeongea kwa hisia sana mkuu.
 
Guideline zangu zipi tena Doctor.

tumekubaliana ni Psychedelic na Consciousness Transcendence.
Asante mkuu kwa mchango wako, kuna kijitabu cha Stealing fire, nilibahatika kusoma kidogo kinaelezea Psychedelic na transcend consciousness, na hapa umeniongezea kwenye kile kidogo nilichokuwa nafahamu.🙏🙏🙏
 
Hakika nimejifunza mengi mnoo!
Duh! Huku bongo ukiwa na sukari 8,9au 10 wnakupatia manjugu ubwie!
 
Asante mkuu kwa mchango wako, kuna kijitabu cha Stealing fire, nilibahatika kusoma kidogo kinaelezea Psychedelic na transcend consciousness, na hapa umeniongezea kwenye kile kidogo nilichokuwa nafahamu.[emoji120][emoji120][emoji120]

Pamoja sana na Shukran nyingi pia ziende kwa aliyeanzisha thread.
-
Tumekuwa kimya kidogo baada ya kupata MSIBA mzito kwa kuondokewa na kiongozi wa nchi Ndugu John Pombe for the first time.
May the almighty Lord bless his Soul.
-

Mada pendwa itaendelea zaidi na zaidi. I believe that this thread is a living document.
-
Tuliona pia tuwe na discussion ya Psychedelic Serum Concentration yaani what is the recommended dose to begin with for those who are interested and for what purpose.

How do you know the concentration of THC kwenye mmea wa bangi au mmea wa Psychedelic ili uweze kujua ni Puff ngapi you have to push in if you are to smoke.
-
Kwa Tanzania ni rahisi, kujua concentration ya principal active ya mimea, ukiwa na jani lako unaenda pale MUHIMBILI, you just get control number na kulipia like 20K, wanamashine zote za ku determines concentration, ambapo ukipata majibu itakuwa rahisi to establish the recommended dose. We will discuss about it here.
-
On the other hand ; we are not teaching people kutumia haya mambo and we are totally discouraging watu kutumia bila ya kuwa na MOTIVE.
-
Tumeona madhara ya hard drugs kwa watu wengi, tumeona DMX alivyo overdose , we have seen the consequences.
-
Pamoja kwamba walitumia Antidote ya Naloxone to reverse the action of Heroin , But it was too late. The respiratory system was already touched and depressed...he therefore had to die , a physical death.

Ndio maana tunasisitiza awareness , haya mambo they have serious effect kwenye human personalities if you do not know what to do .
 

You nailed it...salute mkuu.
 
Wewe muongo na nadhani unaandika ukiwa umevuta bhangi. Kuwa asilimia 90 ya wanasiasa wanavuta bhangi weka uthibitisho.

Lakini pia inawezekana ikawa ni kweli kwa aina ya wanasiasa tulio nao hawajielewi ,waongo waongo, wanafiki basi hapo nakubaliana nawe bhangi si au madawa ya kulevya si mazuri. Hivyo ikiidhihirika ni kweli wapigwe marufuku kutumia kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…