Sawa hizo ni side effects, na it seems like you had no any guidance katika kuutumia mmea. Kama hauna guidance ,Be careful na ;
1. Frequency ya kuvuta
2. Smoke concentration( Volume unayo inject Kwenye mwili).
Kwa mfano, msokoto wa Bangi kwa mtu anaetumia kwa mara ya kwanza hatakiwi kuzidisha Puff 2 , na hautakiwi kuutolea moshi kwenye pua, na unatakiwa ku hold your breathe in like SSSS for a while kisha unautolea moshi kwenye mdomo, you will find out that your mind is shifting from one state to another ; the new state is one of the precious moment , it’s called The NOW, don’t waste it. during that time your focus ni kwenye ishu iliyokufanya uvute.
Kama ukifanya zoezi hilo vyema , then 2 Puff is a maximum dose for you per Six months or so. Je ulikuwa na descipline hiyo ?
One Perfect puff , You will have one of the best experience like you have never seen before. The total Transcendence And this is what we mean when we say you need a guidance.
Kama ulishawahi kutumia mmea before , you can take 2 to 4 puffs/ year or so. Na wakati unafanya hayo ni lazima uwe kwenye mazingira ya kile ulichokusudia.
/
Creativity? writings ? Learning? Innovation ? Astral projection ? Science ? Transcendence ? Death mediation? Looking at the moon [emoji276] and sky ? Making hard decision ? Sex meditating with your partner? Having multiple orgasms at once ? Or meditation and contemplation yaaani just unakaa at your home inapendeza late night hakuna kelele no music just you sit on your floor in your room. You stay silent, na hauwazi chochote Yaani just like a new born, you try to remember who you truly are , you try to see yourself SELF.
You will experience a lot of staff. You gonna be a great man, wisdom , truth, the virtual of silence. You will realize that silence is really loud; everything is there depend on you listen.
Kupitia maelezo yako ni kwamba haukuwa na guidance, haukuwahi ku determine your perfect dose, seems like kila ulipokuwa unajisikia kuvuta Unavuta, yaani frequency yako ilikuwa haina mipaka; and that is why you had some side effects like panic attack, tachycardia( mapigo ya moyo kwenda mbio sometimes), uoga usioelezeka ambao mara nyingi unakuwa associated na panic attack.
The good thing is Cannabis has no addiction or dependency issue. Kama ungekuwa unatumia Cocaine , my friend , usingekuwa na jeuri ya kusema NIKAAMUA KUACHA. na hii ndio faida ya mmea, no over dose, no addiction nor dependency. Even if you abuse it.
You are very lucky man . I am proud of you .
Pia umezungumzia kuhusu suspicions, kwa Kiswahili sijui ndio machale. My friend , that is not a side effect. That is what we call divine intuition. Itakusaidia sana hiyo, please iendeleze. Inakupa wepesi wa kuiona hatari mbele ya dunia yako. Inakupa understandings beyond doubts. Kwa Mfano, unaweza ukastuka usingizini Usiku, ukahisi kama hukufunga mlango, au kuna mazingira ambayo siyo ya kawaida, then go to Verify. Unaweza ukahisi kama unachunguzwa, please Verify , unaweza kuhisi anything like anything...please Verify. Mimi huwa nikingia kwanza naingia kwa machale, pili , nikifika ndani nitaenda chooni kuchungulia, Masterbed room , sometimes nina inama hadi chini ya uvungu to check is everything really okay , .... you know that kind of suspicious. Nikiwa nimesafiri Hotelini, ndio kabisa , kabla sijafanya lolote nitapekua hicho chumba every where, nitatoa mashuka yote To verify everything, chini ya uvungu, balcon etc etc na wakati mwingine na test mitambo , hapa ikitokea balaa natoka vipi kwenye hili gorofa.
That is how senior intelligence wanakuwa trained .you must Be very sustainable
The Cannabis teaches you how to be attentive. Sidhan kama kuna Mwanajeshi ambae hatumii mmea. This is the essence ; to create intuitive and suspicious mind. Ni very important skills kwenye hii dunia.
Ukiendeleza hiyo yaani utaweza kusoma akili ya mtu kabla hajaamua . Utaweza kusoma mazingira rafiki na yasiyokuwa rafiki. Nilifika hotel moja wakati nimeenda SA, nilibadili vyumba 2 ndani ya nusu saa. I was not comfortable na mazingira ya chumba.
Any senior intelligence officer must have that skill.
My prescription kuhusu tatizo lako :
1. Usitumie tena mmea for atleast 3 years or so , never touch
-
2. Uende Sauna for detoxification. Hii utakuwa unafanya mara 3 kwa miezi 3 . If you can manage unaweza kufanya mara 2 kwa mwezi mmoja. But kila mwezi ufanye atleast once. Unatakiwa Kufanya hivi six months consecutive Na utaendelea baadae as per your need.
3. Kama unatumia pombe , uache au reduce consumption. Usipendelee sana any drinks au dawa yenye Caffeine. Kwa Mfano Paracetamol + Diclofenac+ Caffeine hii ni dawa ya maumivu ndani yake Ina caffeine. Usitumie. Uwe unasoma ingrédients za dawa kabla ya kutumia.
4. Pendelea kunywa lemon ( natural [emoji522]) tea , and sometimes fresh milk.
5. Juice ya tembele, au Mchicha au Coriander leaves. Here I mean unasafisha hayo majani kisha unasaga kwa kutumia blender kisha unachuja ile Juice yake ndio unakunywa at least once a week . Nusu glass au kikombe kizima kidogo kile kama cha kahawa. . I prefer juice ya Coriander, au Spinach au mchicha.
.attention na tembele, zina iron nyingi sana hivyo inaweza ku increase level of hemoglobin ( Hb) Kisha damu ikaongezeka sana ukanza kuhisi shida.
6. Jogging every weekend,
7 pendelea sana salade [emoji1637].na matunda kama Apple, grapes.
8. Learn how to relax. Kuna majani pia nimeyasahau hutumiwa sana na wahindi. Huuzwa pale soko la kisutu pale Posta watu huweka vitu nje na n
Itakubidi hiyo prescription uifuatishe for 6 Months bila kuacha , kutakuwa na improvement kubwa sana. Tatizo litaondoka slow but sure . You don’t need Pharmaceuticals medications. Panic unawezaa ukawa unaipata mara chache chache but itapotea kabisa.
Pia mapigo ya moyo ulikuwa unayapata kwa Sababu inaonekana ulikuwa unatumia mmea hali ya kuwa una uoga mwingi,yaani unaogopa na wsiwasi.
due to lack of guidance, kuna namna ambavyo your CNS ili react mara ya kwanza ulipovuta....... but it’s okay , you gonna be fine just learn how to relax . Don’t take any Canabis , observe prescription above
Otherwise, hizo ni side effect za kawaida hasa kwa wale wanaovuta bila ushauri wa kitaalamu. But slowly zitaondoka, usiendelee kutumia tena for atleast 3 to 5 years.
Kama kuna medication ulizopewa Hosp, kwa matatizo mengine ukiwa unaumwa, you can DM me , kuona kama kuna dawa yoyote ulishawahi kutumia ikaleta hiyo side effects ya tachycardia.
Always learn how to seek for guidance, remember that