Ukishajua Motive yako, now let’s talk about dose , Take time to understand, don’t rush ... slowly but sure .... re read most of the time .
1. Dose for Smoking.
a. Uwezo wa Bangi unapimwa kwa kutumia THC ambayo inakuwa expressed kwa percentage or milligram (mg).
b. THC ndiyo ile stuff that makes you HIGH. Majani ya Bangi mengi THC concentration zina range kati ya 18 %na 22% kwa 1 gram ya maua yaliyokauka . Yaani, ukichukua maua ya bangi gram moja utapata THC concentration kati ya asiliamia 10 au 22.
c. Hata hivyo, Inashauriwa kutumia milligram ili watu waelewe vyema dosing process. Kwa mfano umeona package ya mmea imeandikwa 18% hii maana yake ni 180mg, ukiona imeandikwa 5% hii maana yake ni 50mg, ukiona imeandikwa 20% hii maana yake ni 200mg. Always just multiply that percentage by 10., you get the milligram.
d. Kwa mfano hiyo picha hapo chini,
Total THC ni 17% na ujazo wa hiyo TIN ni 14g. This means, Ukiweza kumaliza hilo kopo lote maana yake utakuwa umevuta 17% (170mg) ya THC.
Kwa wale tusiokuwa na mambo ya kisasa, maana yake ni hivi; ukizunguka kule nyuma ya bustani yako, ukafanikiwa kuchuma gram moja ya maua maana yake hayo maua yako yote utakuwa na kiasi cha THC kati ya 10%(100mg) hadi 22%(220mg).
Maua ambayo ndio bangi yenyewe yaani Smokable part
Sasa hayo maua hapo juu yawe one gram, it will mean 100mg THC kwa Mfano wa hapo juu.
e. Kwa uhakika zaidi unaweza kwenda pale MUHAS institute of Traditional Medicines wanatumia PCR watakwambia hayo maua yako one gram yana THC asilimia ngapi( mg ngapi) Utapewa control number tu utalipia gharama za upimaji, that is all.
Hii pia itakusaidia kujua mmea wako uliopo hapo home una kiasi gani cha THC ikiwa utachukua gram moja ya maua.
f. Sasa ukishajua THC concentration katika mmea, hapo chini ni jedwali linaloonesha mgawanyiko wa dose kwa mtu ambae anakusudia kutumia mmea kwa njia ya KUVUTA;
g. Tafsiri yake ni kwamba kwa mtu anaenza kuvuta Bangi hapaswi kuzidisha 90mg, na kiwango cha kuanzia ni kati ya 5mg to 10mg of THC.
Mimi nilipoanza kutumia mmea nilitumia only 10mg na hiyo ndiyo dose yangu wakati wowote nikizi sana ni 15mg.
Mtu anaweza kuuliza sasa 5mg naipataje? Well it is easy, weka maua yako katika mafungu ya gram moja moja (this is local method). Huko juu tumeona kwamba gram moja ya mmea unaweza kuwa na THC kati ya 10%(100mg) hadi 22%(220mg). Kwakuwa mimea yetu haifuatishi sheria za kilimo, nina assume kuwa mmea wa Kilimanjaro nikichuma one gram nitapata 10%(100mg) za THC.
Then
h. .Ninaamua kutoa misokoto 10 (rolling Joint) katika hiyo one gram. This means kila msokoto mmoja utakuwa na 10mg of THC.( 100 divide by 10) Then, kama ninaamua kuvuta 5mg as beginner maana yake nitavuta nusu msokoto, kama ninataka kuvuta 2.5mg as a beginner maana yake nitavuta robo msokoto and get the effect. Nusu msokoto ni kama 2 to 4 puffs inategemea na pumzi yako. Kwa NCHI ambazo zimeendelea, ukienda kwa registered vendor, anakupa msokoto ambao una exact strength ya THC unayotaka.