Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Kwahiyo hizo ni nguvu za Mungu sio zetu (powers from within). Hizi ni nguvu tegemezi kwa maana hiyo, kama ni tegemezi kwanini watu kama buddhist ambao hawaamini Mungu kabisa wanaoneka wanauwezo zaidi katika kutumia hizi nguvu?
Mkuu Bufa, nimekueleza kuwa powers ziko ndani yetu!. Kwa wenye imani ya Kikristu, tunaamini tuliumbwa na Mungu kwa mfano wake, hivyo nguvu za Mungu hukaa ndani yetu na sisi ndani yake!.

Hizi dini tumeletewa na wazungu na waarabu juzi juzi tuu, kabla ya hapo tulikuwa na dini zetu za asili kwa miaka mingi kuliko tuliokuwa na dini hizi za kuja!. Kwa vile since time immemorial, powers ziko ndani yetu, mababu zetu na imani zao, pia walikuwa na powers!, walioamini mizimu, ilifanya mambo!, waliosalia chini ya mti walifanya mambo!, waliosalia ndani ya pango, walifanya mambo!, waliosalia milimani, kwenye jiwe, kisimani, kichuguu etc, vyote vilifanya mambo!, hadi wanaoamini tunguli, zilifanya mambo!.

Budhist na Hindu walianza kuabudu miaka 300,000 kabla ya Kristu!. Kwa vile powers ziko ndani yetu, imani ni ufunguo tuu wa hizo powers!. Hivyo Waislamu they are right kwa wanachoamini, Wakristu pia wako right kwa wanachoamini, Wahindi, mababu na wengine wote kwa sababu the "powers from within are the same" regardless ni Mungu yupi unayemuamini!.

Wachagga ndio kabila la kwanza kuachana kabisa na mila na kuufuata Ukristo!. Laiti ungejua siri ya mafaniko yao, unaweza usiamini!.

Pasco
 
Mkuu Pasco asante sana kwa kuanzisha uzi huu na kwa elimu uliyoimwaga hapa. Shukrani pia kwa wote waliochangia na kutushirikisha (sharing) uzoefu na uelewa wao juu ya mada hii. Mungu akubarikini nyote. Msichoke kutuelimisha.
Nimejifunza mengi na ntazidi kujifunza kupitia msingi nilioupata hapa. Nimepata uchungu nilipogundua kumbe nilikuwa na powers lakini sasa sina tena kwa sababu ya kujichanganya na dunia, nadhani ujana umechangia. Sijui nifanyeje niweze kurudisha powers nilizokuwa nazo!
 
Last edited by a moderator:
Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo,
Hapo juu umeanza na kila mtu halafu hapa chini unasema wengi, sasa tukueleweje?

Psychic Powers- Ni Nguvu za Kufanya Miujiza-Wengi Wanazo Bila Kujitambua!-Jee Wewe Unazo?!,

Halafu Pasco haya mambo ni majaribio ya watu kujaribu kueleza mambo yatokeayo. Wewe una uthibisho gani kuwa sio Mungu, Uchawi na vingine ulivyotaja??, yaani hayo maneno yako tu ndiyo unataka tuamini hivyo??
 
Anayekwambia haya mambo yapo kwenye ubongo na ni natural hakuna nguvu zozote mbaya zinazohusika anakudanganya, sisemi from the Bible au Quaran point of view lakini hizi zote zinahusika na kufungua the third eye ambapo hapo ndipo mambo huanzia, hata hao wanaoongelea meditation wote hulenga huku huku tu na siku hizi njia za kufungua third eye zipo nyingi hata through music ambayo iko tuned katika frequency flani, sasa watu wote nliokutana nao ambao waliattemp kufungua third eye their first vision ilikua viumbe vya ajabu, na wengine hujiona kama wapo juu ya universe hivi through someone's eye.. Yote haya ni njia tu ya kukaribisha viumbe usivyovijua mwilini ukidhani its natural since utaambiwa point inatokea kwenye Pineal gland ambayo form iv wanafundishwa haina function japo juu wanasema inahusika ktk maswala ya sleeping.. We unadhani kwa nini hata freemasons wanatumia alama ya jicho au kwenye American dollar.. au kwa wafuatiliaji nani hajawahi ona picha ya binadamu mwenye jicho la tatu kichwani? Hizi si nguvu nzuri kama watu wanavofikiria, utasema huzitumii vibaya so shida iko wapi, ila u have let things in u huwezi jua ukiwa unconcious vinafanya nini, ndio maana wengine hufanya kitu afu baadaye wanaambiwa wanagoma..

Mtu anayesema alikua na power afu sasa hivi hazioni, obviously ni kwa sababu kafunga the third eye bila kujua, na hata lilipofunguka zile nguvu alikua nazo bila kujua zimetoka wapi ni kwa sababu alilifungua pia bila kujua alichofungua ni nini, kuna hata quartz crystal waangalia movie wataona hua hollywood wanatumia sana kuonyesha wachawi wakifanya yao, acha ki-movie turudi kwenye reality, ile crystal ina nguvu na ukilala nayo siku kadhaa unaweza fungua third eye bila wewe kujijua..

Kueni makini, mimi haya madude si mazuri, ulimwengu ule unatisha
 
Wewe na nani? Maana wengine hawapendi huo mchicha. Bullshit!
Issue sio kupenda, au kutopenda, issue ni mchicha unaliwa!, hata mtoto wangu hapendi mchicha and yet anaula!.
Na kuila bullshit, sio kwenye mchicha tuu!, inatumika kwenye vyakula kibao and its very good!. Uwe unajijua au hujujui, hata wewe unakula sana bullshit, sema tuu kwa vile wewe ni ...na ...haoni ..., then unadhani bullshit is a big deal!, its not!, tunaila!.
Pasco.
 

Mchicha siupendi na siuli. Bullshit.
 
Rjohn, usiingie uonga, sio kila ndoto ni kweli, nyingine ni ndoto tuu, mfano hizo zako za kupaa, ni ndoto tuu, nothing much!.
 
Mkuu pasco umeongelea kuhusu Astra projection na hasara zake ikitokea mwili uliouacha umepata madhara kwamba huwezi kuuingia tena,swali langu sasa huyu mtu anakuwa wapi au ndio anakuwa amekufa? na kama hajafa anawezaje kuishi tena kama binadamu wengine?
 
Mkuu Pasco, nini kinanisumbua?
Nakumbuka niligombana na rafiki yangu mmoja, kesho yake nikamfata kwake huku nikiwa bado nina hasira....nilimkuta anakula mezani, nilimtazama kwa hasira mpaka sahani yake ya chakula ilisogea....wote tulishangaa.
Kila Siku najaribu kuirudia lakini haiwezekani.
Power ndani ya miili yetu.
 
Last edited by a moderator:

Leo nimejufunza jambo pia, sijui kama ni sahihi!! budha (Cambodia) wako mwaka 2546, sisi tz 2013, islam wako 16'nk, chinese lunar callender pia siyo 2013 ( wao kila baada ya 60 years wana anza upya) kwa maneno mengine dunia haipo sawa!!
Swali bado sina jibu; ilikuwaje dunia nzima inatumia mwaka wa Yesu kristo? maana 2013 ni wa Jesus.
SP
 
Mkuu Pasco samahani lakini...mkuu naomba ureply ka-post kangu kapo hapo juu kanahusu sie wengine tusiokua na hizo powers naona umelike tu.
Najua maswali mengi na bahati mbaya mwalimu wa somo ni we peke ako..ila husichoke ndio baraka zenyewe hizo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco na mshana jr kuna kitu hii huwa inanitokea sana. Kuna kipindi nilikuwa naishi nyumba fulani mara nyingi nilikuwa naota ndoto za kupigana na watu wabaya "wachawi" ila msaada mkubwa nilikuwa namuita mama anisaidie na anaisaidia na tunashinda hiyo vita ya ndotoni. Mara nyingi kama sio zote mama amekuwa msaada kwangu katika vita ya ndotoni. Sasa najiuliza mama yangu huwa ana nini??

Ndoto nyingine huwa naota napaa au nakimbia kwa kupaa na ninawaacha wanaonikimbiza, hakuna siku ambayo nimekamatwa na hao wanaonikimbiza. Je kuna nguvu gani hapo???

Ndoto nyingine ni kuota kuhusu maji, yaan kama nina mpango fulani siku za karibu ama kesho yake kisha nikaota kuhus maji iwe ni ziwa, bahari ama mto hakika huo mpango huwa haufanikiwi. Pia kuna baadhi ya vitu huwa naviona kabla havijatokea.

Kuna siku niliota ndoto fulani kuwa kuna mtu kaja kazini kwangu akiwa na hitaji fulani, lakini akakosa.. kesho yake kweli akaja na akihitaji kitu kile kile na akakikosa kabisa!

NDOTO NI NYINGI AMBAZO HUWA NAOTA NA ZINATOKEA KAMA NILIVYOOTA AU ZINASHABISHIANA.

Je nitakuwa na nguvu gani? Naweza kuikuza ikanisaidia

Wasalaam

CL
 
Last edited by a moderator:

Pasco nimeupenda mchanganuo wako, tunafanana mambo mengi ila mimi sijafuatilia kwa karibu kama wewe ulivyofanya.
 
Pasco hebu nijibu hili swali

watu huwa 'wanaibiwa ' huu uwezo?

manake mimi zamani nilikuwa na uwezo wa ajabu wa mambo meengi mno

now naona kama kuna mtu ameniibia hayo mambo,
je nifanyaje?

Ni kweli kazi za kuiba uwezo/vipaji/ nyota in ya wanga/ wachawi. uwezo unabambikizwa uovu. na uovu unaweza kuwa uzinzi, wizi, ulevi, uuwaji, udanganyifu n.k
 
Last edited by a moderator:

Mhhhhhhhhhhhhhhhhhh.....!
 
Last edited by a moderator:
Mchicha siupendi na siuli. Bullshit.
Mkuu Nyani, nimekuambia kula bullsheet sio lazima mpaka kwenye mchicha tuu!. Nakuhakikishia bullsheet, umekula sana tuu!, ila kwa vile wewe ni nyani, na nyani huo haoni ..., wewe unaona tuu "bullshit" tunaolisha wenginei!, nina uhakika 100% chini ya 100% nyani amekula sana bullshit!, endelea kubisha tuu ili kujifurahisha!.
Uwezo wa kujifurahisha nao pia ni powers, zinaitwa affimatives, kwa kujiplease "this is bullshit!", hao ndio wenye "bullshit", "mimi nyani sijala bullshit" kwa sababu inapatikana kwenye mchicha tuu, na mimi sili mchicha, hivyo huwa sili"bullshit!". This is not bullshit!, its Big Bull, Bullshit!.
Pasco.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…