MC RAS PAROKO
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 623
- 606
Kuna kitabu nimewahi kukiona ila kwa sasa sijui kilipo sijui kinahusiana na mambo haya IN SEARCH OF THE MAHATMAS OF TIBET by Edwin G. Schary kama kuna anayekifahamu msaada plz.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LORDVILLE Nikweli usemavyo mimi nkilibahatika kupata used hard copy from uk.kama kuna book copier nzuri we can make a copy maana siku za nyuma nilijaribu stationery za kiswahili wakacopy vibayamkuu hiki kitabu una softcopy yake au link maana nimeki gugo hamna kitu??? Kama uko nacho naomba tuwekee hapa...
unasimulia kama ambavyo ningesimulia.hi mambo ipo.Toka jana sijahama kwenye hii thread. Mkuu Pasco, Mimi huwa inatokea kupepea km ndege na mabawa yake mara baya linapotaka kunitokea dhidi ya maadui zangu. Nawaacha wakinishangaa nikipepea usingizin. Na pia kuna baadhi ya vitu, watu na maeneo mbalimbali huwa nafika, kuvijua au kuwajua kabla ya kukutana nao au kuviona physically. Na kuna wakati hujikuta kuna matukio yanatokea ktk real life nayakumbuka kama yalitokea before. Huwa nashangaa sana.
Ilishapata kutokea mara kadhaa kuwazungumzia watu vifo na ikawa ivo. Moja kuna shangazi yangu aliumwa kwa mda mrefu sana, akawa ananihitaji nikamuone, wazazi waliniimiza niende kumuona coz ananitaja sana na hawakuwa na uhakika na hata chembe ya kesho yake, by then nilikuwa form three na nikiwa ktk maandalizi ya mitihani ya annual km sikosei. Niliwaambia wazazi, anti hatokufa mpk niende kumuona. Ni kweli baada ya kimaliza mitihani nilienda kumuona na siku mbili badae akafa.
Lingine kuna mtoto wa mama yangu mkubwa alikuwa anasumbuliwa na miguu. Nikiwa nimepanga kwenda kumuona kesho yake, usiku nikaona ameshakufa. Asubuhi nikamwambia mama yangu, naenda kuthibitisha, dada amefariki. Mama akasema ni ndoto tu. Nilipofika huko nilikuta wanatoa makochi nje, nikamuuliza bamkubwa hali ya mgonjwa,, kwa majonzi makuu akanijibu " dada yako ametushinda", nilistaajabu sana. Niliporud home kupeleka taarifa mama yang alibaki kunishangaa.
Pia nilikuwa na uwezo wa kuona wanga na kujua usiku mbaya. Nimepigana na wengi. Ilishanitokea kipindi nikashindwa kulala usingizi japo wa lisaa kwa mwaka mzima. Nikaomba Mungu aniepushie kuona hayo coz nilianza kuogopa. Baadhi ya marafiki nilikuwa nikiwaambia yanitokeayo wakawa wanasema nawasimulia nigerian movies.
Nilpotizama series ya Kyle XY nilipata funzo kwa kiwango fulani juu ya uwepo wa nguvu ndani yetu ambazo binadamu hatuzitumii.
Tupo pamoja katika hii thread.
baada ya kufa mhariri bw.munga tehenan na ndipo gazeti lilipokufamiaka ya nyuma kulikuwa na magazeti yaliyoitwa JITAMBUE na MSHAURI yalikuwa yanafundisha kuhusu hizo nguvu sijui yaliishia wapi
nakubaliana kabisa na wewe mkuu pasco, kipindi fulani katika maisha yangu nilitamani sana kujifunza uchawi mwenye tija, nikajikuta nimeangukia kwenye temple moja south africa iliyokuwa inafundisha buddhism yoga meditation na supernatural powers
yalikuwa ni masomo magumu ya ajabu na yenye kushangaza kwa jinsi yake, kwa ufupi ni kwamba hakuna chenye nguvu duniani kama bongo(mind) ya binadamu, na tunachokitumia katika mind zetu ni theluthi tu ya kile chote kilichopo
tunafundishwa kuwa kuna 5senses, lakini zipo 8 ambapo mtu ukiweza kuzifanyia kazi utafanya maajabu mengi , mind ya mwanadamu imejazwa takataka nyingi mno, illusions na dillusions ukiweza kuziondoa kwenye bongo yako ukabaki na pure and stable mind unakuwa mtu mwingine kabisa mwenye maono na nguvu za ajabu mno
medition ni kitu cha mwanzo kabisa kuendea kwenye kudevelop supernatural powers, nilifanya meditation zote, chanting, yoga nikiwa vegitarian kwa miaka mitano nikajikuta nabadilika nikaogopa nikaacha , kwakuwa niliona wazimu kuna mafundisho yanapingana waziwazi na imani yangu
nimeipenda mada yako sana. Nakaribisha maswali na ufafanuzi nimeisoma sana buddhism, taiosm, satanism na kshna consciousness
mwenye kupenda hii mambo atafute kitabu kiitwacho analects: Way and its power.
Mkuu mwakibete, kwanza hongera sana!, you have the powers!. Kinachotakiwa sasa ni namna ya kuzidevep na kuzi channel uanze kuzitumia positively to make things happen!. Hilo la kuruka kwenye ndoto ni kuwa watu wabaya hufanya mambo yao usiku, wachawi huloga usiku, wanga huwanga usiku, etc, hizo unazoziona kama ndoto, ni uwezo wa kuwashutukia na hawakupati!, hawakuwezi!.
Hilo la la kuwakuta watu na vitu kabla ni
Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen.
Kukumbuka mambo yaliyotokea zamani ni
- Remote viewing - Gathering of information at a distance.
- Retrocognition - Perception of past events.
- Scrying - Use of an item to view events at a distance or in the future.
Kutokana na huyo shangazi yako kukuhitaji, ile statement ya "hotokufa mpaka nimuone", wewe bila kujijua, uli stop her death!. Hizi ni powers kubwa sana na hapo uliweza kuzi invoke kwa sababu you had no way, unahitaji kumuona shangazi ila huwezi kuacha mitihani!, the powers from within, zika open up, zikamzuia shangazi asife mpaka ulikenda, na ulipomuona, wewe bila kujijua, uka let it go, na shangazi alipokuona naye she let it go, the she was gone!, laiti ungelijue by then kuwa you have such powers, ungeweza kuzitumia sio kumuacha shangazi afe, bali hata kumponya!, unless alikuwa too old, and she needed to rest!. Powers to delay death ni sawa na powers to stop death, ni powers to perform miracles!.
Now that you know you have powers, nenda kwenye kumbukumbu, watu waliokuudhi hadi ukaumia, nini huwa kinawakuta!. Sometimes watu sio tuu wana powers za kuzuia mambo makubwa, wengine wana destructive powers bila kujijua!. Inawezekanu mtu akikuudhi sana ukakasirika, ukiumia na kulia machozi ya ndani kwa ndani!, linamkuta la kumkuta!.
Hapo ni Death-warning - A vision of a living person prior to his or her death.
Huna haja ya kumuomba Mungu kukuepusha, bali kukuongaza, nguvu hizi zijidhihirishe wazi, uzitumie more positively more profitably zaidi ya kupambana tuu na wanga na wachawi, bali kuwatokomeza na hata ikibidi kutoa mapepo kwa wengine, kuponya, kuzuia vifo na kuleta mafanikio.
Hili la kusoma tuu vitabu kuwa makini sana!, kuna vitabu sio tuu vinafundisha kutumia nguvu hizi vuzuri, vingine vinapoteza, ikiwemo matumizi mabaya kuusaka utajiri!.
Pasco.
Hii Bullshit ni nzuri sana, bull akiwa ni mnene, hii shit pia ni nene!, inapowers pia ndio maana sisi tunaila kupitia mchicha, na unakuwa ni mtamu sana!, hivyo bullshit ni tamu sana!. Asante!.
Pasco.
Hii Bullshit ni nzuri sana, bull akiwa ni mnene, hii shit pia ni nene!, inapowers pia ndio maana sisi tunaila kupitia mchicha, na unakuwa ni mtamu sana!, hivyo bullshit ni tamu sana!. Asante!.
Pasco.