Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Mimi - huwa natazama jambo kabla halijatokea na kujua majibu yake na najua itakuje.

Mfano nilikuwa najua matokeo yangu ya form four na form six na hadi chuo.

Hii power huwa inaitwaje Pascal Mayalla

Then nina uwezo mkubwa wa kumshauri mtu njia za kufata na kutumia na akafanikiwa kwa 100% hata Kama anaenda sehemu ambayo Mimi sijawahi kufika.


Pia nina uwezo wa kumjua mtu huyu ni mwema au mbaya ninapomuona tu.


Nipe ABC
 
Mimi - huwa natazama jambo kabla halijatokea na kujua majibu yake na najua itakuje.
hapa fafanua zaidi kidogo
Mfano nilikuwa najua matokeo yangu ya form four na form six na hadi chuo.
hii inaitwa the power of expectation,unadhamiria kupasua, unafanya bidii, unapasua,
Hii power huwa inaitwaje Pascal Mayalla
Mkuu DR HAYA LAND,
Una powers za Precognition!, extrasensory perception or a sixth sense ya premonition
Then nina uwezo mkubwa wa kumshauri mtu njia za kufata na kutumia na akafanikiwa kwa 100% hata Kama anaenda sehemu ambayo Mimi sijawahi kufika.
Hiyo inaitwa the power of suggestion, ukimshauri mtu kitu,anafanikiwa。
Pia nina uwezo wa kumjua mtu huyu ni mwema au mbaya ninapomuona tu.

Nipe ABC
Hiyo ni power ya pre cognitive,una uwezo wa kusoma kitu kinachoitwa aura。
P
 
mkuu Inkoskaz
hicho kitabu unachozungumzia hapo unacho??
je nifanyaje ili na mimi nikipate??
kama unaweza nisaidia kukipata fanya hivyo mkuu
 
Ni kweli!, the same applies kwa wanawake viruka njia na waachiaji, wanakolea kuliko waliojitunza na kujituliza!, as a result wanagombewa!.
P.
 
Mkuu DR HAYA LAND,
Una powers za Precognition!, extrasensory perception or a sixth sense ya premonition
P
Kwa hapa nitaenda tofauti kidogo na wewe kwa maana kasema NATAZAMA JAMBO LINATOKEA hajasema NIKIOTA JAMBO LINATOKEA!

Hivyo kwa maelezo aliyotoa kwenye Ujumbe wake ni kwamba anaona jambo likiendelea au likifuata dakika chache zijazo kitu ambacho kinamfunga kuwa kwenye second sight ambayo inamfanya aweze kuaccess Clairvoyance kwa uchache ambayo inampa posibility ya utambuzi ujao hasa ukizingatia hapo anasema akimshauri mtu inakuwa ni 100% hivyo hana Precognition.
Na hata ukimuelekeza jinsi ya kuamsha precognition hawezi kupata ndoto ya future na ukimfundisha kuvibrate third eye atakuwa na ability nzuri upande wa clairvoyance

Rakims S.
 

So nina aina gani ya POWER mkuu ?
 
Mkuu mshana Mimi nipo morogoro je kuna temple yeyote hapa morogoro inayotoa mafunzo haya au la kama hamna je utanisaidiaje kupata maarifa hayo
 
So nina aina gani ya POWER mkuu ?
Wapo watu watakuja na kukwambia kuwa una experience Dejavu lakini hapana hii ni Second Sight ambayo inakusadia katika kupredict event itakayotokea wakati uliopo au wakati ujao lakini kwa uchache sana na haikupi nafasi ya kujua ni muda gani exactly hilo jambo linatokea.

Precognition - ni ability ya kuota kijacho
Dejavu - ni ability ya kuexperience kitu ulichonacho muda huo na kukufanyia kama kumbukumbu kuwa unarudia tukio lile lile.
Second sight - ni ability inayokupa experience ya hisia katika kipindi kifupi ulichonacho au kinachokuja punde ambayo inapelekea wewe kuwa mtabiri wa jambo usilo na hakika nalo kisha likapotea nguvu hii inavunguka na kufanya kazi kwa kuzubaa. Penda sana kuzubaa utakuwa unaona mengi.

Rakims
 
Mkuu asante ila, Naomba kuelewa katika kuzubaa hapo.
 
Kwenye meditation unaweza kuwapata malaika kama wanavopatikana majini wa asili tofauti tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…