Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
- Thread starter
-
- #2,301
unatakiwa kusoma bandiko ni la lini,kisha unapiga hesabu kiongozi aliyekuwepo wakati huo, na alifuatiwa na nani。Mkubwa, hapa kwa ajaye uliona nini? Natamani nisikie neno kuhusu sehemu ndogo ya aya hiyo ya mwisho.
Nimelipitia andiko vyema. Na bado naendelea kulipitia. Nimehusisha pia wakati wa andiko na rais aliekuja kipindi cha baada ya andiko.unatakiwa kusoma bandiko ni la lini,kisha unapiga hesabu kiongozi aliyekuwepo wakati huo, na alifuatiwa na nani。
P
Pasco Pole sana na kauli ya "Bwana yule"Mimi mwenyewe nimeanza kujiogopa!,nilipobatizwa lile jina,ni kweli ile hali ikanitembelea kweli, nikapigika!,nikaumia!matokeo ya kuumia kwangu, ndio vile tena!
Angalia kilichomkuta yule aliyenisulubu kule kwenye ule mnanii pale mahali!
Usifanye mchezo kabisa na watu wenye invicible powers!ni watu wa hatari kuliko watu wenye the real powers!,kwasababu watu wenye real powers,powers zao zinaonekana!,mitutu,suti nyeusi, ving'ora,vyombo vya dola,hivyo silaha zinazotumika,they are visible, unaziona!, unajua jinsi ya kujilinda, unatinga bullet proof, ngoma inadunda!, umemaliza kazi!, lakini invisible weapons, huzioni!, hujui utajilinda vipi!, hivyo watu wa type hii ni hatari kuliko unavyowadhania!, wakishauri jambo, salama yako ni kutekeleza tuu!, vinginevyo sasa hivi tunaweza kuku ... na tunakusahau!.
Be warned usiseme hukujua! au hukuambiwa!, najitolea mfano mimi mwenyewe! "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia hivyo hii ni number nyingine kabisa!, cheza nayo mbali!, usije na wewe ukalala leo, kesho usiamke!.
P
Mode, niliomba tuwe na jukwaa la mambo ya spiritual powers, zamani tulikuwa na jukwaa la Dini na Imani, lirudishwe, tuwasaidie watu kuwajenga kiimani, na pia litasaidia wahubiri matapeli wasizizi kuwatepeli watu wakijifanya wana nguvu, kumbe hizo nguvu kila mtu anazo, tuwafunze kuzifungua na kuzitumia!.Wanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, "Mambo ya Powers".
Wazo zuri sana mkuu, hope watalifanyia kazi maana kiukweli tumezimisi ndozo za hizi mambo recentlyMode, niliomba tuwe na jukwaa la mambo ya spiritual powers, zamani tulikuwa na jukwaa la Dini na Imani, lirudishwe, tuwasaidie watu kuwajenga kiimani, na pia litasaidia wahubiri matapeli wasizizi kuwatepeli watu wakijifanya wana nguvu, kumbe hizo nguvu kila mtu anazo, tuwafunze kuzifungua na kuzitumia!.
Mnaonaje?.
P
Naunga mkono hoja, zamani tulikuwa na jukwaa la dini na imani humu,jukwaa lile lilifungwa kwasababu kuna members walianza kushambulia imani za wengine,hoja ya Yesu sii Mungu ikatibua mambo!#Collective consciousness
Naunga mkono hoja kwa dokezo/angalizo moja;
1. Haki ya kila binadamu kuamini katika imani ayayoiamini na kila mtu aheshimu Imani ya Mwezake.
=Kwahiyo jukwa liwepo ila wachangiaji wadokezewe kwamba kisheria kila mtanzania ana-haki na uhuru wa kuamini na kuabudu katika imani aitakayo... Na katika hilo hawana budi kuheshimiana.
Kabisa Mkuu... ila spiritualism hii term bado inaukakasi, jina linatakiwa lisanifiwe katika muktaadha wa Upeo\Ufahamu\Utambuzi.Naunga mkono hoja, zamani tulikuwa na jukwaa la dini na imani humu,jukwaa lile lilifungwa kwasababu kuna members walianza kushambulia imani za wengine,hoja ya Yesu sii Mungu ikatibua mambo!
Mimi nilishauri,ukiwa dini sii yako,achana nayo,kama kuna mtu anaabudu jiwe,mti,mizimu,sanamu,etc,muache usimuingilie,ni haki yake.
Hili jukwaa la spiritualism,nashauri liwe confines to the universal powers na sio imani za dini.
P