Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?


Mkuu ni kweli the power of the third eye ambayo iko kati ya macho mawili ina nguvu ya ajabu.Lakini haimaanishi kuufungua ubongo kwa meditation au haikufikishi huko.Hizi ni njia tofauti za kukufungua lakini zenye malengo yanayofanana
 
Mkuu Yerusalemu, miili yetu ina sehemu kuu mbili, phisical body na spiritual body. Inaokufa ni physical body tuu, spiritual body haifi!.

Wakristu wakatoliki tumeaminisha ukifa, kama unakwenda kuzimu, au toharani kusubiri ile siku ya ufufuo wa miili na hukumu ya mwisho, ndipo uhukumiwe kwenda mbinguni au motoni!, kwa wale wa motoni ni moto wa milele, na wa mbinguni ni uzima wa milele!.

Wakristi wengine wanaamini ukifa unahukumiwa na kwenda mbinguni au motoni kwenye jehanum ya milele.

Waadventista Wasabato, pentecoste na Watch Tower wanaamini mbinguni na peponi ni hapa hapa duniani.

Hindu na buddha wanaamini kwenye life after life na life before life chini ya process ya reincarnation. Ukifa, mwili tuu ndio unakufa, spirit inahamia kwenye mzaliwa mwingine!. Ukitenda wema unazaliwa budha, krishna, ukitenda maovu unazaliwa mbwa, paka, punda etc!.

Kile anayekufa, anauona mwili wake na kila kinaendelea, akizikwa kwa heshima, astra body yake ina rest in peace!.

Ikitokea astra body ikakuta physical body haipo, then inageuka Ghosts au Wandering Spirits- ...
sambamba na wote wanaokufa untimely death, mfano za ajali, risasi au watu wanaokufa na miili haijapatikani, spirits zao zinabaki zikitanga tanga!, ndio hizo huitwa ghosts, na nyumba zao huitwa "Haunted Houses"
au Haunted Places!

Mfano ilipozama MV Bukoba, au Spice Islander, miili yote ambayo haikupatikana, spirts zao zinabaki zikiwa wondering spirtis!. mimi nikiwa biker, nilikuwa nasafiri kwenda popote saa yoyote. Wakati wa usiku, kuna maeneo nikipita, vinyweleo hunisimama!, basi mara moja hutambua hilo ni eneo lenye wondering spirits!. Hsawa maeneo yenye misitu mimine, au madaraja!, inamaanisha kuna watu waliuliwa, wakatupiwa humo bila kuzikwa!. Sometime hawa wondering spirits wanakuwa evil!, wana sababisha ajali za mara kwa mara!. Ni vile tuu, we don't keep record ya maeneo yanatokea ajali za mara kwa mara na sababu ni nini!.

Pasco
 
duh mie nasoma haya mambo naogopa,,mlango umejibamiza tu wenyewe nimerukajee!mhh endeleeni kutujuza
Charity, you have the powers!, shauri ya uoga, umezifungua nguvu zako za "mind over matter" ukaubamiza mlango bila kujijua, unatakiwa kuzituma kuufunga mlango, kuzima taa, kumuita umpendae, kupata unachotaka.

Anza kwa kukaa mezani, weka maji kwenye glasi, itazame kwa concentration huku ikiilazimisha glass ikufuate!, kama una imani na nguvu unazo, itakufuata!. Vinginevyo mlango umejibamiza kwa upepo tuu!.
Pasco.
 
Pasco unazungumziaje kuhusiana na ku unleash Lotus of Kundalini na effects zake kwa aliyeiamsha?
Mkuu Amani, mimi nafundisha kuziamsha naturally tuu kwa kuamini Mungu!. Ktumia, kitu chochote ambacho hakiendani na Mungu, naamini ni evil, hivyo hata tarot, bio disc, zile pendants, bracelets, rings, zile picha, zile nguo, zile harufu, ile miziki, au kutumia mediums, yote imebebeshwa fungo sizo!.
Pasco.
 
Nimekipata kitabu cha Al Koran

Bring out the magic in your Mind
Kinapatikana amazon kwa hardcopy ama kindle soft copy..Nimenunua soft copy dolar 8..worth it though

Mkuu marshal ukiamini utakipata na kukusudia kama ulivyofanya utapata! la msingi ni kukisoma with practising each chapter urudi kutupa majibu humu

Uzi huu umenikumbusha ila REAL jf ya Great Thinker wanaopenda kuzishughulisha akili zao na wale wenye hazina mbalimbali ku-share na wenzao

Na kwa muendelezo wa SHARING IS CARING ukishare na wengine hiyo soft copy utafunguliwa na kubarikiwa zaidi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco nini tofauti kati Astra body na physical body,ikiwa astra body inarest in peace ni kipi kinaipa power kuwa tena au inakuaje ibadilike kuwa spirit iyo mos,pili ikiwa kwa iman za dini na nje ya imani za dini bado hizi nguvu za asili zipo ndani ya mtu swali langu nini asili yake,nani anazipa uwepo kabla ya uwepo wa binadamu na kipi ni sahihi baada ya kufutika binadamu duniani ikiwa ndani na nje ya imani kuna mitazamo tofauti?
Naomba majibu,nimeshapitia makala nyingi za Utambuzi na binafsi nimejifunza mengi sana..
 

Bio disk ina tatizo gani? Nimeitumia hiyo
 

Lakini Mkuu Pasco tunaambiwa lotus ya Kundalini inakaa mwisho wa uti wa mgongo na hii iko ndani ya mtu na jinsi ya kui raise inahitaji the Perfect Maste kumuongoza.Na kutokana na maandishi mbalimbali inasemekana hii inasafiri hadi kwenye ubongo.Yaani ni kama kufungulia bomba la mvua upward.
 

More disjointed bullshit!
 
Ninacho amini hakuna kitu kama hicho........it all about tricks
Kuna mtu anaitwa Chriss Angel anafanya mambo ya ajabu sana kwa madai hayo unayoyasema lakini mwisho wa siku ikawa revealed ni tricks tu

No no no...mdau unachanganya issues nahisi. Mi kidogo nimfuatiliaji wa hao kina Chriss Angel..Eugine na wengine...hawa wanafanya kitu inaitwa mind trick huku bongo tunaita mazingaombwe kwa sababu mi ni muumini wa there is no such thing as magic nilianza fatili wanafanyaje...katika pita pita zangu nikakutana na kitu kinaitwa "Magic secrets finally revielied" jamaa anatoa siri za washikaji wanapojifanya wanafanya magic..the good things hata mi nijua baadhi ya simple tricks kama kumuua inzi na kumfufua(kumbuka no such thing as magic bali ni trick tu) naweza kata uzi na kuunga na zingine na zingine ila sio nyingi.
Kwahiyo mdau mambo ya mind trick na uzi huu haviendani MY TAKE
 

Pasco,
Thanks! I wonder how do you know these things! Umesomea? Nitajaribu ku-exercise kama ulivyonishauri. In-fact mara nyingi nimekuwa na wazo la kuwa mimi ni mtu wa kipekee ingawa bado sijawa na uhakika wa upekee huo, labda sasa umeanza kunipa mwanga! Sasa nitaanza kujifunza na ku-practice ili nione exactly what I have inside me!

NB:
Nashukuru kwa kunipa jina la ile nguvu ya pili (second sight) kwa kongezea tu ni kuwa ninapowaona watu hao walio uchi ni kweli kuwa wenyewe hawaoni wala kusikia lakini ukifanya jambo (kwa vitendo au maneno) kuwahusu wao wanashtuka na ku-take action! Hilo nimelishuhudia mara kadhaa. Mfano kuna mmoja nilimwagia maji akashtuka, akageuka na kutokomea.
Mwingine aliingia chumbani kwetu (tukiwa watoto) kupitia kwenye ceiling board, nikapiga kelele kuwaambia wazazi kuwa kuna mtu hapa ameingia chumba chetu wakawa hawamuoni, nilipokomaa kumchunguza akanipiga ngumi ya mdomoni nikapiga kelele wazazi wangu wakawa hawaamini baada ya dakika chache mdomo ukaumuka (vimba) wakaanza kuogopa na kupiga kelele kuomba msaada toka kwa majirani na tangu siku hiyo wakaanza kuniamini!
 

Hii imenisisimua kidogo..ila kaka hujawai fanyiwa matambiko utotoni labda na bibi hivi kama vile kuwekewa chale za kukulinda..!!
All in all we jasiri sana unawezaje kustahimili maono haya
 

Mshana kumbe ni ww tuliyekuwa pa1 pale Bronkhorspruit. Ni-PM ili tuongee vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…