Anayekwambia haya mambo yapo kwenye ubongo na ni natural hakuna nguvu zozote mbaya zinazohusika anakudanganya, sisemi from the Bible au Quaran point of view lakini hizi zote zinahusika na kufungua the third eye ambapo hapo ndipo mambo huanzia, hata hao wanaoongelea meditation wote hulenga huku huku tu na siku hizi njia za kufungua third eye zipo nyingi hata through music ambayo iko tuned katika frequency flani, sasa watu wote nliokutana nao ambao waliattemp kufungua third eye their first vision ilikua viumbe vya ajabu, na wengine hujiona kama wapo juu ya universe hivi through someone's eye.. Yote haya ni njia tu ya kukaribisha viumbe usivyovijua mwilini ukidhani its natural since utaambiwa point inatokea kwenye Pineal gland ambayo form iv wanafundishwa haina function japo juu wanasema inahusika ktk maswala ya sleeping.. We unadhani kwa nini hata freemasons wanatumia alama ya jicho au kwenye American dollar.. au kwa wafuatiliaji nani hajawahi ona picha ya binadamu mwenye jicho la tatu kichwani? Hizi si nguvu nzuri kama watu wanavofikiria, utasema huzitumii vibaya so shida iko wapi, ila u have let things in u huwezi jua ukiwa unconcious vinafanya nini, ndio maana wengine hufanya kitu afu baadaye wanaambiwa wanagoma..
Mtu anayesema alikua na power afu sasa hivi hazioni, obviously ni kwa sababu kafunga the third eye bila kujua, na hata lilipofunguka zile nguvu alikua nazo bila kujua zimetoka wapi ni kwa sababu alilifungua pia bila kujua alichofungua ni nini, kuna hata quartz crystal waangalia movie wataona hua hollywood wanatumia sana kuonyesha wachawi wakifanya yao, acha ki-movie turudi kwenye reality, ile crystal ina nguvu na ukilala nayo siku kadhaa unaweza fungua third eye bila wewe kujijua..
Kueni makini, mimi haya madude si mazuri, ulimwengu ule unatisha
Mkuu ni kweli the power of the third eye ambayo iko kati ya macho mawili ina nguvu ya ajabu.Lakini haimaanishi kuufungua ubongo kwa meditation au haikufikishi huko.Hizi ni njia tofauti za kukufungua lakini zenye malengo yanayofanana