MAKANJAMNA
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,138
- 1,514
Pasco
nimedownload hiki kitabu "Master Key System", link hii hapa
https://www.google.co.tz/url?sa=t&r...HS1rNXBEehaI6sthkCjzrPA&bvm=bv.56146854,d.Yms
Je, ndio chenyewe hiki, msaada please
sawa mkuu fanya hako kautaratibu!
Nakubaliana kabisa na wewe Mkuu Pasco, kipindi fulani katika maisha yangu nilitamani sana kujifunza uchawi mwenye tija, nikajikuta nimeangukia kwenye temple moja south Africa iliyokuwa inafundisha Buddhism Yoga meditation na supernatural powers
Yalikuwa ni masomo magumu ya ajabu na yenye kushangaza kwa jinsi yake, kwa ufupi ni kwamba hakuna chenye nguvu duniani kama bongo(mind) ya binadamu, na tunachokitumia katika mind zetu ni theluthi tu ya kile chote kilichopo
Tunafundishwa kuwa kuna 5senses, lakini Zipo 8 ambapo mtu ukiweza kuzifanyia kazi utafanya maajabu mengi , mind ya mwanadamu imejazwa takataka nyingi mno, illusions na dillusions ukiweza kuziondoa kwenye bongo yako ukabaki na pure and stable mind unakuwa mtu mwingine kabisa mwenye maono na nguvu za ajabu mno
Medition ni kitu cha Mwanzo kabisa kuendea kwenye kudevelop supernatural powers, nilifanya meditation zote, chanting, yoga nikiwa vegitarian kwa miaka mitano nikajikuta nabadilika nikaogopa nikaacha , kwakuwa niliona wazimu kuna mafundisho yanapingana waziwazi na imani yangu
Nimeipenda mada yako sana. Nakaribisha maswali na ufafanuzi nimeisoma sana Buddhism, Taiosm, Satanism na Kshna consciousness
Mwenye kupenda hii mambo atafute kitabu kiitwacho Analects: Way and Its Power.
Hiyo itakuwa ni maji maji, tunaitumia sana kwenye utumbo!. Utumbo wa mbuzi hatuuoshi kabisa!, tunaukamua tuu na kuusokota ile ile harufu isipotee!. Hata utumbo wa ngombe ile sehemu ya kitabu, tunakunguta tuu! na moja kwa moja kwenye sufuria, ile harufu ya utumbo ndio mpango mzima!, jee unajua ni harufu ya nini?!, disjoited bullshit!.More disjointed bullshit!
Hiyo itakuwa ni maji maji, tunaitumia sana kwenye utumbo!. Utumbo wa mbuzi hatuuoshi kabisa!, tunaukamua tuu na kuusokota ile ile harufu isipotee!. Hata utumbo wa ngombe ile sehemu ya kitabu, tunakunguta tuu! na moja kwa moja kwenye sufuria, ile harufu ya utumbo ndio mpango mzima!, jee unajua ni harufu ya nini?!, disjoited bullshit!.
Kwa vile nyani haoni ...sishangai, nikiendwa mtwara ambako wewe ni chakula yao, nitafutilia kama kwenye utumbo pia wanaacha ili ni taste ...shit nilinganishe na ile ya bull!.
Pasco.
Mkuu Mpigania Uhuru, fanya with moderations kwa sababu powers zako ni higher powers, ukizifanya unguided, tunaweza kujistukia tumekupoteza into the unknown.Pasco,
Thanks! I wonder how do you know these things! Umesomea? Nitajaribu ku-exercise kama ulivyonishauri. In-fact mara nyingi nimekuwa na wazo la kuwa mimi ni mtu wa kipekee ingawa bado sijawa na uhakika wa upekee huo, labda sasa umeanza kunipa mwanga! Sasa nitaanza kujifunza na ku-practice ili nione exactly what I have inside me!
NB:
Nashukuru kwa kunipa jina la ile nguvu ya pili (second sight) kwa kongezea tu ni kuwa ninapowaona watu hao walio uchi ni kweli kuwa wenyewe hawaoni wala kusikia lakini ukifanya jambo (kwa vitendo au maneno) kuwahusu wao wanashtuka na ku-take action! Hilo nimelishuhudia mara kadhaa. Mfano kuna mmoja nilimwagia maji akashtuka, akageuka na kutokomea.
Mwingine aliingia chumbani kwetu (tukiwa watoto) kupitia kwenye ceiling board, nikapiga kelele kuwaambia wazazi kuwa kuna mtu hapa ameingia chumba chetu wakawa hawamuoni, nilipokomaa kumchunguza akanipiga ngumi ya mdomoni nikapiga kelele wazazi wangu wakawa hawaamini baada ya dakika chache mdomo ukaumuka (vimba) wakaanza kuogopa na kupiga kelele kuomba msaada toka kwa majirani na tangu siku hiyo wakaanza kuniamini!
Duu, hii ni mpaka kesho nikatafute dikshenari!, hii ni shit ya nani?!, naikumbuka ile bullshit, na disjointed bullshit!,Jibber jabber.
Hii imenisisimua kidogo..ila kaka hujawai fanyiwa matambiko utotoni labda na bibi hivi kama vile kuwekewa chale za kukulinda..!!
All in all we jasiri sana unawezaje kustahimili maono haya
All in all, ushauri wangu msijaribu kwenda kufungua jicho la tatu, wengine huona raha wakidhania watakua spiderman au superman wanayemuona kwenye movie... Hii sio movie, wala si science, hakuna kitu kama science unavoona kwenye science fiction ati ubongo una initiate a certain energy inayokufanya unaona future, huu ni uchawi tu sema wajanja wameu-modernize uonekane kama science, ndio maana wakaanza kwa kuwapa movie kwanza ziwachanganye akili. There's no science in these stuffs, vyote ni uchawi tu. Don;t open the third eye maana wengi ambao wakifungua hua wana-vibrate katika frequency ndogo sasa hujikuta huona mizimu na maviumbe ya kutisha (yote majini hayo) hadi ujue kuvibrate kwa frequency ya kutosha utakua ushateseka sana... Just a warning, kama hutaki unadhani its fun basi fungua hilo jicho la tatu ukidhani utakua spiderman, utajionea madhara yake mwishoni.. n its an addiction kuliko hata madawa ya kulevya. Huu ujuzi wote subiri mbinguni tutavijua, vilifungwa hapa duniani kwa kusudi maalum
Pasco mimi kuna hii kitu huwa inanitokea ninapokuwa nimekaa na mtu let say kiti kimoja, tumegusana either miguu au mikono,nilichogundua ni kwamba ninapokuwa aware kuwa huyu mtu tumegusana naye tena mahali fulani let say kwenye mguu,nikifanya concentration ya pale tunapogusana unakuta yule mtu kama vile nimepeleka taarifa kuwa tumegusana pale mahali,naye utakuta kama ilikuwa kwenye mkono au mguu au paja utaona anasogeza mguu kuashiria kuwa naye ame notice pale tulipogusana.Sasa hii nayo tunaiwekaje kwenye hizo powers,jingine ni kuwa jambo fulani linatokea najikuta kuwa hili jambo au tukio nilishawahi kuliota before halijatokea yaani unakuta mpaka najua litaishaje na linakuja kuishia vilevile,hii imeshanitokea mara nyingi sana.Pls nipe ufafanuzi hii nayo ni nini?Wanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, mfano, "Miujiza ya Ukweli!".
Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo bila kujijua kuwa wanazo nguvu hizo!.
Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao!.
Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza!.
Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za giza!".
Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!".
Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you!.
"I know I can, be what I wanna be!"
Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, "wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea!.
Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua, ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to "make things happen!".
This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people. These are also sometimes known as extrasensory perception or a sixth sense. Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an ability. Superhuman abilities from fiction are not included.
- Apportation - Materialization, disappearance, or teleportation of an object.[SUP][1][/SUP]
- Aura reading - Perception of the energy fields surrounding people, places, and things.[SUP][2][/SUP]
- Automatic writing - Writing produced without conscious thought.[SUP][3][/SUP]
- Astral projection or mental projection - An out-of-body experience in which an "astral body" becomes separate from the physical body.[SUP][4][/SUP]
- Bilocation or multilocation - Being in multiple places at the same time.[SUP][5][/SUP]
- Clairaudience - receiving messages in thought form from another frequency or realm. It is considered a form of channeling.
- Clairvoyance, second sight - Perception outside the known human senses.[SUP][2][/SUP]
- Death-warning - A vision of a living person prior to his or her death.[SUP][6][/SUP]
- Divination - Gaining insight into a situation via a ritual.[SUP][7][/SUP]
- Dowsing - Ability to locate objects.[SUP][8][/SUP]
- Energy medicine - Healing by channeling a form of energy.[SUP][9][/SUP]
- Faith healing - Diagnosing and curing disease using religious devotion.[SUP][10][/SUP]
- Mediumship or channeling Communicating with spirits.[SUP][11][/SUP]
- Precognition, premonition and precognitive dreams - Perception of events before they happen.
- Psychic surgery - Removal of diseased body tissue via an incision that heals immediately afterwards.[SUP][12][/SUP]
- Psychokinesis or telekinesis - The ability to manipulate matter by the power of thought.
- Psychometry or psychoscopy - Obtaining information about a person or object.
- Pyrokinesis - Manipulation of fire.
- Remote viewing - Gathering of information at a distance.
- Retrocognition - Perception of past events.
- Scrying - Use of an item to view events at a distance or in the future.
- Telepathy - Transfer of thoughts or emotions.
- Transvection - Bodily levitation or flying.
Psychic Powers- Ni Nguvu za Kufanya Miujiza-Wengi Wanazo Bila Kujitambua!-Jee Wewe Unazo?!,
Take time kujitambua kuwa you have the powers,
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!.
Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili maisha yako!.
Karibu tujadiliane!.
Pasco.
i' had already open third eye and close that ernegy with rituals bath successifull but i dont suggest any to do that
For Guys You can thank me now, Ladies Thank me later... Al Koran book attached...Print out yake sio bora sana but readable.
Chief, nilimsoma Samuel Sagan MD na kitabu chake cha Awakening the Third Eye... I agree with you activation ya Pineal gland/third eye/Ajna Chakra can be dangerous. Nawaona wale curious chaps wanataka kuifungua hii kitu.I opted not to practise.
i' had already open third eye and close that ernegy with rituals bath successifull but i dont suggest any to do that
Mimi ninazo 2:
- Astral projection: Nimewahi kuhama kutoka ndani ya mwili wangu kama mara 2 hivi, moja ni pale nilipokuwa natembea barabarani halafu nikajaribu kuhama kutoka kwenye mwili, nilipourejea nikaukuta umelala chini kwenye vumbi katikati ya barabara, sikufurahia tendo hilo zaidi ya kuogopa! Pili, ni pale nilipokuwa nimekaa kwenye kiti nikisikiliza mziki laini na kujaribu kuzama kwenye huo mziki na kuuacha mwili wangu ambao baadaye nilijikuta nimelala sakafuni!
- Hii ya pili bado sijaijua jina au haipo kwenye list hapo juu: Nina uwezo wa kuwaona watu walio uchi ambao wenzangu huwa hawawaoni kila ninapojaribu kuwaonesha, wamefikia mahali wanadhani mimi ni mchawi!
Nimeipenda mada hii, nadhani ni ukweli mtupu ingawa inaweza kuonekana kituko kwa wengine!