Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Umenifanya nikumbuke mambo mengi juu yangu. Nilipokuwa mtoto nilikuwa nikimwambia mama leo kuwa makini la sivyo utaibiwa na hasa kama anasafari ya kwenda mjini kuchukua mshahara. Na kweli mara nyingi alikuwa anaibiwa. au naota kupaa au kutumbukia kwenye korongo au shimo kubwa na kabla ya kufika huko ndani nashtuka na kuamka. pia naota ndoto ambazo mara nyingi zinatokea mpaka huwa naogopa kusimulia kwani marafiki zangu wengi wameshuhudia nikiwasimulia ndoto lazima itatokea as if nimeangalia sinema. ila hili la kutumbukia shimoni huwa siipendi kabisa sijui ina maana gani Pasco!
 

Mkuu Mbeky kama nilivyosema hapo awali kiukweli mimi sijafanikiwa kufungua hili jicho la tatu kwa kuwa sijafanya mazoezi stahili.Lakini kilichonipa tatizo la kuendelea na zoezi hili ni kutambua kuwa kuna Dimension mbili pale jicho hili la tatu linapofunguka.Sasa mtu akifanikiwa kupata Higher Dimension ni heri, lakini wale walioangukia kwenye Lower Dimension wamejutia huu uamuzi wao.

Lower dimension imewapelekea watu kuona where restless souls stays. Restless souls ni kama wale watu waliocomit sucide na roho zao zinatanga tanga kila mahali.Dimension hii si nzuri kabisa maana inakuwezesha kuona maovu katika ulimwengu wa roho.

Ni vyema kuchagua vema kabla ya kuingia huku na kamwe usipractise kama nia yako ni kudhuru watu kwa sababu The Law of Karma inakataza vibaya sana.
 

Mkuu,nimechoka na piriton na valium,kwa kutafuta usingizi na mawazo mengi. Naomba hizo njia za relaxation.
 

Nashuru kwa maelezo yako nzuri..ila nilikua nadukuduku kidogo katika haya...
So ni factors zipi zinampeleka mtu to high dimension na zipi zinampeleka lower demension...?

Afu unaposema "third eye" ni sawa na hichi kinachoongelewa humu kama "Inner/psyric powers " ambazo watu wanasema wanazo...?
 


Mkuu jibu la swali lako la pili ni hili hapa chini.

3.1 What is the third eye?

The third eye is the gate that opens to the space of consciousness

and to the inner worlds. It is also the main organ through which

the body of energy can be awakened and governed. So, practically,

the third eye acts as a ‘switch', which can activate higher

frequencies of the body of energy and thereby lead to higher

states of consciousness.

From a therapeutic point of view, it has been my experience over

the years that many clients get better when they connect with

their third eye, whatever the nature of their problem. Due to its

function as a switch, as soon as it is activated the third eye tends

to set into motion several circulations of energy. This

automatically results in correcting a number of physical and

emotional disorders, a process that could be described as a kind of

self-acupuncture. Moreover, even the beginning of third eye

awakening tends to put people in touch with more profound

aspects of themselves, which in itself has a major healing action.

Of course, I am not suggesting that it is enough to connect with

the third eye to heal everything, but still the potential of this

centre is so enormous that I would not be surprised if in the

coming decades, more and more ‘third eye therapies' were

developed.

From a spiritual point of view, in both the Christian and Hindu

traditions one finds texts that compare the body to a temple. If

we were to develop the analogy, we could compare the third eye to

the temple's portal. By crossing the portal one goes from the

profane to the sacred, from the stage where one reads and thinks

about spiritual life to the stage where one starts experiencing it.

The third eye has always been regarded by those who seek to know

themselves as a most precious jewel, hence the precious stone

placed on the forehead of statues of buddhas.

In this chapter we will describe how to begin to establish a

connection with the third eye (practice 3.2). Then we will cover a

technique of meditation (3.7) through which the third eye can be

further explored and developed.
 
Sasa mkubwa pasco... mbona tunaambiwa nguvu za hawa waponyaji makanisani zinatokana na kutumia mti wa VDOO, au MKANDA WA SUMAKU na mafuta ya MiZAITUNI au !!!!
 

Mdau #AmaniGK safi sana...sasa najiona naanza pata mwangaza kwa mbaliii..
Kwa nilivyoelewe mimi (correct me if I am wrong) hiyo so called "six sense au inner power " inafunguliwa baada ya mtu kufungua "third eye " so the trick point ni kufungua third eye either through meditation au hizo njia zingine..
Sijui ntakua sawa kusema hivyo
 

Mimi sijawahi kusoma kitabu chochote cha meditation,ila kila mwanamke ninayeonana naye,haijalishi ni mke wa mtu,rafiki au single,nikimtaka asilimia kubwa nitampata na hakuna nguvu yoyote ya maneno au hela ninayotumia. Imenifanya hata sijui kumpatia mwanamke zawadi maishani mwangu zaidi ya wao kunipatia. Ila inanikera kwasababu nashindwa kudumu nao,kutokana na mimi kuwaudhi.
 
Pasco nijibu hili tafadhali
watu wenye uwezo wa kuwa wanakutana na watu au wanaenda mahali na inakuwa kama marudio
wafanyaje kurudisha uwezo huo?
 
Last edited by a moderator:
Pasco nijibu hili tafadhali
watu wenye uwezo wa kuwa wanakutana na watu au wanaenda mahali na inakuwa kama marudio
wafanyaje kurudisha uwezo huo?
 
Last edited by a moderator:

Made from hell!
 
Sasa mkubwa pasco... mbona tunaambiwa nguvu za hawa waponyaji makanisani zinatokana na kutumia mti wa VDOO, au MKANDA WA SUMAKU na mafuta ya MiZAITUNI au !!!!
Mkuu Nyerere, Vodoo ni uchawi wa Visiwa America ya Kati, Haiti, Trinidad and Tobago ambako ni wachawi kweli huko uchawi ni dini inaitwa Vodooism hao jamaa wanafufua hadi maiti inatembea yenyewe "Make the copse walk!".

Waponyaji wa makanisani wanatumia Jina la Bwana, Jina la Yesu au Jina la Mungu kuzifungua powers za uponyaji zilizoko
Ndani yako. Hayo maji ya baraka, mafuta ya MiZAITUNI. Ubani, kukuwekea mikono na kukemea, vyote hivi ni vichocheo tuu vya nguvu hizi kupunguza!. Kinachoponya sio jina, sio mchungaji,sio mafuta wala sio nini bali ni nguvu zako mwenyewe zilizoko Ndani yako.
 
Kaka PASCO yaani tangu nianze kuupitia huu uzi jpili, nikaamua kupitia vitabu viwili nili download "Bring out the magics in you mind, by Al koran" na "The Power of your Subconscious Mind by Dr Joseph Murphy" yaani nimepata mwanga ambao naanza kuona wenzangu wana mzaha sana na maisha ya leo na baadaye (life after death). Kila jambo nimeona likitokea nimelihusisha na hizi nguvu, hakuna nguvu kubwa na hatari kama "kuamini". Hata mlango ukijifunga nahisi ni yale yale. Inatia hofu mkuu maana kwenda deep sana naweza kuwa na hizi nguvu na nikaanza kuzi-misuse na kumkosa YESU KRISTO litakuwa kosa kubwa na sidhani kama kutakuwa na point of return. Ila very interesting. Thanks PASCO
 
Pasco, please tell people that the power is also transferable. Aliye na 1. Nyingi 2. Mwenye kutambua nguvu na uwezo wake anaweza kumupa au kumogeza yule amtakakiyaye.

2. Can you also make it more clearer that in the spirit realm there are Good power and Bad power
3. All power has its sources - there are power givers whichever side of the power is your source

4. Out there in the spirit realm its an unknown territory whereby you really dont know the next step unless your power source is so definite. It is easier kuingia na kubaki mtumwa ambaye kazi yako ni kushangilia operators activities but really you have no function.

Yaani kama curiosity ya kuamini kuwa ukiingia kwenye website ya picha za ngono utafurahia sana. Unaweza kuamini kuwa ukiingia utaona kila style na kila mtindo wa ngono - lakini ukiingia utakutana na kila aina ya uchafu. mwisho wake it leaves you emptier than before you knew the site. Dont make hii subject yako look like it is an easy ride, harmless experience brother! you are dealing with peoples lives/destinies! Fundisha, Be more responsible!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…