nilisoma watu wakikuita DR,nimesoma michango yako kwenye nyuzi nyingi.wewe ni aina ya mtu ningekujua nje ya JF ningekukwepa kama ukoma.
Kijana. Mwenye tabia ya kumkimbia daktari basi maradhi yatamdhuru!
We hutakiwi kunikimbia. Bali km una matatizo na ninayo andika leta hoja zako jukwaani tujadili.
Wanasema "dont hate the game! Hate the player"
Mi mbona ni mtanzania wa kawaida tu! Unaniogopa kwa nini!?
Unakubaliana na mimi kuwa kwa mujibu wa Biblia ulichoandika ni uongo mweusi kabisa?
Nimejaaliwa na nani kama wewe unaamini Biadamu ni miungu yaani wana "power within"?
Pasco ukishasema wewe ni Mkristo unakuwa subject chini ya Biblia. Huwezi kwenda below au above Biblia bado ukabaki kuwa Mkristo. Huwezi kufundisha mafundisho ya shetani haya ukabaki kujiita Mkristo. Sijui kuhusu Ukatoliki unaosema wewe ni mkatoliki sana kuweza kusema watakuja wakatoliki waseme, lakini kwa Ukristo wa Biblia, wewe sio Mkristo!
Nasema hivi kwa kuwa kama nilivyoonesha hapo juu Biblia inapinga mambo haya na huwezi kuwa Mkristo ukafundisha ushetani huu, let alone kuuamini!
Kwa mabandiko yako nikusaidie tu wewe sio mkristo, wewe ni aidha Mhindu au Mwana vuguvugu la kizazi kipya (New ager) basi. Haya ndiyo unayofundisha. Na hii ni dini aliyoiasisi shetani mwenyewe na ndio "mungu" unayemfundisha hapa. Well shetani ana nguvu zake na watakaojaribu unayofundisha wataonja joto ya jiwe lakini usijifanye unafundisha nguvu ya Mungu.
Unafundisha mafundisho ya Ibilisi kabisa na kwa kuwa wote wanaosoma wameonywa, atakayejaribu akakiona hatakuwa na wa kumlaumu!
Najua una maana gani kwa imani yako ya New agers. Uje utufafanulie na Yesu wako feki "Ascended Master Jesus" ili uunganishe vizuri na musa bandia na miaka bandia ya Yesu ako bandia ambayo "inakosekana" katika Biblia.
I know all these, they are dangerous poison wrapped in iced cake!
Tall gal, hizo habari za kupaa, ni kweli kabisa, ila sio kula kupaa ni kwa uchawi, wala sio kila kupaa ni kwa kutumia ungo!.kwa hiyo wachawi tunaoskia wanapaa na ungo, ni kweli?.....na hiyo nguvu yao inakuaje au inatokeaje?
You are, who you are, asante, tunakusubiria!. Ila pia ni kweli nguvu zangu sio kivile, na matumizi yake hayakuwa ya maana kiasi kwamba karma imenishugulikia na hivi ninavyoandika bado niko kwenye mapito ya kufidia niliyoyatenda nyuma!.Pasco, hii mada naiunga mkono. Nimesoma nguvu zako ulizotaja. Siko deep kivile ila zote ulizonazo ninazo.
Nimetenda mambo makubwa sana na sasa nimeamua kuokoka ili kutumia nguvu hizo kwa manufaa ya jamii.
Naweza pia kusaidia kueleza jinsi ya kuzitumia.
Kesho ijumaa nitakonfirm a new miracle, then nitaeleza hapa hapa.
Nakubaliana kabisa na wewe Mkuu Pasco, kipindi fulani katika maisha yangu nilitamani sana kujifunza uchawi mwenye tija, nikajikuta nimeangukia kwenye temple moja south Africa iliyokuwa inafundisha Buddhism Yoga meditation na supernatural powers
Yalikuwa ni masomo magumu ya ajabu na yenye kushangaza kwa jinsi yake, kwa ufupi ni kwamba hakuna chenye nguvu duniani kama bongo(mind) ya binadamu, na tunachokitumia katika mind zetu ni theluthi tu ya kile chote kilichopo
Tunafundishwa kuwa kuna 5senses, lakini Zipo 8 ambapo mtu ukiweza kuzifanyia kazi utafanya maajabu mengi , mind ya mwanadamu imejazwa takataka nyingi mno, illusions na dillusions ukiweza kuziondoa kwenye bongo yako ukabaki na pure and stable mind unakuwa mtu mwingine kabisa mwenye maono na nguvu za ajabu mno
Medition ni kitu cha Mwanzo kabisa kuendea kwenye kudevelop supernatural powers, nilifanya meditation zote, chanting, yoga nikiwa vegitarian kwa miaka mitano nikajikuta nabadilika nikaogopa nikaacha , kwakuwa niliona wazimu kuna mafundisho yanapingana waziwazi na imani yangu
Nimeipenda mada yako sana. Nakaribisha maswali na ufafanuzi nimeisoma sana Buddhism, Taiosm, Satanism na Kshna consciousness
Mwenye kupenda hii mambo atafute kitabu kiitwacho Analects: Way and Its Power.
Pasco, hii mada naiunga mkono. Nimesoma nguvu zako ulizotaja. Siko deep kivile ila zote ulizonazo ninazo.
Nimetenda mambo makubwa sana na sasa nimeamua kuokoka ili kutumia nguvu hizo kwa manufaa ya jamii.
Naweza pia kusaidia kueleza jinsi ya kuzitumia.
Kesho ijumaa nitakonfirm a new miracle, then nitaeleza hapa hapa.
Mbwa mwitu katika mavazi ya kondoo.
Jibu swali, wacha pumba!
Stephano, nakutafutia muda nikujibu, kwa sasa naacha kwanza hawa "vichaa" watulie, tukiendelea mwisho wa siku wote tutaonekana vichaa!, nilisisitiza sana, kuwa kichaa mtu sio lazima mpaka aokote makopo!, watu mnajibishana na vichaa humu hadi thread kutaka kupoteza lengo!, the more mnawajibu, the more vichaa vinawapanda!.
Pasco,Hilo la powers za Uuungu ndani yetu na meditation kwenye Bible, nimekuwekea mpaka vifungu!, ila unapoamua kukaa ndani ya box, limits zako ni kuta tuu za box, ilimomo, anything out of the box ni devilish!. Nimekuuliza Yesu aliishi wapi toka akiwa na umri wa miaka 12 hadi 30?, na alifanya nini?!, hutaweza kujua kwa sababu ndani ya box lako ulimo, haipo!.
Kwanza acha ku assume mamboKama ambavyo huthubutu kujua mwanzo wa Mungu
Brother,ni nini na source hizo powers za Mungu ni nini!
Haya tunayajua, usijisumbue kumjua shetani ni nani, mwanzo wake ni upi na sources za powers zake ni nini!,
Hivi wewe ni Mkristo kweli?kama shetani alidiriki hadi kumchukua Mwana wa Adamu na kumjaribu!, who are you?!.
Kama sisi kwa kushindwa kufikiri kwetu tunamtumikia shetani bila kujua wakati maandiko yanazungumza kwa uwazi mkubwa tatizo ni la nani?Unajua kuna wakati shetani anaji disguize kama Mungu, na kuna wengi mnamtumikia shetani bila kujijua mkidhania mnamtumikia Mungu!
What enlightment?, ili kuweza kumtenganisha Mungu na shetani, you need enlightment!,
Kwanini kama ni hizo zinakwenda kinyume na maandiko matakatifu?hii enlightment ndizo powers ninazozizungumzia, jitambue USIDANGANYWE WALA USIDANGANYIKE!.
Pasco.
Mkuu Royer, niko kwenye mobile nakutafutia muda nitakujibu hoja kwa hoja nikianzia na hili la Yesu. Lengo la historia ni kuyajua yaliyopita, kulinganisha na yaliyopo sasa ili kujua yajayo!.Kuna ka ukweli hapa
Pasco,
Kuna mambo ambayo hata ukijua hayana msaada kwako,kujua Yesu alifanya nini kuanzia alipokuwa na miaka 12 mpaka 30 hakuna maana yoyote
Hakuna maana yoyote kwakuwa kuja kwa Yesu kulikuwa na lengo maalum na lengo hilo hakulifanya akiwa na umri huo hivyo hakukuwa na sababu ya kurekodi maisha yake wakati huo
Hivi ni kwanini hujiulizi ni kwanini maisha yake yasiandikwe kwa kipindi hicho lakini alipofikia umri wa miaka 30 yaandikwe?
Kama yaliandikwa kabla ya hapo naomba utuambie ni wapi na impact yake ni nini,sio kutaka vitu visivyokuwa na maana ilimradi tu umejua
Huko ni kupoteza muda
Kwanza acha ku assume mambo
Amekuambia wapi hajathubutu?
Halafu pia
Unamjua Mungu ni nani/nini?
Akiwa na mwanzo anakuwaje Mungu?
Lets say mungu ana mwanzo
Unadhani utaweza kuujua?
Ni sawa na gari litake kumjua aliyelitengeneza
Litaweza kweli?
Brother,
Unataka kusema wewe unazijua mwanzo wake?
Hebu tuambie ni nini na utapewa tuzo ambayo hakuna binadamu aliyepewa tangu Adam
Na hakika ukiweza kujua wewe ndio utakuwa ndio Mungu kwakuwa ukishajua chanzo cha hizo nguvu za Mungu hawezi kuwa Mungu tena
Haya tunayajua
Hakuna kipya hapo,wala hatujisumbui
Hivi wewe ni Mkristo kweli?
Kama ungekuwa ni Mkristo wala hili swali usingejiuliza kwasababu majibu yake kwenye maandiko
Au hata Yesu hujui ni nani?
Kama sisi kwa kushindwa kufikiri kwetu tunamtumikia shetani bila kujua wakati maandiko yanazungumza kwa uwazi mkubwa tatizo ni la nani?
What enlightment?
Hizi ulizoziandika hapa?
Kama ni hizo hapana
Hakuna njia nzuri ya kuweza kumtofautisha Mungu na Shetani tofauti na maandiko matakatifu ya Biblia
Sifa za Shetani zimeelezwa humo na sifa za Mungu zimeelezwa humo na hata jina la Mungu limeelezwa humo
Bila kukitumia hicho kitabu huwezi kumtofautisha kwa sababu kuna wakati nae anajiita mungu ndio maana kuna watu wanamuabudu shetani na kujidanganya kuwa ni mungu
Kwanini kama ni hizo zinakwenda kinyume na maandiko matakatifu?
Kwanza mimi sio Royer ni EiyerMkuu Royer, niko kwenye mobile nakutafutia muda nitakujibu hoja kwa hoja nikianzia na hili la Yesu. Lengo la historia ni kuyajua yaliyopita, kulinganisha na yaliyopo sasa ili kujua yajayo!.
Kwanza haya ni mawazo yako binafsi hivyo hatuwezi kuyachukulia seriousKatika Biblia Takatifu Maisha ya Yesu tangu kuzaliwa, hadi Kifo, yameandikwa katika vitabu vya zile Injili 4. Kuna gap tangu a lipokuwa miaka 12-30, sio kuwa details zake hazipo ziliandikwa bali compilers waliamua wasiyawe for a porpose!, sambamba na private life yake katika kipindi cha île miaka mitatu ya utume wake.
Haya mambo sijui mnayatoa wapiKwa vile details hizo zimeachwa kwa makusudi ili zisisomwe lakini zipo na ziliandikwa, naomba mimi ni site ndio chanzo cha kukueleza yaliyo nje ya Biblia ili only wenye quest for information outside the box ndio waitafute.
Siongezi neno hapa umejidhihirisha sasa kwa uwazi kabisa kuwa wewe ni naniSambamba na mwanzo wa Mungu na source of Godly powers ambazo na sisi bunadamu tumepewa, ila kitu kimoja ambacho wengi hamkijui ni kuwa Mwanzo wa Mungu ndio huo huo mwanzo wa shetani!
Khaaaaaa!!!!!!!!!!!!!, Mungu hakumuumba shetani!.
Well,Mungu ana nguvu zaidi ya shetani, ila shetani naye ana nguvu ambazo amepata kibali cha kukitumia kwa wanadamu walioumbwa kwa mfano wa Mungu na nguvu za ufunguzi!, na alianzia kukitumia kwa Adam na Eva kuwashauri kumuasi Mungu kwa kumega lile tunda!.
Labda yupo ndani yako weweMungu ni omniprésent so does shetani. Yumo ndani yetu in a form of power!.
Nakataa!Kubali,kataa!.
Pasco