Mkuu hao wawili Nicholas na Matola ni majuhalaa wanachukisana na uislamu lakini mimi nawaambia wame:frusty:Halafu mi nauliza! Vipi huyu Pasco ajiite mkristo hali ya kuwa anamlinganisha yesu na mchawi??
Hii si laana hii?? Anasema yeye ni mkatoliki!
Hivi ndivyo wanavyofunzwa na papa!?
Kumfanya nabii wa Mungu kama shemeji yako??
Ama.mtoto wewe huna adabu!
Laiti ningemjua baba Pasco ! Ningeenda mchapa kofi kwa kutokufundisha nidhamu!
Yaani mi nilidhani Nicholas na Matola ndio hawana adabu lkn wewe mwisho!
Mfnssssssssssss!
Mkuu hao wawili Nicholas na Matola ni majuhalaa wanachukisana na uislamu lakini mimi nawaambia wame:frusty:
Unajisikiaje kuwatamkia wenzako maneno kama hayo?
Kama unajisikia vizuri utakuwa na tatizo kubwa sana!
Una tatizo la kusoma na ukaelewa
Mkuu Nyenyere anakuambia kuwa kitendo chako cha kumtaja Kisto na kulinganisha nguvu zake na za wachawi pia kuitaja biblia moja kwa moja
Hapo ndipo tatizo lilipoanzia na ni hapo sisi tukaja kukukosoa na kuonesha nma ulivyokosea
Unadai kuwa unafundisha kuhusiana na power ambazo hata husemi zinatoka wapi,lakini ulishindwa nini kufundisha hizo power zako bila kuwataja Roho mtakatifu,Yesu na biblia?
Ulishindwa nini kujenga hoja kivyako?
Au ulikuwa unatafuta tention kutoka kwa wasomaji?
Hizo meditationa unazodai zipo miaka mingi na sijui kitu gani,sisi hatuna tatizo na hilo, tatizo linakuja pale ulipotamka Roho mtakatifu na Yesu pamoja na biblia.Ungekuwa umesema tu Mungu kusingekuwa na tatizo maana kuna wengi wanaabudu mawe na wanayaita Mungu,hata Hsetani nae anaitwa hivyo na wafuasi wake na tusingekuwa na tatizo
Tatizo linakuja kwenye mambo mawili,Biblia na Roho mtakatifu
Hao huwezi kuwapata kwenye imani yoyote ile tofauti na biblia,kwenye Yesu wapo watu wengine wana yesu wao lakini ulipoitaja biblia hiyo inamaana kuwa unamtaja Yesu wa kwenye biblia na ndipo tulipata jukumu la kukukosoa na mafundisho yako ya kishetani[samahani kwa kutumia lugha kali] na tumekuonesha ni namna gani ni ya kishetani
Mtu unasema shetani hakuumbwa na Mungu na hana mwanzo wala mwisho.unadhani hayo sio mafundisho ya kishetani na ni kwanini usiitwe mpinga Kristo?
Halafu hao wengine unaodai tunawaingilia sijui ni wakina nani,ni nani anamwabudu Roho mtakatifu tofauti na wakristo?Ni nani anamwabudu Yesu Kristo wa Biblia tofauti na wakristo?
Hao wengine unaodai ni wakina nani?
Suala hili la hizi power tunakushauri u edit mada yako iwe huru ili wote wanaochangia wasichangie wa mitazamo ya kidini
Kama ni kosa limefanywa kwa watu kuchangia kwa mtazamo wa kidini kosa hilo umelianzisha wewe mwenyewe kwenye post yako
Tafadhali sana Invisible hebu fanyeni haki kwetu yunaemwabudu Yesu Kristo na Roho Mtakatifu!
Watu wasiokuwa na adabu hilo pia haliwatoshi.
Hao wamelaaniwa kabisa! Tena haifai kuwa hata jirani yako
Laana inaweza kukuangukia na wewe!
Sijui kama hili ni fundisho kwenye imani yenu,lakini usichokijua ni kwamba hata kama mtu hana adabu bado anastahili heshima
Na sijui atakuwa amelaaniwa na nani,maana kama haamini kwenye imani yako huna mamlaka ya kumuita hivyo
Nani amekuambia laana inawaangukia watu kirahisi hivyo?
Halafu mi nauliza! Vipi huyu Pasco ajiite mkristo hali ya kuwa anamlinganisha yesu na mchawi??
Hii si laana hii?? Anasema yeye ni mkatoliki!
Hivi ndivyo wanavyofunzwa na papa!?
Kumfanya nabii wa Mungu kama shemeji yako??
Ama.mtoto wewe huna adabu!
Laiti ningemjua baba Pasco ! Ningeenda mchapa kofi kwa kutokufundisha nidhamu!
Yaani mi nilidhani Nicholas na Matola ndio hawana adabu lkn wewe mwisho!
Mfnssssssssssss!
Mkuu Bona, hili ni swali la msingi sana, kuna wanaojua sana dini humu, lakini hawajibu!. Ukijibu wanakuja juu!.shetani ni nani?
Mkuu Naibili, nimerudia time and times again, its 100 times now!, Sote Tumeumbwa na Mungu!, God!, The Creator!, alipotuumba ndipo alipotupatia nguvu hizi! aliposema "na tuumbe mtu kwa mfano wetu!". Hata Yesu alipokuja kila alipofanya miujiza, alisema "ni imani yako ndio imekuponya!".mkuu Pasco anasema hizi ni power from within pasipo kusema what are the source of this power, kwa uelewa wangu kama ni nguvu kutoka ndani haziwezi ni nguvu zilizojiweka zenyewe lazima zimewekwa for the purpose, na nani kaziweka kama si creator? the one who created the man is the one who put those power inside human being, kwa hiyo vyovyote utakavyo amini lakini ujue aliyemuumba mwanadamu ndiye aliyeweka Nguvu ndani yake.
mniwie radhi nnachangia nikiwa nimeweka kilaji.
Mkuu mayenga, mimi nina Transfer of thoughts or emotions, kwa kiasi kidogo!. Zamani nikiwa kijana mdogo nikisoma sekendari ya Tambaza na baadae Ilboru, ilitokea kuna vibinti fulani vya Kisutu na Jangwani, nilivitazama kwa kuvihitaji tuu, nikaja kuvipata!.
Ikawa nikienda kwenye party, nikimsimikia binti, nikimtazama kwa concentration huku nikisema kimoyo moyo, nakuhitaji!, yule binti, atageuka na macho yakigona tuu, nitatoka nje, atanifuata!, tutazunguka tuu mahali popote penye faragha!, nitamaliza shida zangu na kurudi kwenye party!.
Nilipomaliza na kujiunga JKT, kule ikawa balaa!, kila macho yanapoona, moyo ukipenda, napita na sikosi!.
Nilipoanza kazi, nikajikuwa huwa nakuwa MC, nikawa nikienda kwenye sherehe mbalimbali, naondoka na mtu!. Hata nikiwa kwenye Daladala, nikizimika mahali, natazama tuu, nikishuka naye anashuka!
Pasco.
Mkuu Eiyer, nakuomba sana usilazimishe mambo!, hapa sio nyumba ya ibada!, naomba tufanye appontment kule jukwaa la dini, nikupige somo!, usijekujikuta na wewe ndio hao wamuabidia shetani aliyejidisguised kama Mungu, ndio maana unababaika sana!. Issue ya shetani aliumbwa na nani usiifanye a very big deal!, nilikuuliza huko nyuma, jee unaujua mwanzo wa Mungu?!, jee unaijua source of powers za Mungu?!, Jee unaujua mwanzo wa shetani?!, kama ulifundishwa kuwa shetani aliumbwa na Mungu, na ndiye aliyempa hizo nguvu za kushetani tufuindishi na sisi tujue!. Nilikuuliza baada ya shetani kuasi kule kwa Mbinguni, jee unajua ni kwa nini Mungu hakumuangamiza?!. Jee unajua Mungu alituumba sisi binadamu kwa mfano wake?!, jee huyo shetani baada ya kumdanganya mama Yetu Eva na kumshawishi kumuasi Mungu!, unajua alifanywa nini?!. Baada ya Kaini mtoto wa kwanza wa Eva, kumuua ndugu yake Abeli, unajua alifanywa nini?!.Una tatizo la kusoma na ukaelewa
Mkuu Nyenyere anakuambia kuwa kitendo chako cha kumtaja Kisto na kulinganisha nguvu zake na za wachawi pia kuitaja biblia moja kwa moja
Hapo ndipo tatizo lilipoanzia na ni hapo sisi tukaja kukukosoa na kuonesha nma ulivyokosea
Unadai kuwa unafundisha kuhusiana na power ambazo hata husemi zinatoka wapi,lakini ulishindwa nini kufundisha hizo power zako bila kuwataja Roho mtakatifu,Yesu na biblia?
Ulishindwa nini kujenga hoja kivyako?
Au ulikuwa unatafuta tention kutoka kwa wasomaji?
Hizo meditationa unazodai zipo miaka mingi na sijui kitu gani,sisi hatuna tatizo na hilo, tatizo linakuja pale ulipotamka Roho mtakatifu na Yesu pamoja na biblia.Ungekuwa umesema tu Mungu kusingekuwa na tatizo maana kuna wengi wanaabudu mawe na wanayaita Mungu,hata Hsetani nae anaitwa hivyo na wafuasi wake na tusingekuwa na tatizo
Tatizo linakuja kwenye mambo mawili,Biblia na Roho mtakatifu
Hao huwezi kuwapata kwenye imani yoyote ile tofauti na biblia,kwenye Yesu wapo watu wengine wana yesu wao lakini ulipoitaja biblia hiyo inamaana kuwa unamtaja Yesu wa kwenye biblia na ndipo tulipata jukumu la kukukosoa na mafundisho yako ya kishetani[samahani kwa kutumia lugha kali] na tumekuonesha ni namna gani ni ya kishetani
Mtu unasema shetani hakuumbwa na Mungu na hana mwanzo wala mwisho.unadhani hayo sio mafundisho ya kishetani na ni kwanini usiitwe mpinga Kristo?
Halafu hao wengine unaodai tunawaingilia sijui ni wakina nani,ni nani anamwabudu Roho mtakatifu tofauti na wakristo?Ni nani anamwabudu Yesu Kristo wa Biblia tofauti na wakristo?
Hao wengine unaodai ni wakina nani?
Suala hili la hizi power tunakushauri u edit mada yako iwe huru ili wote wanaochangia wasichangie wa mitazamo ya kidini
Kama ni kosa limefanywa kwa watu kuchangia kwa mtazamo wa kidini kosa hilo umelianzisha wewe mwenyewe kwenye post yako
Tafadhali sana Invisible hebu fanyeni haki kwetu yunaemwabudu Yesu Kristo na Roho Mtakatifu!
Mkuu Mdakuzi, amini nakuambia, huyu jamaa mabinti wanamgombania!. Ili pia kiukweli, Wasira is very humane!, nikiwa nchini India, alikuja kunitembelea mahali, he is a very good and very kind man!. Kwenye ulimwengu wa roho, hatuangalii mwili, tunaangalia roho tuu!. Njia ya motoni ni pama imepandwa maua!, njia ya mbinguni ni nyembamba, imejaa miiba!. Penye urembo ndipo penye ulimbo!.Mkuu hii ya kumtazama tu binti unayemtaka inamhusu hata Wassira? Maana naona Kama akiwatazama Ndo watamkimbia.
Nani amesema hili?huna haja ya kuw na imani Fulani Ili laana ikupate! we hujaskia mpagani pia analaanika??
Unaona tatizo lako/Na hio sharia au kauli ya kusema asiye na adabu pia aheshimiwe umeitoa wapi??
Nyie akina nani?manake nyie kwa kuzua vitu ni watu wabaya sana kwa hilo,
Ni hivyo nini?kama ni hivyo!
Sitaki kuizungumzia biblia kwenye hili wala kitabu chochote kile cha kiimani,tulizungumze hili sisi kama binadamu tukwa nini BIBLE IMLAANI NA KUMUHUKUMU ASIE NA ADABU?? AU wewe na biblia nani anaejua zaidi!!
Kwa maana hiyo jinsi Mungu aliupenda ulimwengu, hadi akamtoa mwanaye mpendwa wake anayependezwa naye kuja kuuokoa ulimwengu from what!, yaani huyu shetani ni nani haswa hadi Mungu kumtoa kafara mwanaye?!, kwa nini asingemuangamiza shetani na yote yakaisha!.
Pasco!.
Mkuu Naibili, nimerudia time and times again, its 100 times now!, Sote Tumeumbwa na Mungu!, God!, The Creator!, alipotuumba ndipo alipotupatia nguvu hizi! aliposema "na tuumbe mtu kwa mfano wetu!". Hata Yesu alipokuja kila alipofanya miujiza, alisema "ni imani yako ndio imekuponya!".
Ugomvi wangu na Wakritu humu ni pale tuu wanapodai copyright ya nguvu Mungu ni kwa Wakristu Pekee, wengine wote wasiomwamini Yesu, ni washetani!. Nikawaeleza nguvu hizi zimekuwa zikitumika miaka 300,000 kabla ya Kristu!. Yesu amekuja miaka 2013 tuu iliyopita!, ninachofundisha humu ni kuwa hata kama wewe sio Mkristo, nguvu hizi za Mungu unazo!, hata kama wewe huna dini kabisa, ila uunaamini kuna God, the Creator, in whataver the name utatumia!, nguvu hizi utakuwa nazo!. Mungu ni jina, God ni jina, Omukama ni jina, Omulugu ni jina, Allah ni jina, kwa vile Mungu ni onmipresence, kama wewe unaamini "upepo" ndio Mungu wako, amini hivyo, ndani ya huo huo upepo, Mungu wa kweli atakuwepo na milango ya powers from within itafunguka!. Akiamini Allaah, amini hivyo, na milango itafunguka!.
Just have faith kuwa you have the powers!, zitafunguka bila masharti yoyote!.
Pasco.
Kwanza kabisa Yesu alikuwa akisema Imani yako imekuponya akimaanisha Imani yako kwa Mungu na sio Imani unayojiamini wewe. Wana wa_Israel wamelelewa ktk kumuamini Mungu mmoja yaani Mungu wa Isaka, Yakobo, Ibrahimu n.k hivyo wao Imani yao ilikuwa kwa Mungu aliehai ambae Yesu ametoka huko na yupo huko.
Sasa Pasco kama unavosema kuwa mwanadamu anapopuliziwa hewa yaani kuwa Nafsi hai huwa anapewa hizi. Kwanini Yesu hakutumia hizi Powers mfano kuhubir, miujiza ya kuponya na kufungua, kufufua n.k ambayo we unasema vinatokana na power anazozaliwa mtu nazo,lakini hakutenda Ishara zozote zile mpaka pale alipobatizwa kwa kupokea nguvu ya R/Mtakatifu???