Mkuu Mtuzu, you can never tell things you've never known!. Maadam mwisho wa uelewa wako wa Mungu ni kwa mujibu wa Biblia, then usibishie kuhusu uwepo wa Mungu miaka milioni 100 kabla ya Ukristo!. Kule juu nimekuwekea vitabu mamia kwa maelfu ujisomee mwenyewe!, why limit your self only kwenye Bible?!.
Nimekuamba na nitakuambia tena na tena, maadam wewe unamjua tuu Mungu kama Mwanzo na Mwisho, bila kujua his source of power, na unajua tuu kuwa shetani alikuwa malaika mkuu mwenye nguvu next to God, na aliitwa shetani baada ya kuasi, kama unazijua sababu kwa nini Mungu hakum destroy there and then kama iliandikwa mahali Mungu alimuumba tuu shetani enzi zile akiwa malaika lakini sasa akiwa shetani, amemuacha uavuruge ulimwengu!, na kwa jinsi hii Mungu, ameupenda ulimwengu hadi kumtoa Mwanaye wa pekee, aje kuukomboa dhidi ya shetani!, bado tuu hutaki kuelewa!.
Nimewaeleza humu shetani ni very tricky, kuna watu bila kujua, wanajidhania wanamuabudu Mungu!, kumbe masikini wa Mungu, hawajijui!, wanamuabidu shetani ambaye anaji pretend ni Mungu, na watu hao wanatoa mapepo na miujiza wanafanya ila sii wa Yesu!.
Haya mambo ya Mungu na shetani naomba tuyaache, lets concentrate on powers za Mungu za kutenda mema!.
Pasco.