Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Mkuu hilo ndo lengo kuu la Pasco, anataka kuwaaminisha watu kuwa bila Mungu unaweza kufanya lolote, anataka ile fear of God iondoke mioyoni mwa watu, anajaribu kutuaminisha kuwa Mungu tunayemwabudu ni dhaifu ndo maana ameshindwa kumudestroy shetani, lakini hawasemi moja kwa moja ila wanazunguka mbuyu
Mkuu Nabihili, everything happens for a reason!. Kitu kingine kuhusu Mungu ambacho hakikusemwa, anazo all the knowledges zote hivyo chochote kinachopangwa anakiona na anauwezo wa kukizuia, ila kuna vitu anaviacha for a reason!.

Tangu Malaika Lusiferi akipanga uasi Mungu aliona na hakuzuia for a reason.
Alipotekeleza uasi ule Mungu aliona na alikuwa na uwezo wa kuzuia lakini hakuzuia for a reason.
Shetani alivyojigeuza nyoka akapenye Bustanini Mungu aliona lakini aliacha for a reason.
Eva alivyodanganywa Mungu aliona na akaacha for a reason.
Yesu alipojaribiwa, kusulubiwa hadi kufa kifo cha aibu msalabani, Mungu alijua yote, aliona yote na angeweza kuzuia yote lakini anaacha for a reason!.
Maovu yote shetani anayoyafanya, Mungu anaona, anaweza kuzuia lakini anaacha for a reason!.
Ukifanya utafiti wako mwenywe wa the reasons behind, we may sail the same boat!.
Pasco.
 
Mtuachie elimu yetu, ambayo nyinyi mnaona ni ya kishetani, nyinyi endeleeni na hayo mafunzo yenu ya kufungisha ndoa za jinsia moja, na kusimika wachungaji wanawake kwa kisingizio cha haki sawa, bila ya kufahamu kuwa hayo ni mafunzo ya Illuminati, ambayo yalianza kushika kasi miaka ya 1800, wenyewe wakiwa wanaita NEW WORLD ORDER, ikiwa na maana kuondoa utawala wa mungu na kuuleta ule wa shetani. Mnashindwa kumuelewa Pasco anaposema kuwa kuna watu wanadhani wanamuabudu mungu, but kiukweli wanamuabudu shetani, how come kanisa linaongozwa na mwanamke ? how come kanisa linafungisha ndoa za jinsia moja ? But nyinyi mnadanganywa kuwa ukipata mashaka, basi ujijue huna roho mtakatafu ... !!! Thats brainwash ...!!!
 
Mtuachie elimu yetu, ambayo nyinyi mnaona ni ya kishetani, nyinyi endeleeni na hayo mafunzo yenu ya kufungisha ndoa za jinsia moja, na kusimika wachungaji wanawake kwa kisingizio cha haki sawa, bila ya kufahamu kuwa hayo ni mafunzo ya Illuminati, ambayo yalianza kushika kasi miaka ya 1800, wenyewe wakiwa wanaita NEW WORLD ORDER, ikiwa na maana kuondoa utawala wa mungu na kuuleta ule wa shetani. Mnashindwa kumuelewa Pasco anaposema kuwa kuna watu wanadhani wanamuabudu mungu, but kiukweli wanamuabudu shetani, how come kanisa linaongozwa na mwanamke ? how come kanisa linafungisha ndoa za jinsia moja ? But nyinyi mnadanganywa kuwa ukipata mashaka, basi ujijue huna roho mtakatafu ... !!! Thats brainwash ...!!!

Hakika shetani anakutumia, wewe pamoja na maalim wako Pasco. Kasome kijana uelewe kuhusu new world order na aquarian age ufunguke. Usirudie kuandika vitu kama kipofu wa ufahamu. Hizo ndoa za jinsia moja zinakwenda sambamba na mafundisho kama haya. Tofauti ni kwamba zile ni ndoa, huu ni ushirikina. Yote yana asili moja, shetani. Huu ndio wakati wake kama Neno alivyotabiri

Mathayo 28 : 37 Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
Sasa siku za Nuhu kulikuwa na nini? Waamini wala hawababaishwi na mashitaka ya kipepo kama hayo unayoyatoa. Zaidi ya yote tunakuombea tu ufunguliwe kwa Jina la Yesu.
 
Last edited by a moderator:
Hakika shetani anakutumia, wewe pamoja na maalim wako Pasco. Kasome kijana uelewe kuhusu new world order na aquarian age ufunguke. Usirudie kuandika vitu kama kipofu wa ufahamu. Hizo ndoa za jinsia moja zinakwenda sambamba na mafundisho kama haya. Tofauti ni kwamba zile ni ndoa, huu ni ushirikina. Yote yana asili moja, shetani. Huu ndio wakati wake kama Neno alivyotabiri

Mathayo 28 : 37 Kwa maana kama vile ilivyokuwa siku za Nuhu, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu.
Sasa siku za Nuhu kulikuwa na nini? Waamini wala hawababaishwi na mashitaka ya kipepo kama hayo unayoyatoa. Zaidi ya yote tunakuombea tu ufunguliwe kwa Jina la Yesu.


Nashukuru kama umeelewa, naomba uache fujo sasa.
 
Mkuu pasco mimi nina swali, mimi mara nyingi nikisita kufanya jambo mara nyingi huwa linamatokeo mabaya kwamfano kuna siku walinililazimisha kwenda sehemu fulani ambayo sikutaka kwenda matokeo yake niliumia lakini pia ikitokea kuna jambo nataka kufanya lakini lina vigezo vyakufuata mara nyingi unakuta mpaka mwisho sijakamilisha lakini nikifanya lazima nifanikiwe mimi nina power aina gani?
 
Mkuu pasco mimi nina swali, mimi mara nyingi nikisita kufanya jambo mara nyingi huwa linamatokeo mabaya kwamfano kuna siku walinililazimisha kwenda sehemu fulani ambayo sikutaka kwenda matokeo yake niliumia lakini pia ikitokea kuna jambo nataka kufanya lakini lina vigezo vyakufuata mara nyingi unakuta mpaka mwisho sijakamilisha lakini nikifanya lazima nifanikiwe mimi nina power aina gani?
Mkuu Yesuralemu, kama nilivyoeleza tangu mwanzo, binaadamu tumepewa nguvu za kufanya kila kitu. Huko kusita sita kwako kunaitwa "intuation" au wengine wakiita "the sixth sense" yaani jicho la roho! ambalo linakuambia kwa kukuonya kabla ya jambo lolote baya halijakutokea na wengi huwa wanaonywa ila hawajatulia kiasi cha kuisikiliza hiyo "inner voice!", wengine huwa wanaonywa na wanasikia, bali huifanya nioyo yao migumu mpaka yakishawakuta ndipo wanakumbuka kuwa moyo ulisita!. Hata ukikutana na mwanamke/mwanaume ambaye sio, ukitaka kumtokea moyo utasita!.

Unashauriwa kabla ya kufanya jambo lolote kubwa, listens to yourself, sauti itakuambia tuu!.
Pasco.
 
mkuu pasco mbna jukwaa la dini halipo kwnye list ya forums za hapa jf?
 
Mhhh, haya mambo ya Power of Positive thinking, Psychic power, Astrology, fortune telling, ........ etc. are all collectively known as PSEUDO SCIENCE. Ni mambo ambayo wale wanaoyaamini (yes haya ni mambo ya kuaminiwa kama mungu - si mambo ya kuelewa/kujua) husema ni sayanis ya ukweli. Lakini ukifuatilia undani wake, hakuna sayansi yoyote bali ni imani na ushirikina uliojivika jina la sayansi. Hivi vyote ni uongo na haviwezi kuwa reproduced katika controlled environment. Sayansi ni mwisho wa uongo na uzushi wote. Sayansi ni maarifa. Hayo yoote si maarifa bali mchanyato wa imani za kishirikina na uongo mwingi!
 
Mhhh, haya mambo ya Power of Positive thinking, Psychic power, Astrology, fortune telling, ........ etc. are all collectively known as PSEUDO SCIENCE. Ni mambo ambayo wale wanaoyaamini (yes haya ni mambo ya kuaminiwa kama mungu - si mambo ya kuelewa/kujua) husema ni sayanis ya ukweli. Lakini ukifuatilia undani wake, hakuna sayansi yoyote bali ni imani na ushirikina uliojivika jina la sayansi. Hivi vyote ni uongo na haviwezi kuwa reproduced katika controlled environment. Sayansi ni mwisho wa uongo na uzushi wote. Sayansi ni maarifa. Hayo yoote si maarifa bali mchanyato wa imani za kishirikina na uongo mwingi!


Haya tena ni mapyaaaa ... So una maana hata kuamini uwepo wa mungu ni uongo na uzushi ?:A S-coffee:
 
Yesu SI MUNGU!
Mungu hazaliwi na mwanamke! Wala HALI NA KULALA fofofo!
Mkuu Kahtaan, kwa heshma na taadhima, nakuomba sana jifunze religious tolerance kwa kustahimili dini za wengine na kuziheshimu bila kuziingilia na kukashifu!. Kama wewe ni Muislamu, mafunzo ya Kiislamu yanafundisha kuwa hakuna Mungu isipokuwa Allah na Mohamedi (SAW) ni Mtume wake, then shika mafundisho hayo na waache Wakristu wanaoamini Yesu ni Mungu!, kitendo cha kusema Yesu si Mungu ni kashfa kwa waaminio!.
Pale ulipokuja mwanzo kwenye uzi huu, kuna kitu nilikuambia kukuhusu wewe, naomba nisikirudie!.
Tuheshimiane, tuvumiliane, tustahimiliane katika imani!
Wakristu na Waislamu tuu watoto wa baba mmoja!, Abrahamu/Ibrahim.
Pasco
 
mkuu pasco mbna jukwaa la dini halipo kwnye list ya forums za hapa jf?
Linaitwa Dini na Imani, lipo kati ya haya majukwaa manne ya members only

 
Nina uwezo wa kusoma, na pia wa kuelewa, mjomba mlokole ... Lakini nakushangaa wewe ambaye unashindwa kuona boriti katika jicho lako jinsi ambavyo kanisa linavyoharibika, kufungisha ndoa za jinsia moja, mauaji ya kimbari kama ilivyotokea kule Rwanda na Uganda kwa mchungaji Kibwetere, but wewe umeng'ang'ania kupambana kibanzi kutoka kwa maalim Pasco .... Umechanganyikiwa wewe ...!!!!:hat:

Sio kweli
Uwezo huo huna

Kwahiyo kama hayo yanatokea sio ruhusa kumkosoa huyo maalim?
Unashindwaje kuelewa mambo madogo kama haya?
 
Wadau,
Nilikaa kimya kidogo baada ya kuona kuwa mada hii imetekwa na Waumini wa dini, hasa kahtaan na wenzie kwa kuwa na hofu kuwa kama nguvu zinazozungumziwa hapa (psychic powers) ni za kweli basi imani yao kupitia dini zao itakuwa ni kazi bure! Mimi nawashauri wasiwe na wasiwasi kwani hizo zote ni njia za kujitambua, kwani ukijitambua kupitia kwenye kioo kuna shida gani? Yesu alishawahi sema kuwa "Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa. Kwa maana ye yote mwenye kitu atapewa, naye atazidishiwa tele; lakini ye yote asiye na kitu, hata kile alichonacho atanyang'anywa. Kwa sababu hii nasema nao kwa mifano; kwa kuwa wakitazama hawaoni, na wakisikia hawasikii, wala kuelewa." Pia Yesu huyohuyo alishawahi sema: "Kama imani yenu ingekuwa ndogo kama chembe ndogo ya haradali, mngeweza kuuambia mti huu wa mkuyu: Ng'oka ukajipandikize baharini, nao ungewatii" Hii inamaanisha kuwa imani si suala la kuamini tu kuwa Mungu yupo bali ni kujiamini kuwa una nguvu inayoweza tenda maajabu!

Kwa maandiko haya ni wazi kuwa wapo watu waliojaliwa nguvu za kujua/kuona/kutambua mambo bila kutegemea msaada wa wengine na kwa upande mwingine wapo ambao hawataweza bali kwa kupitia kwenye mgongo wa wengine/dini (kahtaan, et al). Hivyo nawaasa wote kuwa kila mtu ajitambue alipo na asitake kumlazimisha mwingine awe kama yeye wakati kimsingi tunatofautiana sana! Ahsanteni.
 
Wadau,
Nilikaa kimya kidogo baada ya kuona kuwa mada hii imetekwa na Waumini wa dini, hasa kahtaan na wenzie kwa kuwa na hofu kuwa kama nguvu zinazozungumziwa hapa (psychic powers) ni za kweli basi imani yao kupitia dini zao itakuwa ni kazi bure! Mimi nawashauri wasiwe na wasiwasi kwani hizo zote ni njia za kujitambua, kwani ukijitambua kupitia kwenye kioo kuna shida gani? Yesu alishawahi sema kuwa "Ninyi mmejaliwa kuzijua siri za ufalme wa mbinguni, bali wao hawakujaliwa. Kwa maana ye yote mwenye kitu atapewa, naye atazidishiwa tele; lakini ye yote asiye na kitu, hata kile alichonacho atanyang’anywa. Kwa sababu hii nasema nao kwa mifano; kwa kuwa wakitazama hawaoni, na wakisikia hawasikii, wala kuelewa." Pia Yesu huyohuyo alishawahi sema: "Kama imani yenu ingekuwa ndogo kama chembe ndogo ya haradali, mngeweza kuuambia mti huu wa mkuyu: Ng'oka ukajipandikize baharini, nao ungewatii" Hii inamaanisha kuwa imani si suala la kuamini tu kuwa Mungu yupo bali ni kujiamini kuwa una nguvu inayoweza tenda maajabu!

Kwa maandiko haya ni wazi kuwa wapo watu waliojaliwa nguvu za kujua/kuona/kutambua mambo bila kutegemea msaada wa wengine na kwa upande mwingine wapo ambao hawataweza bali kwa kupitia kwenye mgongo wa wengine/dini (kahtaan, et al). Hivyo nawaasa wote kuwa kila mtu ajitambue alipo na asitake kumlazimisha mwingine awe kama yeye wakati kimsingi tunatofautiana sana! Ahsanteni.

Usichekeshe watu wewe. Ni siri gani hizo mlizojaliwa nyie kuzijua? Huko mnakoingia watu washatoka siku nyingi sana. Na hii dini mnayo propagate si mpya, bali ninyi nfio wapya. Tafsiri potofu ya maandiko ndiyo inayotualika hapa kunyoosha mambo. La mkiacha kutumia biblia, hakika hatutawagusa.
 
Kufuatia mjadala mkali kuwa ninafundisha mafundisho yaendayo kinyume cha mafundisho ya Mungu kwenye Biblia, naomba niwawekee vifungu mbalimbali vya Bibilia vinavyozungumzia nguvu hizi. Kwa pembeni ni Links, take time kujisomea ili usipotee!
Biblical Proof of Psychic Gifts
spacer.gif
spacer.gif
spacer.gif
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="align: left"]HOME

[TD="align: left"] HopeFromBeyond Forum Link

[TD="colspan: 3"]
spacer.gif
[/TD]

[TD="align: left"] Guest Book - View And Sign [/TD]

[TD="align: left"] HopeFromBeyond Forum Membership Rules [/TD]

[TD="align: left"] About "Lilly" [/TD]

[TD="align: left"] ADHD and the Spirit [/TD]

[TD="align: left"] The Afterlife [/TD]

[TD="align: left"] Angels and the Angelic Realm [/TD]

[TD="align: left"] Angels: Calling Upon Angels [/TD]

[TD="align: left"] Animal Spirit Evolutionary Process [/TD]

[TD="align: left"] The Awakening [/TD]

[TD="align: left"] Astral Projection-Astral Travel [/TD]

[TD="align: left"] Beginning Psychics Orientation [/TD]

[TD="align: left"] Beginning Psychic Training [/TD]

[TD="align: left"] Biblical Proof of Psychic Gifts [/TD]

[TD="align: left"] Bi-Polar And Being Psychic [/TD]

[TD="align: left"] Book List [/TD]

[TD="align: left"] Categories of Spiritual Growth [/TD]

[TD="align: left"] Channeling [/TD]

[TD="align: left"] Chakras [/TD]

[TD="align: left"] Children In Spirit [/TD]

[TD="align: left"] Comforting Bible Verses [/TD]

[TD="align: left"] Commercial Psychics Listing Extra Specialties [/TD]

[TD="align: left"] Commonly Asked Q's and A's [/TD]

[TD="align: left"] Depression And Your Spirit [/TD]

[TD="align: left"] Dimensions of the Spirit Realm [/TD]

[TD="align: left"] Disclaimer [/TD]

[TD="align: left"] Membership Rules [/TD]

[TD="align: left"] Duality Existence [/TD]

[TD="align: left"] Empaths [/TD]

[TD="align: left"] Facts About The Ouija Board [/TD]

[TD="align: left"] Four Clairs: Clairvoyance, Clairsentience, Clairaudience, Claircognizance [/TD]

[TD="align: left"] Ghosts Versus Spirits [/TD]

[TD="align: left"] Grief In The Spirit Realm [/TD]

[TD="align: left"] Guidance Guild [/TD]

[TD="align: left"] Guideline For Reading Family & Friends [/TD]

[TD="align: left"] Guidelines For Analyzing Predictions [/TD]

[TD="align: left"] House Clearing Technique [/TD]

[TD="align: left"] Levitation [/TD]

[TD="align: left"] Lightworkers [/TD]

[TD="align: left"] Links Page [/TD]

[TD="align: left"] Meditation and Education Audio CD List [/TD]

[TD="align: left"] Meditation Links [/TD]

[TD="align: left"] Mediumship Ethics [/TD]

[TD="align: left"] Narcotics And Spirit Attacks [/TD]

[TD="align: left"] Omens [/TD]

[TD="align: left"] Physical Mediumship [/TD]

[TD="align: left"] Prayers For Protection [/TD]

[TD="align: left"] Psychic Attacks - Psychic Draining [/TD]

[TD="align: left"] Psychic Blockage Problems [/TD]

[TD="align: left"] Psychic Energy Shielding [/TD]

[TD="align: left"] Psychic or Schizophrenic [/TD]

[TD="align: left"] Psychic View of Prayer [/TD]

[TD="align: left"] Purgatory [/TD]

[TD="align: left"] Reincarnation, Karma & Akashic Record [/TD]

[TD="align: left"] Reptilians [/TD]

[TD="align: left"] Restless Leg Syndrome [/TD]

[TD="align: left"] Self Healing [/TD]

[TD="align: left"] Sensing Your Spirit Self Technique [/TD]

[TD="align: left"] Shamanism & Paganism Versus Christ Consciousness Energy [/TD]

[TD="align: left"] Signs [/TD]

[TD="align: left"] Spirit Attachments [/TD]

[TD="align: left"] Spirit Attack Defense Method [/TD]

[TD="align: left"] Spirit Attacks During Dreams [/TD]

[TD="align: left"] Spirit Communication [/TD]

[TD="align: left"] Spirit Guides [/TD]

[TD="align: left"] Spirit Guide Testing [/TD]

[TD="align: left"] Spirit Guide Problems [/TD]

[TD="align: left"] Spirit Orbs [/TD]

[TD="align: left"] Spirit Writing - Automatic Writing [/TD]

[TD="align: left"] Spiritual Balance In Life [/TD]

[TD="align: left"] Suicide: What Happens After [/TD]

[TD="align: left"] Tarot Cards, Pendulums, Crystal Ball Scrying [/TD]

[TD="align: left"] Third Eye Opening Technique [/TD]

[TD="align: left"] Totems [/TD]

[TD="align: left"] Travelers [/TD]

[TD="align: left"] Why Spirits Haunt [/TD]
[/TD]
[/TD]
[TD="width: 2"]
spacer.gif
[/TD]
[TD]

[TD="align: left"]
messengerspic.jpg
Biblical Proof Of Psychic Gifts

[TD="align: left"]

So often people have asked me about where in the Bible are there verses proving and validating the psychic ability. Often people either need this proof positive themselves or have had others question them about it. Understand that there were so many references to psychic and Spiritual gifts, that I went through and picked out the most descriptive ones that best depicted the meaning, using the Strong's Exhaustive Concordance of the Bible. If you have access to this wonderful book by James Strong, you will be able to see just how many actual verses contain proof of psychic abilities as true Gifts of the Holy Spirit.

I thought what I would do here is to list the Biblical verse under specific topics. All bible verses are from the Revised Standard Version of the Bible:

Seer:
One to whom divine revelations are made in visions. (The Oxford Universal Dictionary)
Bible Verses: 1 Samuel, 9:9-10 Formerly in Israel, when a man went to inquire of God, he said, "Come, let us go to the seer; for he who is now called a prophet was formerly called a seer. And Saul said to his servant, "Well said; come, let us go." So they went to the city where the man of God was.

2 Kings 17:13 Yet the Lord warned Israel and Judah by every prophet and every seer, saying "Turn from your evil ways and keep my commandments and my statutes, in accordance with all the law which I commanded your fathers, and which I sent to you by my servants, the prophets.

Laying on of Hands (Reiki):

This is the ancient ability God gave those who are devoted to Him with the ability to transfer Cosmic Wholeness of Spirit incased in God's Own Hands and then allowed to flow down into the body of the "conduit" the healer who thereby places out his or her hands to direct the current of Blessed Energy into the body of the recipient. Healing of the body and the spirit are displayed in these passages:

Mark 5:21-24 - And when Jesus had crossed again in the boat to the other side, a great crowd gathered about him; and he was beside the sea. Then came one of the rulers of the synagogue, Jairus by name; and seeing him, he fell at his feet, and besought him, saying "My little daughter is at the point of death. Come and lay your hands on her, so that she may be made well, and live. And he went with him.

Acts 4:29 -And now Lord, look upon their threats, and grant to they servants to speak thy word with all boldness, while thou stretchest out thy hand to heal, and signs and wonders are performed through the name of thy holy servant, Jesus. And when they had prayed, the place in which they were gathered together was shaken; and they were all filled with the Holy Spirit and spoke the word of God with boldness.

Acts 8:18-19 - Now when the apostles at Jerusalem heard that Samaria had received the word of God, they sent to them Peter and John who came down --and prayed for them that they might receive the Holy Spirit; for it had not yet fallen on any of them, but they had only been baptized in the name of the Lord Jesus. Then they laid their hands on them and they received the Holy Spirit

Acts 28:8 - It happened that the father of Publius lay sick with fever and dysentery; and Paul visited him and prayed, and putting his hands upon him healed him.

1st Timothy 4:14 - Do not neglect the gift you have, which was given you by prophetic utterance when the elders laid their hands upon you.


Gifts of the Spirit: I Corinthians Chapter 12:1-11

St. Paul discussed at length much about gifts of the spirit:

"Now concerning spiritual gifts, brethren, I do not want you to be uninformed. You know that when you were heathen, you were led astray to dumb idols, however, you may have been moved. Therefore I want you to understand that no one speaking by the Spirit of God ever says "Jesus be cursed!" and no one can say "Jesus is Lord" except by the Holy Spirit . Now there are varieties of gifts, but the same Spirit, and there are varieties of service, but the same Lord; and there are varieties of working, but it is the same God who inspires them all in every one. To each is given the manifestation of the Spirit for the common good. To one is given through the Spirit the utterance of wisdom, and to another the utterance of knowledge according to the same Spirit, to another faith by the same Spirit, to another gifts of healing by the one Spirit, to another the working of miracles, to another prophecy, to another the ability to distinguish between spirits, to another various kinds of tongues, to another the interpretation of tongues. All these are inspired by one and the same Spirit, who apportions to each one individually as he wills."

I Corin. 12:27-30 - Now you are the body of Christ and individually members of it. And God has appointed in the church first apostles, second prophets, third teachers, then workers of miracles, then healers, helpers, administrators, speakers in various kinds of tongues. Are all apostles? Are all teachers? Do all work miracles? Do all possess gifts of healing? Do all speak with tongues? Do all interpret? But earnestly desire the higher gifts. And I will show you a still more excellent way.

Heb. 2:3-4 - It was declared at first by the Lord, and it was attested to us by those who heard him, while God also bore witness by signs and wonders and various miracles and by gifts of the Holy Spirit distributed according to his own will.

Divine Guidance, Channeling, Prophesying, and Speaking in Tongues:

Genesis 44:5 - Is it not from this that my lord drinks, and by this that he divines?

Genesis 44:14 When Judah and his brothers came to Joseph's house, he was still there; and they fell before him to the ground. Joseph said to them, "What deed is this that you have done? Do you not know that a man such as I can indeed divine?"

Exodus 7:1 - "And the Lord said to Moses, "See, I make you as God to Pharaoh; and Aaron your brother shall be your prophet. You shall speak all that I command you; and Aaron your brother shall tell Pharaoh to let the people of Israel go out of his land".

Isaiah 50:4 The Lord God has given me the tongue of those who are taught, that I may know how to sustain with a word him that is weary. Morning by morning he wakens, he wakens my ear to hear as those who are taught.

Matthew 10:19 "When they deliver you up, do not be anxious how you are to speak or what you are to say; for what you are to say will be given you in that hour, for it will not be you who speak, but the Spirit of your Father speaking through you."

Mark 13:11 "And when they bring you to trial and deliver you up, do not be anxious beforehand what you are to say; but say whatever is given you in that hour, for it is not you who speak, but the Holy Spirit".

So much is written in 1 Corinthians Chapters 12 through 14 about Gifts of the Spirit that I would recommend reading it fully. Here is a sampling of some of the passages about these gifts in particular:

1 Corinthians Chapter 12:10 To another the working of miracles; to another prophecy, to another the ability to distinguish between spirits, to another various kinds of tongues, to another the interpretation of tongues. All these are inspired by one and the same Spirit, who apportions to each one individually as he wills.

1 Corinthians 13:1 - If I speak in the tongues of men and of angels, but have not love, I am a noisy gong or a clanging cymbal. And if I have prophetic powers, and understand all mysteries, and all knowledge, and if I have all faith, so as to remove mountains, but have not love, I am nothing.

1 Corinthians Chapter 14:1 - Make love your aim, and earnestly desire the spiritual gifts, especially that you may prophesy. For one who speaks in a tongue speaks not to men, but to God; for no one understands him, but he utters mysteries in the Spirit. On the other hand, he who prophesies speaks to men for their upbuilding and encouragement and consolation. He who speaks in a tongue edifies himself, but he who prophesies edifies the church. Now I want you all to speak in tongues, but even more to prophesy. He who prophesies is greater than he who speaks in tongues, unless some one interprets, so that the church may be edified. Therefore, he who speaks in a tongue should pray for the power to interpret. For if I pray in a tongue, my spirit prays but my mind is unfruitful. What am I to do? I will pray with the spirit and I will pray wit the mind also; I will sing with the spirit and I will sing with the mind also.
1 Corinthians Chapter 14:37 - If any one thinks that he is a prophet or spiritual, he should acknowledge that what I am writing to you is a command of the Lord. If anyone does not recognize this, he is not recognized. So my brethren, earnestly desire to prophesy, and do not forbid speaking in tongues, but all things should be done decently and in order.

The Book of Revelation to John which is one entire prophecy. In this book it starts out with the first chapter saying in Verse 3 "Blessed is he who reads aloud the words of the prophecy, and blessed are those who hear, and who keep what is written therein; for the time is near."

Visions:

Genesis 15:1 - After these things the word of the Lord came to Abram in a vision, "Fear not, Abram, I am your shield; your reward shall be very great."

2 Chronicles 9:29 - Now the rest of the acts of Solomon, from first to last, are they not written in the history of Nathan the prophet, and in the prophecy of Ahijah, the Shilonite, and in the visions of Iddo the seer concerning Jeroboam the son of Nebat?

Joel 2:28 - And it shall come to pass afterward, that I will pour out my spirit on all flesh; your sons and your daughters shall prophesy; your old men shall dream dreams, and your young men shall see visions.

Habakkuk 2:2-3 - And the Lord answered me; "Write the vision; make it plain upon tablets, so he may run who reads it. For still the vision awaits its time; it hastens to the end--it will not lie.

Daniel 8:26 - The vision of the evenings and the mornings which has been told is true; but seal up the vision, for it pertains to many days hence."

Luke 24:22 - Moreover, some women of our company amazed us. They were at the tomb early in the morning and did not find his body; and they came back saying that they had even seen a vision of angels, who said that he was alive.

Acts 11:4 - But Peter began and explained to them in order: "I was in the city of Joppa praying; and in a trance I saw a vision, something descending, like a great sheet, let down from heaven by four corners; and it came down to me. Looking at it closely I observed animals and beasts of prey and reptiles and birds of the air.

Acts 16:9 - And a vision appeared to Paul in the night: a man of Macedonia was standing beseeching him and saying, "Come over to Macedonia and help us." And when he had seen the vision, immediately we sought to go on into Macedonia, concluding that God had called us to preach the gospel to them. Astral Travel:
Paul was recounting his out-of-body experience as he referred to himself as "this man".
2 Corinthians 12:1 - I must boast; there is nothing to be gained by it, but I will go on to visions and revelations of the Lord. I know a man in Christ who fourteen years ago was caught up to the third heaven--whether in the body or out of the body I do not know, God knows. And I know that this man was caught up into Paradise--whether in the body or out of the body, I do not know, God knows--and he heard things that cannot be told, which man may not utter. On behalf of this man I will boast, but on my own behalf I will not boast, except of my weaknesses.

The Book of Revelation recounts John being taken up in Spirit. In this whole entire book there are so many references to this happening throughout his experience, that it would be best to recommend reading the whole book with this thought in mind. In the first chapter it states in Verse 10 "I was in the Spirit on the Lord's day, and I heard behind me a loud voice like a trumpet saying, "Write what you see in a book and send it to the seven churches..."

Rev. 4:2 - At once I was in the Spirit, and lo, a throne stood in heaven, with one seated on the throne! And he who sat there appeared like jasper and carnelian, and round the throne was a rainbow that looked like an emerald.

Rev. 17:3 - And he carried me away in the Spirit into a wilderness, and I saw a woman sitting on a scarlet beast which was full of blasphemous names, and it had seven heads and ten horns that carries her.

Rev. 21:10 - And in the Spirit he carried me away to a great, high mountain, and showed me the holy city Jerusalem coming down out of heaven from God, having the glory of God, its radiance like a most rare jewel, like a jasper, clear as crystal.

Akashic Record - Book of Life:

Ps. 69:28 - Let them be erased from the book of life
and not be recorded with the righteous.

Php. 4:3 - Yes, I also ask you, true partner, to help these women who have contended for the gospel at my side, along with Clement and the rest of my co-workers whose names are in the book of life.


Rev. 3:5 He that overcometh, the same shall be clothed in white rainment; and I will not blot out his name out of the book of life, but I will confess his name before my Father, and before his angels.

Rev. 13:8 And all that dwell upon the earth shall worship him, whose names are not written in the book of life of the Lamb slain from the foundation of the world.

Rev. 17:8 - The beast that you saw was, and is not, and is about to come up from the abyss and go to destruction. Those who live on the earth whose names were not written in the book of life from the foundation of the world will be astounded when they see the beast that was, and is not, and will be present again.

Rev. 20:12 And I saw the dead, small and great, stand before God; and the books were opened; and another book was opened which is the book of life; and the dead were judged out of those things which were written in the books, according to their works.

Rev. 20:14-15 Then Death and Hades were thrown into the lake of fire. This is the second death, the lake of fire; and if any one's name was not found written in the book of life, he was thrown into the lake of fire.

Rev. 21:27 - Nothing profane will ever enter it: no one who does what is vile or false, but only those written in the Lamb's book of life.

Rev. 22:19 - And if anyone takes away from the words of this prophetic book, God will take away his share of the tree of life and the holy city, written in this book.

Clairaudience - Hearing of God's voice: Divine Guidance:

There are literally so many verses in the bible about the voice of the Lord being heard that I went and picked out just a sampling. If any of you have a Strong's Concordance and see the listings under "voice" and "voices" you will see what I mean.
Deuteronomy 5:27 Go near, and hear all that the Lord our God will say; and speak to us all that the Lord our God will speak to you; and we will hear and do it.

Deuteronomy 26:17 You have declared this day concerning the Lord that he is your God, and that you will walk in his ways, and keep his statutes and his commandments and his ordinances, and will obey his voice.

Luke 21:14 - Settle it therefore in your minds not to meditate beforehand how to answer; for I will give you a mouth and wisdom, which none of your adversaries will be able to withstand or contradict.

Acts 9 Saul hearing Jesus' voice: V. 3 - Now as he journeyed he approached Damascus and suddenly a light from heaven flashed about him. And he fell to the ground and hear a voice saying to him, "Saul, Saul, why do you persecute me?" And he said, who are you, Lord?" And he said, "I am Jesus, whom you are persecuting; but rise and enter the city, and you will be told what you are to do." The men who were traveling with him stood speechless, hearing the voice but seeing no one.

Acts 10:15 And the voice came to him again a second time, "What God has cleansed, you must not call common."

Acts 26:14 - And when we had all fallen to the ground, I heard a voice saying to me in the Hebrew language, "Saul, Saul, why do you persecute me? It hurts you to kick against the goads." And I said, "Who are you, Lord?" And the Lord said, 'I am Jesus whom you are persecuting. But rise and stand upon your feet; for I have appeared to you for this purpose, to appoint you to serve and bear witness to the things in which you have seen me and to those in which I will appear to you, delivering you from the people and from the Gentiles--to whom I send you to open their eyes, that they may turn from darkness to light and from the power of Satan to God, that they may receive forgiveness of sins and a place among those who are sanctified by faith in me."

Rev. 21:3 And I heard a great voice from the throne saying, "Behold, the dwelling of God is with men. He will dwell with them, and they shall be his people, and God himself will be with them; he will wipe away every tear from their eyes, and death shall be no more, neither shall there be mourning nor crying nor pain any more, for the former things have passed away."

Meditation:

Gen. 24:63 - And Isaac went out to meditate in the field in the evening...

Joshua 1:8 This book of the law shall not depart out of your mouth, but you shall meditate on it day and night, that you may be careful to do according to all that is written in it; for then you shall make your way prosperous , and then you shall have good success.

Psalms 1:2...but his delight is in the law of the Lord, and on his law he meditates day and night.

Psalms 63:6-8 - ...when I think of thee upon my bed, and meditate on thee in the watches of the night; for thou hast been my help, and in the shadow of thy wings I sing for joy. My soul clings to thee; thy right hand upholds me.

Psalms 77:12 - I will meditate on all thy work, and muse on thy mighty deeds.

Psalms 119:15 - I will meditate on thy precepts, and fix my eyes on they ways.

Ps 119:23-24 - Even though princes sit plotting against me, thy servant will meditate on thy statutes. Thy testimonies are my delight, they are my counselors.

Ps. 119-48 - I will revere thy commandments, which I love, and I will meditate on thy statues.

Ps. 148:5 - I remember the days of old, I meditate on all that thou hast done;...

1st Tim 4:15 - Meditate upon these things; give thyself wholly to them; that thy profiting may appear to all.


Ps 104:34 - May my meditation be pleasing to him, for I rejoice in the Lord.

Ps 119:97 - Oh, how I love thy law! It is my meditation all the day.

Gen. 24:63 - And Isaac went out to meditate in the field in the evening...

Joshua 1:8 This book of the law shall not depart out of your mouth, but you shall meditate on it day and night, that you may be careful to do according to all that is written in it; for then you shall make your way prosperous , and then you shall have good success.

Ps. 1:2...but his delight is in the law of the Lord, and on his law he meditates day and night.

Ps. 19:14 - Let the words of my mouth and the meditation of my heart be acceptable in thy sight, O Lord, my rock and my redeemer.

Ps 49:3 - My mouth shall speak wisdom; the meditation of my heart shall be understanding.

Ps. 63:6-8 - ...when I think of thee upon my bed, and meditate on thee in the watches of the night; for thou hast been my help, and in the shadow of thy wings I sing for joy. My soul clings to thee; thy right hand upholds me.

Ps. 77:12 - I will meditate on all thy work, and muse on thy mighty deeds.

Ps 104:34 - May my meditation be pleasing to him, for I rejoice in the Lord.

Ps.119:15 - I will meditate on thy precepts, and fix my eyes on their ways.

Ps 119:97 - Oh, how I love thy law! It is my meditation all the day.

Ps. 119:23-24 - Even though princes sit plotting against me, thy servant will meditate on thy statutes. Thy testimonies are my delight, they are my counselors.

Ps. 119-48 - I will revere thy commandments, which I love, and I will meditate on thy statues.

Ps. 148:5 - I remember the days of old, I meditate on all that thou hast done;...

1st Tim 4:15 - Meditate upon these things; give thyself wholly to them; that thy profiting may appear to all.

[/TD]
[/TD]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Hope Pasco baada ya kuweka vifungu hivi hawa watu hawatarudi tena na arguments zao zisizokua na mbele wala nyuma wakitaka justifications kwa vitu ambavyo ni obvious.
Mi nawashaangaa sana hawa walokole wa humu JF wanajifanya wanamjua Yesu sana as if wana copyright ya hilo jina...hivi nani aliwambia Yesu anayetajwa hapa ndio huyo huyo mnayemwamini nyie...
swala la interpretation ya Bible ni la mtu binafsi na Roho yake hakuna general rule ya kuconstrue Bible...
Msitake kulazimisha mnayoyajua nyie kwny Biblia baasi watu wote wafall huko...tumejaribu kuwavumilia na kuwaomba basi amishieni mjadala wenu kwny jukwa la Dini ili mkarumbane vizuri huko sisi tuachieni mjadala huu tuendele kujifunza yanayotuhusu hamtaki..kwa kweli mmetuboa..katika mafundisho yangu ya Ukristo niliwai fundishwa kuwa mvumilivu na kuheshimu mawazo ya wengine na hii ndio inamtofautisha mkristu na Dini zingine...ye sio mtu wa kukaa majukwaani na kuwanyoshea vidole watu wa dini zingine kama ndugu zetu hawa wengine wafanyavyo...
Kwa kweli ndugu zangu wote mnaoleta mabishano ya kidini na kukosoa kosoa kila tamko la Pasco (mnajijua haina haja ya kuwataja) mnatukera vilivyo...ebu tupeni fulsa wengine tujifunze kupitia kwa Pasco ka ni mnaona anaudhalilisha Ukristu hata sisi ni wakristu hatujaona jambo hilo na kwa kuwasaidia nyie anzisheni uzi wenu utakaongelea Psych power ni mambo ya shetani
 
Last edited by a moderator:
Haya tena ni mapyaaaa ... So una maana hata kuamini uwepo wa mungu ni uongo na uzushi ?:A S-coffee:

Kuamini uwepo wa Mungu si maarifa, kama ulivyosema "kuamini". Ni kuamini tu. Basi. Ukiweza kutenganisha imani na maarifa/knowledge hatuna ubishi. Mwanzisha mada amesema "psychic powers, positive thinking, etc " zinafanya kazi. Nilichosema ni kuwa mambo hayo yanaweza kuaminiwa tu, kama Mungu anavyoaminiwa. Hayathibitiki kisayansi, hivyo si maarifa hasa kama mwanzisha mada anavyotaka tuelewe.
 
Back
Top Bottom