Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Mbona una hasira sana we mzee ni Mungu yupo unamtetea kwa kauli chafu hizi?

Atoae kauli.za.kumkashifu Mungu anastahili zaidi ya haya.
Watu wanabahati kuna hizi sheria za kijinga za kuwalinda watu waovu kama hawa!
Hayo ni maneno tu. Ilitakiwa na mkofi ya uso. Ndio watashika adabu zao. Na kumuheshimu Mungu inavyotakiwa.
Wao kama hawataki kuabudu! Kashfa za nini??
Kwani kuna mtu kwalazimisha kuabudu!!
Paka mwitu wasiojua kwao hao!
 

Kila andiko lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa mafundisho na kuadabisha. Sasa hivyo Vitabu vyako Kama vinapumzi ya Mungu sawa! Lakini Mungu anaepatikana kwenye Biblia Ndio ninae mwamini!
 

Loading...
 
mkuu nimepata story na aliyekuwa memba wa kanisa la mormon(christ of the latter day) akielezea nguvu ya kuondoka na kuacha mwili na kusema ni evil spirit. mkaombewe.

Joseph Smith na mafunuo yake ya ajabu. Haya mafundisho anayoleta Pasco yanalenga kumwondoa Mungu kama central object of worship. Ukiangalia vema, lengo ni kukufanya ujione kumbe wewe ni mungu. Nakushauri utazame video hii hapa ili upate picha halisi ya hii movement:

 
Last edited by a moderator:
Huu sio uzi wa dini , ni uzi wa powers regardless uko dini gani, you have the powers , use them!.
Pasco

Tatizo lako huelewi
Na kama huelewi huwezi kujibu majibu sahihi

Mada yako inazungumzia dini na watu wanaoihusu hiyo dini
Wewe unasema sio ya kidini
Hueleweki kabisa

Kuna watu wengi sana wamekuwa wakizungumzia unachokizungumzia wewe kwa miaka mingi sana bila kuzihusisha dini wala wanadini,sijui wewe unapataje shida kufanya hivyo!
 

Hii ni sawa na Jibu la shetani kwa Hawa pale bustanini Eden aliposema ukila hili tunda utakua Kama Mungu! Genesis 3:5

Haya mafundisho Ndio Jibu la shetani linajirudia
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Tedo, you have the powers to make things happen ila ulikosa realization kwamba hizo ni powers, kwa kutojua you have the powers , hukujua jinsi rasmi ya kuzifungua zaidi ya kujisalia zikafunguka zenyewe, kuanzia sasa jitambue kuwa unazo hizo powers ndani yako, na sio tuu za kufanyia timing maswali tuu ya mitihani ili upasi kwenye mitihani , sasa zielekeze kwenye kupasi kwenye life, to get the best job, the top salary, a beautiful wife, nyumba nzuri, gari mzuri, na kuishi top life!.
Pasco
 
Kila andiko lenye pumzi ya Mungu lafaa kwa mafundisho na kuadabisha. Sasa hivyo Vitabu vyako Kama vinapumzi ya Mungu sawa! Lakini Mungu anaepatikana kwenye Biblia Ndio ninae mwamini!
Mkuu Ntuzu, nimeweka vitabu vyote vya dini zote hadi dini za shetani!, nimeweka vitabu vya secret societies zote kuanzia freemasons hadi illuminate, nimeweka vitabu vya kipagani hadi vya uchawi wa aina zote na yote ni powers to make things happen ila nimeweka angalizo na na na nitalirudia mara kwa mara ili kuwazuia the weak ones wasipotee kwa kubainisha wazi zipi ni nguvu za Mungu na zipi ni za shetani, au nguvu za giza!. Kipimo cha kwanza na cha haraka kuhusu nguvu za Mungu, they are unconditional, nguvu za giza au za shetani they are conditional!.
Pasco
 

Nimekuelewa Mkuu. Lakini Mimi Nilikua najibu hoja yako ya kunieleza kua nimejilimit kwenye Biblia tu na Mungu Wa humo wakati Vitabu umeviweka vyenye kueleza Mungu yupo miaka kibao!
Ndo maana nikakuambia Kama hivyo Vitabu vinapumzi ya Mungu sawa!
 

Mkuu hilo ndo lengo kuu la Pasco, anataka kuwaaminisha watu kuwa bila Mungu unaweza kufanya lolote, anataka ile fear of God iondoke mioyoni mwa watu, anajaribu kutuaminisha kuwa Mungu tunayemwabudu ni dhaifu ndo maana ameshindwa kumudestroy shetani, lakini hawasemi moja kwa moja ila wanazunguka mbuyu
 
Last edited by a moderator:
Halafu unasema hii sio mada ya kidini
Una khatari weye!
CC: MaxShimba !!

Teh teh teh teh!
Eiyer huyo unae mtag siku zotealijiua akitegemea na yeye atafufuka! Sasa zoezi la ufufuko limeshindika!
.teh teh teh teh teh!
We kama huyo law life anakusumbua bora unitag mimi ntakuja mtia adabu on your behalf!
 
kweli watu wanazo hizo nguzu kwa mfano kama sina hela wala sipokei sms au cm za kuombwa hela lakini nikizikamata tu pesa watu sijui wanajuaje kwa kweli hiyo mizinga ni noma huwa najiuliza wamejuaje nimepata hela
 
Una uwezo wa kusoma ukaelewa?

Nina uwezo wa kusoma, na pia wa kuelewa, mjomba mlokole ... Lakini nakushangaa wewe ambaye unashindwa kuona boriti katika jicho lako jinsi ambavyo kanisa linavyoharibika, kufungisha ndoa za jinsia moja, mauaji ya kimbari kama ilivyotokea kule Rwanda na Uganda kwa mchungaji Kibwetere, but wewe umeng'ang'ania kupambana kibanzi kutoka kwa maalim Pasco .... Umechanganyikiwa wewe ...!!!!:hat:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…