Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #801
Mkuu Van, no sijalisusa darasa, namlilia kwanza Madiba, just imagine anayaona yote na kila kinachoendea huku duniani ila pia wameisha kutana na Mwalimu na kukumbatiana sana!, natamani niwaone alipokutana na Samora sijui ndio alimshukuru kumtunzia au?!.Mwalimu naona ameamua kulisusa darasa ...!!! :frusty:
Mkuu Van, no sijalisusa darasa, namlilia kwanza Madiba, just imagine anayaona yote na kila kinachoendea huku duniani ila pia wameisha kutana na Mwalimu na kukumbatiana sana!, natamani niwaone alipokutana na Samora sijui ndio alimshukuru kumtunzia au?!.
Rip. Madiba.
Pasco
Pasco mhh ina maana tayari unamjua next president?Mimi ni mwananchi tuu!, wananchi tunawadanganya viongozi?!, ila kama unazungumzia lile "jiwe walilolikatta waashi!", subiria kwanza mpaka litakapofanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!", ndipo tuje tuulizane!.
Ili kiongozi uwe kiongozi bora, unapaswa kuwa na "powers from within!". Tanzania tunaviongozi wachache sana wenye "powers from within", Nyerere alikuwa na powers!, Sokoine alikuwa na powers!, sorry kuhusu Mwinyi, Mkapa kidogo kwa kuforce, aliyepo ni nil!, ajaye ni very powerful!.
Pasco.
Mkuu Van, no sijalisusa darasa, namlilia kwanza Madiba, just imagine anayaona yote na kila kinachoendea huku duniani ila pia wameisha kutana na Mwalimu na kukumbatiana sana!, natamani niwaone alipokutana na Samora sijui ndio alimshukuru kumtunzia au?!.
Rip. Madiba.
Pasco
Hilo nalo tatizo kwa wale wanao amini "YESU NI MUNGU" naomba nijibiwe hili,kama yesu ni! mungu yesu huwa anamsalia nani,I meant alikua anaomba kwa nani?
Sijui nimeeleweka
Wewe unaamini nini? Jibu ili usaidiwe
Hilo nalo tatizo kwa wale wanao amini "YESU NI MUNGU" naomba nijibiwe hili,kama yesu ni mungu yesu huwa anamsalia nani,I meant alikua anaomba kwa nani?
Sijui nimeeleweka
kama kweli unahitaji kujua Yesu ni Mungu ama la unapaswa kujua kwa mujibu wa imani ya kiislam Allah aliteremsha vitabu vingapi na akaamrisha kama Muislam uvifuate..katika hivyo vitabu kimojawapo kinatamka wazi uungu wa Yesu...na kama si Mungu uje na hoja ndani ya kitabu hicho kuhoji uungu wa Yesu...tatizo la waislamu wengi hatujui Quran inasema nini tunaishia kubishana kwa hisia....

Ata Mimi nasubiri jibu!
Wewe unaamini nini? Jibu ili usaidiwe
Mungu ni jina tuu, kinacho matter ni ule Uungu ambao ni powers na sisi binaadamu ametugawia some!.
Hivyo Father, The Lord, Baba wa Mmbinguni, Allmight, King of Kings, Bwana wa Majeshi, Alfa na Omega, Allah, The Most high, etc, ni baadhi tuu ya majina ya Mungu!. Kitu muhimu ni kuamini "the Higher Power!" regardless wewe unaamini nini kwa sababu the power is inside of you!.
Nawaombeni sana, na niko chini ya miguu yenu, tusijadili sana kuhusu Mungu, tujikite kwenye matumizi mazuri ya nguvu hizi za Kimungu zilizo ndani yetu kutuletea mafanikio na mafanikio ya wengine!.
Namalizia msiba wa Madiba, nitarejea!.
Pasco
Eiyer Inaonyesha hata walimu wako darasani walikuwa wanapata tabu kukufundisha
Mmeshaambiwa muende kwenye jukwaa la Dini badotu ume ng'ang'ania kamakupe.
Chonde chonde ndugu zangu kabla hii hoja mpya haijafika kwenye chorus naomba wadau tuzingatie makubaliano yetu JUKWAA LA DINI ndio mahali pake.
Asanteni kwa ushirikiano wenu