Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Mwalimu naona ameamua kulisusa darasa ...!!! :frusty:
Mkuu Van, no sijalisusa darasa, namlilia kwanza Madiba, just imagine anayaona yote na kila kinachoendea huku duniani ila pia wameisha kutana na Mwalimu na kukumbatiana sana!, natamani niwaone alipokutana na Samora sijui ndio alimshukuru kumtunzia au?!.
Rip. Madiba.
Pasco
 
Mwanangu
 
Mimi ni mwananchi tuu!, wananchi tunawadanganya viongozi?!, ila kama unazungumzia lile "jiwe walilolikatta waashi!", subiria kwanza mpaka litakapofanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!", ndipo tuje tuulizane!.

Ili kiongozi uwe kiongozi bora, unapaswa kuwa na "powers from within!". Tanzania tunaviongozi wachache sana wenye "powers from within", Nyerere alikuwa na powers!, Sokoine alikuwa na powers!, sorry kuhusu Mwinyi, Mkapa kidogo kwa kuforce, aliyepo ni nil!, ajaye ni very powerful!.
Pasco.
Pasco mhh ina maana tayari unamjua next president?

hope anatoka kuleeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Van, no sijalisusa darasa, namlilia kwanza Madiba, just imagine anayaona yote na kila kinachoendea huku duniani ila pia wameisha kutana na Mwalimu na kukumbatiana sana!, natamani niwaone alipokutana na Samora sijui ndio alimshukuru kumtunzia au?!.
Rip. Madiba.
Pasco

Daah ... Kweli ..!!!:A S embarassed:
 
ilitakiwa ujue Pasco kwamba kuna watu wanataka kukutoa kwenye mada(nahisi wameshafanikiwa)maana hakuna muendelezo zaidi ya malumbano ambayo sisi hatuna shida nayo,tuna shida ya kufahamu mengi au elimu nyingine nyingi zaidi ya zile tuzijuazo,challenge nzuri katika kufanikiwa ila haupaswi kukaa kimya au kuendelea kuwajibu hao wasio ruhusu challenge katika yale machache wayajuayo katika imani au dini yao,jua@pasco, wafuatiliaji wa uzi huu wapo wengi sana kuliko wale wanaochangia,mm pia tangu mwanzo nafuatilia huu uzi ila leo ndo nachangia kwa vle nahisi na miss kitu nilichotaraji kukielewa,kama unahisi unawajibika kwetu kwa yale uyajuayo tafadhari endeleza darasa(litamfaa mwenye kulihitaji)kama hakuna lingine pia tuambie ,usituache tukisubiri,asante sana.hii dunia ni zaidi ya vile tuijuavyo......
 
Kwakweli izi power bila kuficha ndugu zangu mimi ninazo hadi leo hii na kwa kweli huwa zinaniletea mambo mema tu hata kuna janga likikaribia basi huwapata wale niliowaacha pale kwenye mazingira wakijilaumu kwa kusema yule jamaa kama mchawi.ila naona siku izi zinapungua kwa sababu naweza kuisi itatokea ila nakuwa sijui lini ivyo hata ikitokea nakuwa nimechelewa .
 
Hilo nalo tatizo kwa wale wanao amini "YESU NI MUNGU" naomba nijibiwe hili,kama yesu ni mungu yesu huwa anamsalia nani,I meant alikua anaomba kwa nani?
Sijui nimeeleweka

kama kweli unahitaji kujua Yesu ni Mungu ama la unapaswa kujua kwa mujibu wa imani ya kiislam Allah aliteremsha vitabu vingapi na akaamrisha kama Muislam uvifuate..katika hivyo vitabu kimojawapo kinatamka wazi uungu wa Yesu...na kama si Mungu uje na hoja ndani ya kitabu hicho kuhoji uungu wa Yesu...tatizo la waislamu wengi hatujui Quran inasema nini tunaishia kubishana kwa hisia....
 
Tena inamtaja Yesu Kua ni Bwana! Ngoja niitafute ntauweka hio Aya!
 
Mungu ni jina tuu, kinacho matter ni ule Uungu ambao ni powers na sisi binaadamu ametugawia some!.
Hivyo Father, The Lord, Baba wa Mmbinguni, Allmight, King of Kings, Bwana wa Majeshi, Alfa na Omega, Allah, The Most high, etc, ni baadhi tuu ya majina ya Mungu!. Kitu muhimu ni kuamini "the Higher Power!" regardless wewe unaamini nini kwa sababu the power is inside of you!.
Nawaombeni sana, na niko chini ya miguu yenu, tusijadili sana kuhusu Mungu, tujikite kwenye matumizi mazuri ya nguvu hizi za Kimungu zilizo ndani yetu kutuletea mafanikio na mafanikio ya wengine!.
Namalizia msiba wa Madiba, nitarejea!.
Pasco
 
kama kweli unahitaji kujua Yesu ni Mungu ama la unapaswa kujua kwa mujibu wa imani ya kiislam Allah aliteremsha vitabu vingapi na akaamrisha kama Muislam uvifuate..katika hivyo vitabu kimojawapo kinatamka wazi uungu wa Yesu...na kama si Mungu uje na hoja ndani ya kitabu hicho kuhoji uungu wa Yesu...tatizo la waislamu wengi hatujui Quran inasema nini tunaishia kubishana kwa hisia....

Ata Mimi nasubiri jibu!

Wewe unaamini nini? Jibu ili usaidiwe

Chonde chonde ndugu zangu kabla hii hoja mpya haijafika kwenye chorus naomba wadau tuzingatie makubaliano yetu JUKWAA LA DINI ndio mahali pake.
Asanteni kwa ushirikiano wenu
 
Mungu ni jina tuu, kinacho matter ni ule Uungu ambao ni powers na sisi binaadamu ametugawia some!.
Hivyo Father, The Lord, Baba wa Mmbinguni, Allmight, King of Kings, Bwana wa Majeshi, Alfa na Omega, Allah, The Most high, etc, ni baadhi tuu ya majina ya Mungu!. Kitu muhimu ni kuamini "the Higher Power!" regardless wewe unaamini nini kwa sababu the power is inside of you!.
Nawaombeni sana, na niko chini ya miguu yenu, tusijadili sana kuhusu Mungu, tujikite kwenye matumizi mazuri ya nguvu hizi za Kimungu zilizo ndani yetu kutuletea mafanikio na mafanikio ya wengine!.
Namalizia msiba wa Madiba, nitarejea!.
Pasco

Kama kweli wewe ungekuwa unajua kuhusu nguvu ungejua na nguvu iliyoko kwenye majina na kama ungejua hilo wala usingeandika huyo utum.bo hapo

Huwezi kusema hayo ni majina tu wakati majina yana nguvu kubwa sana kwenye maisha ya mwanadamu na chochote kile,ninachoendekea kukiona hapa ni upotoshaji tu

Kila jina lina maana yake na nguvu yake
Huwezi kuniambia eti King of kings,Alfa na omega,Allah na sijui nini eti ni majina ya mungu,sijui Mungu yupi huyo mwenye majina mengi kiasi hicho

Nijuavyo mimi Mungu ana jina moja tu,zingine ni sifa tu!
 
Eiyer Inaonyesha hata walimu wako darasani walikuwa wanapata tabu kukufundisha
Mmeshaambiwa muende kwenye jukwaa la Dini badotu ume ng'ang'ania kamakupe.
 
ahahahahahhaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa_umenichekesha sana mkuu...Eiyer ni mchungaji_analinda kitumbua chake kisiingie mchanaga.
 
Pasco, you have great experience in the 'powers' you have been talking about and you have read many writings concerning those powers. I challenge you to read a christian book, HE CAME TO SET THE CAPTIVES FREE, by Rebecca Brown MD. You might discover that supernatural powers come from any of the two sources. 1. God. 2 Satan & his demons.

Now from my personal experience, a super-natural power that a person can use at his will or desire is that which comes from Satan and his demons.

A person whose supernatural powers come from God cannot use these powers at his/her will. He/she only uses them when God wills that the person uses them. A person has no control of the supernatural powers that he receives from God.

Now Pasco, you must be very careful, I am pretty sure that you are heading towards the 'bottomless pit'; better stop, think about it, turn back and look at Christ the Lord, the Saviour of the world and the Source of True Power.
 
The first step ya ku-unfold the powers within(psychic powers) is self realisation then comes FAITH.
You have to realise that You Are Your Own G_d(YAYOG)
then you believe in that G_d(which is the higher you)
 
Back
Top Bottom