Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Mengi mno umeweka nimeishia njiani kusoma ila Mungu ndiye mfanya miujiza
 
Pascoooooooo .... Come back here, njoo uendeleze kile ulichoanzisha ... Pronto ..!!!:bored:
 
psychic powers,zipo na kwa mtizamo wangu ukishazielewa ndio utafahamu vizuri uwepo wa Mungu,kwa sababu tumeumbwa kwa mfano wa Mungu,na Mungu alimwambia Adamu nenda katawale ulimwengu,ktk hali ya kawaida ukiwa kiongozi kuna access unapewa,na ndivyo ilivyo kwa mwanadamu akapewa supernatural powers ili autawale ulimwengu kama kusudio la Mungu
 

Maximum Respect Mkuu... Ukimtazama Zitto unamuona yuko real ama feki?...
 

Wewe ni Kifaru wa Yesu pale sanawari Arusha? Jibu lako tafadhali.
 
Bro umenifanya nicheke sana

I'm glad umecheka Mkuu, Mfumo mbovu wa CCM huwa inanifanya ni nune siku 365 kwa mwaka... Mwanao Ato hajambo? Nisaidie kumuuliza Pasco kati ya hawa yupi real yupi feki? Shonza, Mtela, Ngarungu, Zitto, Nape, Nchemba na Mnyika ...Power zangu zimemuona mmoja kuwa ni real sasa sijui nimepatia?
 

kwa maneno yako nawewe unajiona ni wa Mungu,jipange.
 

Haaa haaaa Nchemba Vs Mnyika hata huitaji psychic powers kujua nani ni real na nani ni fake..
Ila Pasco rudi kwenye huu uzi bado tunakusubiri kimya kimekua kikuu
 
Last edited by a moderator:

Kwani you didn't know that god and shetani know each other? halafu mfalme wa ulimwengu Ñî shetani.
 
Kwa wakristu naona kuelekeza matatizo ya kwa Mungu kupitia msalaba na biblia tosha.

Twaamini riziki ya kweli hutoka kwa Mungu. Hivyo hatuna budi kumwamini.
 
Asante Pasco kwa somo zuri
Ukweli mtu akipewa ambao hauendani na alichokaririshwa akiwa mdogo hawez kuukubali inahitaji muda.
Ndio aliowasema bwana Yesu kuwa "watasikia lakini hawataelewa na watatazama lakini hawataona" kwani haya mambo yamefumbwa kwa wengine. "kwa mwenye masikio ataelewa na mwenye macho ataona"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…