Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Charity, you have the powers!, shauri ya uoga, umezifungua nguvu zako za "mind of matter" ukaubamiza mlango bila kujijua, unatakiwa kuzituma kuufunga mlango, kuzima taa, kumuita umpendae, kupata unachotaka.

Anza kwa kukaa mezani, weka maji kwenye glasi, itazame kwa concentration huku ikiilazimisha glass ikufuate!, kama una imani na nguvu unazo, itakufuata!. Vinginevyo mlango umejibamiza kwa upepo tuu!.
Pasco.

mambo ya kichawi au!
 
Ndio maana nimesema kuna watakaosoma lakini hawataelewa,wengine kama nyie mnaotaka jambo jipya,hakuna jipya duniani,vitu vinajirudia tu sema katika njia tofauti,changamoto tofauti,watu tofauti,mazingira tofauti.pasco hajasema ni maarifa mapya,bali yalikuepo hata kabla ya hizi dini za ukristo au uislamu zilizoanza juzi tu.hizi taarifa ni kama dhahabu lazima uchimbe chini uipate na unaweza kuuza vitu vyako vyote ili uipate kwani ukishaipata ina thaman kuliko ulivyoviuza

Pole sana
 
Wanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, mfano, "Miujiza ya Ukweli!".

Kitu chenye nguvu kabisa katika mwili wa binadamu ni nguvu inayoitwa "Will Powers" ambayo kila binadamu, anazaliwa nayo, ila wengine wanabahatika kwa nguvu hizo kujionyesha bayana, huku wengine wengi wakiwa nazo bila kujijua kuwa wanazo nguvu hizo!.

Wale wahubiri wafanya miujiza ya uponyaji, wote wanatumia nguvu hizi, kufanya hayo wanayoyafanya, ila pia, wanga, wachawi, waganga, watabiri, wavumbuzi, matajiri wa kutisha, watawala wenye nguvu, nao pia hutumia nguvu hizi kupata mafanikio makubwa katika maisha yao!.

Matumizi ya neno "Katika Jina la Bwana", "Yesu", "Mungu" au jina lolote utakalotumia, ni kiashiria tuu cha kuufungua mlango wa nguvu hizo, ili ziweze kutenda miujiza, hata wasiotumia majina hayo, au maneno hayo huweza kutenda miujiza!.

Matumizi ya nguvu hizo, yanapotumika kutenda mema, huitwa nguvu za "Mungu", "Yesu", au "Roho Mtakatifu", na nguvu hizo zinapotumika kutenda maovu kama uchawi, majanga, magonjwa, etc huitwa "Nguvu za giza!".

Kwa vile nguvu hizi kila mtu anazo, hata hao wanaofanya miujiza ya uponyaji, wanachofanya ni kufungua tuu milango, ili nguvu zilizo ndani yako, ziweze kutenda hiyo miujiza, na ukipona, kilichokuponya sio huyo mponyaji, wala lile jina la Yesu, au jina Mungu, bali ni nguvu zilizo ndani yako!, "the powers from within!".

Hatua ya kwanza ya kufungua nguvu hizi ni "imani" kuamini kuwa "you have the powers" and that "you can do anything!", or "you can be anybody". Kuamini Mungu, Yesu, Mtume, Allah, Roho Mtakatifu, Bikira Maria, Watakatifu, Wachungaji, Wahubiri, Baba Mtakatifu, Sangoma, Sheriffu, Mlingotini, Chini ya Mti, Chini ya Mbuyu, Mlimani, Pangoni, Kisimani, Mtoni, Ziwani, Kwa Mganga, Vitabu Vitakatifu etc, ni njia rahisi ya kuanzia kufungua milango ya "higher power" to open up your doors for powers from within!" to act on you for you!.

"I know I can, be what I wanna be!"

Wale wenzetu wajanja, waliojitambua kuwa wanazo, wengi wanazitumia kutengezea mapesa kwa kisingizio chochote kiwe ni cha wahubiri, waganga, "wazee wa busara", "watenda miujiza", "wafukuza mapepo" kwa kukusanya sadaka na kujitajirisha, ambao mimi naita ni "wizi mtupu", huku waumini wakendelea kukamuliwa na kuachwa katika umasikini uliotopea!.

Nguvu hizi zimegawanyika matika makundi mengi tofauti, hivyo nimekuwekea baadhi ya makundi hapa chini, just take your time kuyatambua, ujiangalie na wewe unazo nguvu zipi, ili sasa uzitumie nguvu hizo, to "make things happen!".

This is a list of psychic abilities that have been attributed to real-world people. These are also sometimes known as extrasensory perception or a sixth sense. Inclusion in this list does not imply scientific recognition of the existence of an ability. Superhuman abilities from fiction are not included.

Psychic Powers- Ni Nguvu za Kufanya Miujiza-Wengi Wanazo Bila Kujitambua!-Jee Wewe Unazo?!,
Take time kujitambua kuwa you have the powers,
Nitakusaidia website za kukuelekeza ufanye nini kuhusu hizo powers ulizo nazo zikuletee mafanikio!.
Watu wote wenye mafanikio, wameisha jitambua, ila wengi wanafanya siri!.

Hii ni fursa kwa wewe kujitambua, kuzitumia powers ulizo nazo, kubadili maisha yako!.

Karibu tujadiliane!.

Pasco.

Kwa wanaopenda kujisomea kuongeza maarifa, nimeongeza list ya all the topics kwenye net resources kuhusu kila kitu chini ya jua.

World Religions
Traditions
Mysteries
What's New?
About
Abuse
Books
Bibliography
Contact
Credits
Copyrights
Donate
Downloads
FAQ
Links
Map
Press
Privacy
Search
Top Level
Terms of Service
Translate
Standards
Unicode
Volunteer
Wishlist
Catalog
African
Age of Reason
Alchemy
Americana
Ancient Near East
Astrology
Asia
Atlantis
Australia
Basque
Baha'i
Bible
Book of Shadows
Buddhism
Celtic
Christianity
Classics
Comparative
Confucianism
DNA
Earth Mysteries
Egyptian
England
Esoteric/Occult
Evil
Fortean
Freemasonry
Gothic
Gnosticism
Grimoires
Hinduism
I Ching
Islam
Icelandic
Jainism
Journals
Judaism
Legends/Sagas
Legendary Creatures
LGBT
Miscellaneous
Mormonism
Mysticism
Native American
Necronomicon
New Thought
Neopaganism/Wicca
Nostradamus
Oahspe
Pacific
Paleolithic
Parapsychology
Philosophy
Piri Re'is Map
Prophecy
Roma
Sacred Books of the East
Sacred Sexuality
Shakespeare
Shamanism
Shinto
Symbolism
Sikhism
Sub Rosa
Swedenborg
Tantra
Taoism
Tarot
Thelema
Theosophy
Time
Tolkien
UFOs
Utopia
Women
Wisdom of the East
Zoroastrianism

This is absurd jina la Yesu huwez kufananisha na chochote shame on you
 
Mkuu, Mtzmweusi, wewe ni mtu wa kuhurumiwa tuu, kwa sababu unaishi kwenye giza la uaelewa!, ulidhani kinachofanya miujiza ni jina, au imani?!. Nyinyi ndio unajikuta mnaishia kuabudu shetani na masanamu mkiamini ndiye Mungu!, kwa kukusaidia tuu, ukae ukijua shetani ni very trick na anaweza kujipretend ndiye Mungu, usipomjua Mungu wa kweli, utaishia kumuabudu shetani ukidhani ndiye Yesu!.

Yesu mwenyewe alisema, watakuja watu, wafanya miujiza na kutoa mapepo kwa jina langu lakini sio wangu!. Lengo la uzi huu ni kukupatia maarifa ambayo hukuyajua, lakini pia ili uweze kumjua vizuri Mungu na Yesu, unapaswa umjue shetani na mbinu zake, usije ukaishia kumtumikia shetani ukimdhania ni Mungu!.

Open up!, kama wewe ni Mkristu Mkatoliki, kule Vatican kwenye underground library, pia vimehifadhiwa vitabu kuhusu uchawi ambavyo ni banished!, kwenye uzi wangu huu, nimeviweka sio ili mvifuate bali mli mjue na hivyo kuepuka!.

Lengo la hifadhi hiyo ni kuyahifadhi tuu hayo maarifa, kwa jinsi ile ile Mungu anamuacha shetani kuendeleza uoavu wake humu duniani, wakati angeweza kabisa kumuangamiza na duniani pakawa mahali pa neema heri raha mustarehe!, lakini ameachwa ili kuwavuna watu kama nyinyi!.

Pasco.
 
Psychics are Satanic!
Psychics are Evil
Psychics are of the devil

"There shall not be found among you any one that maketh his son or his daughter to pass through the fire, or that useth divination, or an observer of times, or an enchanter, or a witch, Or a charmer, or a consulter with familiar spirits, or a wizard, or a necromancer. For all that do these things are an abomination unto the LORD: and because of these abominations the LORD thy God doth drive them out from before thee. Thou shalt be perfect with the LORD thy God." -Deuteronomy 18:10-13
Do you know what witchcraft is? Witchcraft is seeking help or guidance from any spiritual source other than God. There are only two sources of spiritual power: God or Satan. Ultimately there is only ONE source of power because the only power Satan has is that which God has given him (Luke 4:6). If it's not the power of God's Holy Spirit, then you are dealing with the devil. It's as simple as that folks. Anytime you here someone using words like "spirits" or "spiritual" without mentioning Jesus Christ or the Bible, run as fast as you can. The devil is a spirit, just as God is a Spirit. Our battles in this life (according to the Bible) are ultimately against the devil (Ephesians 6:12). The devil works inside people's hearts to lead them to do horrible things. The devil can't make anyone do anything, but he inspires them with evil to the point where they do his will without hesitation.
All forms of horoscopes, Tarot cards, psychics, palm readings, fortune telling, crystal balls, Ouija boards, astrology, worshipping or contacting the dead, and sorcery are of the devil. "Sorcery" is an interesting word in the Bible. It is derived from the same Hebrew word that our word "pharmacy" today comes from. Hence, sorcery is the use of drugs as a medium to contact the demonic world. If you've ever spoken with someone who was a serious drug addict, they can tell you of the demonic experiences they had while high on drugs. I have talked with such people who claim that they saw demons and unbelievable nightmares. Drugs will mess you up quickly.
I have written this article to solemnly WARN anyone who may be reading this to...PLEASE stay as far away as you can from the evil things I've just shared with you.
Listen my friend, these things which may seem harmless to you have completely destroyed some people's lives. People have invested their life savings into certain financial investments based upon what some astrologer said. I'm not kidding! I actually heard this nut on TV advising people how to invest their money based upon the alignment of the planets and constellations. I was listening to a talk show on the radio last week and some crazy nut called in. The caller insisted that George Bush was going to be arrested next week based on his astrological analysis. I love what the radio host said, "I think your planets are out of alignment Sir." Where do these nuts come from? I mean, it's ok to expose a conspiracy and blow every bodies mind if you have some information to back it up...but the alignment of the stars? Please! Our opinions should be based upon tangible evidence...not hocus pocus, candles, horoscopes, cards, stars, whims or superstitions.
You'd be shocked if you knew how many people base their entire lives upon what some nut writes in the daily horoscope column of the newspaper. It's Satanic folks! Even if it seems to be accurate information...it is still evil and Satanic. It is never right to do wrong in order to get a chance to do right! It's wrong for local police authorities to consult with psychics in an attempt to locate missing persons. But you say, "wouldn't you want to try every means possible to find a loved one if they were missing?" Not if I have to consult with the devil. I believe that God answers prayer.
I've got to share this with you. I recently read about a Oregon man who's pet-sitter lost his dog. This guy went nuts looking for his dog. He lost his business, tapped into his retirement savings, consulted with four psychics and a witch, spent $8,000 on newspaper ads, hired a dog tracker, and drove thousands of miles looking for his dog. I have this unbelievable newspaper article in front of me. Here's the story...
lost_dog_50.jpg
Can you imagine? Luckily for him he finally found his old buddy. That must be some dog! I don't know of many men who would do that for his own wife. I'm serious. It's crazy.
It is sinful to seek the help or advice of a psychic or a witch.
"Regard not them that have familiar spirits, neither seek after wizards, to be defiled by them: I am the LORD your God." -Leviticus 19:31
God is serious about this stuff, and so should you be.
"And he made his son pass through the fire, and observed times, and used enchantments, and dealt with familiar spirits and wizards: he wrought much wickedness in the sight of the LORD, to provoke him to anger." -2nd Kings 21:6
These things are wicked!!! To observe the cycles of the moon and the stars as a form of religion is sinful. The Islamic Muslims pray five times daily corresponding with the cycles of the moon. Ever notice the "moon" symbol that is to cherished by the Muslims? It is the symbol of the moon god, which is exactly where the Islamic Muslim religion started back in 800 A.D., under the moon god Muhammad. It is a false religion!
I remember a couple years ago hearing on the news that India had announced that there would be NO nuclear war between them and Pakistan. They based this knowledge upon the predictions made by the government of India's top astrologers. Right! The stargazers didn't help Babylon...
"Thou art wearied in the multitude of thy counsels. Let now the astrologers, the stargazers, the monthly prognosticators, stand up, and save thee from these things that shall come upon thee." -Isaiah 47:13
These evils are all alive and well today...
"And he caused his children to pass through the fire in the valley of the son of Hinnom: also he observed times, and used enchantments, and used witchcraft, and dealt with a familiar spirit, and with wizards: he wrought much evil in the sight of the LORD, to provoke him to anger." -2nd Chronicles 33:6
Hell is the place of the future punishment call "Gehenna" or "Gehenna of fire." This was originally the "valley of the son of Hinnom," located south of Jerusalem, where the filth and dead animals of the city were cast out and burned; a fit symbol of the wicked and their future destruction. It was the cities garbage dump. Unbelievably, the Moloch religion required parents to sacrifice their children upon the fiery arms of Moloch. This was no doubt a form of abortion. Today, parents sacrifice their children to the surgical saws that rip their tiny bodies painfully apart piece by piece unto all LIFE is gone. Murderers!
All forms of horoscopes, Tarot cards, psychics, palm readings, fortune telling, crystal balls, Ouija boards, astrology, worshipping or contacting the dead, and sorcery are of the devil. This includes the veneration (worshipping) of the dead. The Catholic church worships statues of former so-called "saints." I remember years ago meeting a Spanish man who kept a statue of Saint Anthony and his dogbehind the front door to his apartment. There were several jars of varying amounts of water with a penny at the bottom of each glass container. I asked what the purpose was for these strange things and he said it was to ward off evil spirits from his home. He said he was a Catholic and had learned this at church.
The Catholic church teaches people to pray to dead Saints. This is evil. A statue over your grave cannot pray for you. You cannot pray a person out of hell, and there is NO such place as purgatory. Praying to statues of any size is idolatry. Worshipping anyone or anything other than God is sin! Jesus accepted worship from people because He is God. Mary did NOT accept worship from anyone because she was just a dirty-rotten sinner like you and me. Mary had to get saved, just like you and I do.
Let me ask you a question...are you saved?
"...behold, now is the accepted time; behold, now is the day of salvation." -2nd Corinthians 6:2
Simply pray in your heart and admit to Christ that you are a sinner. Ask Him to save your soul from hell and forgive you of all your sins. Invite Him into your heart as your personal Saviour. That's it friend. Your not saved because of any magical prayer. No, your saved because you go to Jesus to be saved (Romans 10:13). You don't go to the church or to the pope, you go directly to the one Who died on the cross for you...The Lord Jesus Christ (John 10:9). In Jesus' precious name,Dave

"And I will punish the world for their evil, and the wicked for their iniquity; and I will cause the arrogancy of the proud to cease, and will lay low the haughtiness of the terrible." -Isaiah 13:11
"Ye that love the LORD, hate evil..." -Psalm 97:10
 
Mkuu, nitaisoma hii kitu huku nimetulia kuiona mantiki ndani yake?!.

Ila kwa kusaidia tuu, "psychic" ni powers, yaani "will power", ndio inayotumika kuponya, kutibu, kufukuza mashetani, kumuita Roho Mtakatifu, kuzungumza na Mungu, etc, etc, "Jesus was a Psysichic!
    1. Was Jesus Psychic? | Lifting the Veil: Spirit Realm Truth
    2. Was Jesus Psychic? - California Psychics Blog
    3. Char Margolis (Psychic At Large) Exposed - Jesus is Savior
    4. Michael Prescott's Blog: The Psychic Life of Jesus (excerpts)
    5. Was Jesus Christ a Psychic Medium? - Yahoo Answers
    6. Where does someone like me, with psychic ability, fit into Christianity ...
    7. Spirit World - Is the Spirit World of Psychic Experiences Real
    8. What Does Jesus Say About Psychics? | eHow
    9. Can A Born Again Christian Be Psychic / What Does Jesus Say ...
    10. A Psychic Discovers Jesus - Psychic and Medium Experiences
    11. What if Jesus is only a man but a very powerful psychic?, page 1 ...

      Just take you time!.

      Pasco.

'Witchcraft' is a term which covers a wide area and can mean many things, not unlike the term 'psychic'.The main difference between the two is the context in which they are used:

Witchcraft is something witches did, in a world ruled by simple-minded religion on one hand and a vast amount of superstition on the other. Today, our world is most influenced by scientific progress, and this is the context in which the term 'psychic' is used.

Both psychic understanding and witchcraft attempt to describe and influence the spiritual realm with words, concepts and ideas which are most abundant around us.

On the more practical side, modern witchcraft generally relies more on rituals, spells, spirits of nature, and cosmic laws, whereas the psychic path focuses on the psychic's mind and consciousness - and goes forth from there.

Psychic witchcraft is a pragmatic approach: use whichever method is suitable to you to enhance your understanding and achieve your goals.
 
mkuu pasco nimesoma thread yako vizuri na koment zingine,najua kabisa kuna nguvu fulani iliyopo kwa mwanadamu ndo maana kwa mfano unaweza kumkumbuka mtu ambaye mlipoteana ciku nyingi na cku hiyo mkaonana which means kuna spritual comnications, lakin nina kaswali hiyo miujiza wawezajekuifanya ni kwa imani au kuna kingine, je c kinyume na maadili ya dini kama ukristo....
 
Topic moja kila baada ya miezi miwili ..!! Tutafika kweli, kaka ? Hebu ongeza kasi ya kushusha material, angalau kwa wiki mara mbili, mkuu Pasco ....😛layball:
 
Charity, you have the powers!, shauri ya uoga, umezifungua nguvu zako za "mind of matter" ukaubamiza mlango bila kujijua, unatakiwa kuzituma kuufunga mlango, kuzima taa, kumuita umpendae, kupata unachotaka.

Anza kwa kukaa mezani, weka maji kwenye glasi, itazame kwa concentration huku ikiilazimisha glass ikufuate!, kama una imani na nguvu unazo, itakufuata!. Vinginevyo mlango umejibamiza kwa upepo tuu!.
Pasco.

Dah! natamani hii mada iwe endelevu, kumbe leo ndo nimejua nna nguvu kubwa ajabu, ni vitu vingi vya ajabu vya kushare na nyinyi wadau, najua hii Mada ni ya zamani lakini kuna vitu viwili tu ningeanza navyo kwa sasa, huwa inatokea napata hisia flani then kadri nnavyoendelea kuzifatilia zinanipeleka mbali, kuna siku katika hari ya hisia Kali najiona nimetoka kwenye mwili wangu then nimesimama pembeni hafu nauona mwili wangu unaingizwa kwenye jeneza! ilikua mchana nikapatwa na woga na haraka nikaziondoa zile, ya pili wakati wa ujana siku hiyo ndo ilikua Mara ya kwanza na mwisho kuvuta bangi, baada ya kuvuta kwa Mara ya kwanza baada ya muda nikawa nahisi kiu ya maji, nimekaa kwenye kiti huku Jagi la maji lipo juu ya meza, hisia zangu zinataka nichukue Jagi la maji bila kunyanyuka then cha ajabu nikaona mkono wangu unarefuka na kurichukua Jagi la maji pale mezani, baadaye nikashituka nikaipotezea, Swali langu Je! Bangi ina mchango wowote katika Nguvu ambazo binadamu anazo ndani yake?
 
Kidonto, ni kweli you have the powers na kila mtu anazo hizo nguvu, tofauti ni kwa wengine zinajidhiri sana na wengine zimefunikwa mpaka ufanye efforts kuzifufua!.

Ili nguvu hizi ziweze kufanya kazi, kitu cha kwanza ni concentration!. Kinachozuia concentrantion na mawazo mengi kwenye mind zetu. Kufanya meditation kunasaidia to clear mind na kukupa concentration!. Namna rahisi ya ku concentrate ni kujitoa ufahamu wako kwa kuamini kwa dhati uwepo wa Mungu, Yesu, Roho Mtakatifu, Higher Power etc.

Hatua ya kwanza ni to clear the mind!. Bangi ni sedative inayokupa relaxation, hivyo ukipuliza una relax, na ukiconcetrate powers zina take over!. Ile siku uliporefusha mkono, ni bangi zako tuu ndio zilikudanganya umerefusha mkono!, kilichotokea baada ya kulipuliza, ulipoyatazama maji na kuyataka, ulipoosha mkono, jagi ndio lilikufuata, ukadhania mkono umerefuka!.

Pasco.
 
Dah! natamani hii mada iwe endelevu, kumbe leo ndo nimejua nna nguvu kubwa ajabu, ni vitu vingi vya ajabu vya kushare na nyinyi wadau, najua hii Mada ni ya zamani lakini kuna vitu viwili tu ningeanza navyo kwa sasa, huwa inatokea napata hisia flani then kadri nnavyoendelea kuzifatilia zinanipeleka mbali, kuna siku katika hari ya hisia Kali najiona nimetoka kwenye mwili wangu then nimesimama pembeni hafu nauona mwili wangu unaingizwa kwenye jeneza! ilikua mchana nikapatwa na woga na haraka nikaziondoa zile, ya pili wakati wa ujana siku hiyo ndo ilikua Mara ya kwanza na mwisho kuvuta bangi, baada ya kuvuta kwa Mara ya kwanza baada ya muda nikawa nahisi kiu ya maji, nimekaa kwenye kiti huku Jagi la maji lipo juu ya meza, hisia zangu zinataka nichukue Jagi la maji bila kunyanyuka then cha ajabu nikaona mkono wangu unarefuka na kurichukua Jagi la maji pale mezani, baadaye nikashituka nikaipotezea, Swali langu Je! Bangi ina mchango wowote katika Nguvu ambazo binadamu anazo ndani yake?

Mkuu pasco mwambie huyu ukweli hizi zilikuwa bangi...
 
Pasco hebu nijibu hili swali

watu huwa 'wanaibiwa ' huu uwezo?

manake mimi zamani nilikuwa na uwezo wa ajabu wa mambo meengi mno

now naona kama kuna mtu ameniibia hayo mambo,
je nifanyaje?
jaribu labda kufuga nywele hata kama ni mwanaume,maana nywele huwa ni kama receiver and transimiter. ndio maana scorpio wana psychik kubwa sababu huwa mili yao in vinyweleo vingi.
 
hujaelewa kinacho ongelewa hapa,wala usihangaike kuelewa sababu najua hauna saikiki yoyote. nakutakia kila laheri na imani zako hata kama ni zakusubiri bwana arudi kukukomboa,ingawa mie naamini we a strong pasipo kutegemea shetan, na chocho kile kilicho tuumba am sure kilituumba katika ukamilifu.hatujazaliwa kwa njia ya ambiwala hatufi kwa ajili ya zambi ni tekinologia yetu,na mifumo duni ndo inachangia yote hayo am sure baadaye tutaacha kufa ama tutaishi mda mrefu zaidi.bt am sure u a going to die hoplessly before the ruturn of mesire co tere is no return.
 
Dah! natamani hii mada iwe endelevu, kumbe leo ndo nimejua nna nguvu kubwa ajabu, ni vitu vingi vya ajabu vya kushare na nyinyi wadau, najua hii Mada ni ya zamani lakini kuna vitu viwili tu ningeanza navyo kwa sasa, huwa inatokea napata hisia flani then kadri nnavyoendelea kuzifatilia zinanipeleka mbali, kuna siku katika hari ya hisia Kali najiona nimetoka kwenye mwili wangu then nimesimama pembeni hafu nauona mwili wangu unaingizwa kwenye jeneza! ilikua mchana nikapatwa na woga na haraka nikaziondoa zile, ya pili wakati wa ujana siku hiyo ndo ilikua Mara ya kwanza na mwisho kuvuta bangi, baada ya kuvuta kwa Mara ya kwanza baada ya muda nikawa nahisi kiu ya maji, nimekaa kwenye kiti huku Jagi la maji lipo juu ya meza, hisia zangu zinataka nichukue Jagi la maji bila kunyanyuka then cha ajabu nikaona mkono wangu unarefuka na kurichukua Jagi la maji pale mezani, baadaye nikashituka nikaipotezea, Swali langu Je! Bangi ina mchango wowote katika Nguvu ambazo binadamu anazo ndani yake?

Mkuu katika akili ya mwanadamu kuna vitu vinaitwa thought inhibitors. Kazi yake ni kublock specific thoughts

Ukitumia bangi zile thought inhibitors zinavunjwa na una experience "outer body" experiences ambazo kabla hazikuwepo.Una think clearly. Wanasayansi wengi wakati wa ugunduzi walikuwa wanatumia hii kitu bangi. Bangi ina unlock brain powers leading to psychic experiences
 
Back
Top Bottom