neo1
JF-Expert Member
- Sep 1, 2013
- 576
- 840
mkuu Pasco,
hili ni somo sawa na somo la utambuzi,nimejaribu kusoma na kuelewa,ila ni somo zuri saaana.ila shida ipo kwenye kila m2 anavyotaka kulielewa..kuna mipaka na namna alivyofungwa na mapokeo na imani mazingira na mfumo mzima wa maisha,
haina tofauti na m2 ukimwambia we ukimwona simba adrenal yako ikimwagikka unakimbia kuliko Husen Bolt,ni vi2 ambavyo uwa vinafundishwa mashuleni kwa namna tofauti na hata sayansi inafaham watu wanatofautiana maarifa na uwezo.sio kila kitu kinahitaji ubunifu ila kila kitu kinahitaji jitihada.
Zamani me nimekulia kwa walezi walikuwa hanipi hela ya shule,ila nlikuwa nasema moyoni mwangu nahitaji hela,kuanzia darasa la2 nlikuwa naokota hela sh 200,na ikuwa ni hela kubwa saana kwa maisha ya primary...nlikuwa najiuliza moyoni ni Mungu ananiwekea au ni nn???,
nlipofika darasa la 4 nliumwa saana maralia dawa zama izo zilikuwa asprin na chloroquen...nlikuwa nkinywa asprin mwili unasisimka na baki na ile hali siiku nzima..nliumwa kiasi cha kuwa nakula nkimaliza natapika...nkasema moyoni mwangu inatosha..nkapona kipindi kile toka kipindi icho sijawahi kugusa dawa mpaka leo...nasikia tu zinakuja na kuondoka na kingine sipendi net..nlikuwa na lala na kaka yangu yy anatumia net..me nalala pembeni ya net,ataumwa, me ntalala hapo hapo pembeni na atapona me pembeni na ataumwa tena me wala.
nlipoanza somo lako kuna siku ilitokea kabla sijachukuliwa na usingizi pale napooanza kusinzia in between na unconscious na conscious ya usingizi i felt like naelea kitandani nkishtuka naanguka pale pale kitandani,huwa najaribu kuirudia lakin nalala mpaka asubuhi
juzi hapa kulikuwa na babu yetu anaumwa alianzia nyumbani,baadae muhimbili,kwenye changamoto za maosha sikupata nafasi ya kwenda kumwona..ndugu wote wa nyumba yangu walienda ila nkawa mm..wakija wanasema hali yake ,mbaya saana,me nkawwambia hatakufa mpaka mm niende kumwona,toka nimesema ikapita week ndo nkaenda..nkakuta na ndugu wengine wasema leo ndo afadhali,alikuwa amelala alipoamka akaniona akasema baada ya siku 3 atakufa na kweli baada ya siku 3 alifariki...nlitamani nsingeenda ili siku zake ziendelee kuwepo
kuna vingine vingi vimetokea maishan mwangu ambavyo ni ushuhuda Juu ya Mungu na nguvu alizotuwekea ndani yetu
Kwa uhakika watu wana vipawa na mm huwa nahisi ndani yangu kuna nguvu kubwa zaid ya hii ambayo ipo nimeiona ila siji namna ya kukuikuza to its full potential.
msaada Pasco namna ya kuikuza
regards.
Neo