Karibu sana darasani, mkuu ... Sisi wenzio tumeanza zamani, tupo secondary muda huu. Nimepata tetesi kuwa kuna wengine wameshaanza hata kupaa .!! So Be patient, mwalimu wetu huwa anashusha material moja kila baada ya miezi miwili, nadhani ni ili kutupa muda wanafunzi wake ku-practice na kuelewa zaidi ...!! You are warmly welcome ...:gossip:
Nakubaliana kabisa na wewe Mkuu Pasco, kipindi fulani katika maisha yangu nilitamani sana kujifunza uchawi mwenye tija, nikajikuta nimeangukia kwenye temple moja south Africa iliyokuwa inafundisha Buddhism Yoga meditation na supernatural powers
Yalikuwa ni masomo magumu ya ajabu na yenye kushangaza kwa jinsi yake, kwa ufupi ni kwamba hakuna chenye nguvu duniani kama bongo(mind) ya binadamu, na tunachokitumia katika mind zetu ni theluthi tu ya kile chote kilichopo
Tunafundishwa kuwa kuna 5senses, lakini Zipo 8 ambapo mtu ukiweza kuzifanyia kazi utafanya maajabu mengi , mind ya mwanadamu imejazwa takataka nyingi mno, illusions na dillusions ukiweza kuziondoa kwenye bongo yako ukabaki na pure and stable mind unakuwa mtu mwingine kabisa mwenye maono na nguvu za ajabu mno
Medition ni kitu cha Mwanzo kabisa kuendea kwenye kudevelop supernatural powers, nilifanya meditation zote, chanting, yoga nikiwa vegitarian kwa miaka mitano nikajikuta nabadilika nikaogopa nikaacha , kwakuwa niliona wazimu kuna mafundisho yanapingana waziwazi na imani yangu
Nimeipenda mada yako sana. Nakaribisha maswali na ufafanuzi nimeisoma sana Buddhism, Taiosm, Satanism na Kshna consciousness
Mwenye kupenda hii mambo atafute kitabu kiitwacho Analects: Way and Its Power.[/QUOTE
upatikanaji wa hicho kitabu ndio ishu
Clear Quartz~
-Cleans, Balances, Opens and Activates all Chakras
-Cleans and amplifies the energy of all stones
-Cleans the atmosphere of negative energy
-Aligns the subtle bodies
-Amplifies the energy of intention
-Enhances and strengthens the Aura
-Can be programmed for anything
-Wonderful crystal to use in meditation and all energy work
-Attunes one to their higher-self
-Resonates strongly with the Soul Star Chakra (The 8Th Chakra)
-Assist the higher chakras to emanate white light
-Aids the connection with spirit
-Must be cleaned on a regular basis, as it will resonate negative energy it collects
-Stimulates the immune system and brings the whole body into balance
-Helps to unlock memory
-Revitalizes the physical, mental, emotional and spiritual planes
Source: crystallogy.wordpress.com ndugu Pasco
Mkuu Masaki, msingi mkuu wa imani nyingi ni mafundisho ya dini ambayo yako limited kwa kile tuu wanachotaka wanafunzi wake wakijue!. Dini kubwa huku kwetu ni Ukristo na Uislamu na zote mbili hazina mafundisho yoyote kuhusu Mwanzo wa Mungu!, inaelezwa tuu kuwa Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho!, Alfa na Omega!.Hapo kwenye namba 1, kwa hiyo kama shetani yuko nje ya dunia, inakuwaje anakuwa ndani yetu sisi wanadamu? Maana umesema Mungu na shetani wote wako ndani yetu kama powers. Na unaposema kwamba Mungu hakuumba vitu vyote, ina maana sayari zingine zote au the universe in general was not created by God?
Mkuu Masaki, msingi mkuu wa imani nyingi ni mafundisho ya dini ambayo yako limited kwa kile tuu wanachotaka wanafunzi wake wakijue!. Dini kubwa huku kwetu ni Ukristo na Uislamu na zote mbili hazina mafundisho yoyote kuhusu Mwanzo wa Mungu!, inaelezwa tuu kuwa Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho!, Alfa na Omega!.
Sambamba na kutosema Mungu alianzanzaje, pia mafundisho ya dini hizi mbili kuu, hazisemi, mahali haswa Mungu alipo, zaidi ya kutaja, mbinguni, peponi, mawinguni, ahera etc, hivyo Mungu ni Omnipresent, yupo kote!.
Kama ambavyo dini hizi haziendi too deep kuhusu orgin ya Mungu, pia hazisemi orgin ya shetani zaidi ya kusema jina lake ni lusiferi, na ndiye alikuwa malaika mkuu.
Wengi wa waumini watiifu wa dini, wao wanaamini kile tuu kilichoandikwa katika vitabu vitakatifu vya dini zao, hawaamini kitu kingine chochote ambacho hakijaandikwa!, hawa ni waumini wa imani ya vitabu not logic!. Ukifanya deep meditation hata kwa kutumia vitabu hivyo hivyo vya dini, ukisoma unaweza kufunuliwa ukweli wa ziada ambao sio wengi wanaoujua!. Huu ukweli wa ziada kuhusu Mungu na shetani, ni ukweli mgumu na mchungu kumeza kwa hawa wenzangu na mimi wenye imani za vitabu!.
Dunia ni earth, hapa tulivyo na vyote vilivyotuzunguka, Mungu na shetani, wako over and above hapa duniani tulipo, na ndio maana kuna extra terestrials, viumbe wa sayari nyingine.
Mungu aliumba dunia na kila kilichopo, ila vile ambavyo viko over and above the universe hii tuliopo,sio lazima viwe viliumbwa na Mungu, na moja ya viumbe hivyo ambayo havikuumbwa na Mungu ni pamoja na shetani, ibilisi, majini, mapepo etc!.
Mungu ni omniscience, omnipotent na omnipresence so does shetani!. Mungu ana nguvu, na shetani ana nguvu, ila Mungu ana nguvu zaidi ya shetani!. Mwanzo wa Mungu ndio mwanzo huo huo wa shetani!, source ya powers za Mungu ndio hiyo hiyo source ya powers za shetani!, ila Mungu ndio mwenye powers zaidi na shetani ndie the 2nd in command kwenye ulimwengu wa powers!. Mungu ndie Bwana wa Majeshi ya Malaika wa Mbinguni, na shetani ndiye bwana wa majeshi ya nguvu za giza!.
Shetani baada ya kumuasi Mungu, alitimuliwa tuu kutokuwa malaika mkuu, alivuliwa madaraka tuu, hakuvuliwa powers!.
Ukiondoa uwezo wa uumbaji ambao ni Mungu tuu mwenyewe mwenye uwezo huo, na uwezo wa ku end life ni Mungu tuu ndie mwenye uwezo huo, vituvingine vyote ambavyo Mungu anavifanya, shetani pia ana uwezo wa kuvifanya!.
Kuna wahubiri wengi, wana uwezo wa kufanya miujiza mikubwa ya ajabu, ukiwepo kufanya uponyaji, huku wakilitumia jina la Mungu, lakini kiukweli ni watumishi wa shetani na wanamtumikia shetani kwa kujijua au bila kujijua!.
Mungu alipotuumba, na kutupulizia ile pumzi ya uzima, ndani ya pumzi hiyo, umeweka nguvu zake za Uungu, hivyo Mungu yuko ndani ya kila binadamu aliye hai regardless unamwamini, au haumwamini, na shetani nae ni omnipresent, anaweza kuingia kwa yotote na kumpa majaribu, regardless anamwamini Mungu, ana mtumikia Mungu na yuko na Mungu ndani ya yake ndio maana alidiriki hata kumjaribu "Mungu Mwana!", akamchukua na kupaa nae hadi juu ya mlima mrefu kwenda kumpa majaribu!.
Ndani ya miili yetu, tumepewa uwezo wa Ki Mungu kufanya kila kitu, ila pia, shetani nae ana uwezo wa kuingia ndani ya miili yetu na kutuwezesha kufanya aina ya uovu kwa kutumia nguvu za giza. Mema yote hufanyika kwa nguvu za Mungu na maovu yote hufanyika kwa nguvu za shetani na wanaofanya yote haya ni binadamu kupitia nguvu iliyopo ndani yao, iwe ni ya Mungu ambayo imewekwa automatically siku ya uumbwaji na nguvu za shetani ambazo ni induced!.
NB. Members wa darasa hili, tusameheaneni tuu wajemeni, siku za hivi karibuni nimejikuta bize hadi kukosa muda kuliendeleza darasa!.
Pasco
Mkuu chaUkucha, hili swali lako liliwahi kuleta ubishani mkubwa sana huko nyuma kwenye topic haswa haswa kutoka kwa wale niliowaambia ni waumini vitabu, waumini maandiko.Mkuu Pasco heshima kwako kwa kurudi tena nimefatilia uzi huu tangu mwanzo swali langu ni hili shetani ana nguvu lakini mungu ana nguvu zaidi kwanini mungu asimuangamize shetani? maana maovu yote ni shetani na ana mbinu nyingi unaweza kuwa unamtumikia bila kujua ina maana mungu anafurahia maovu wakati anajua chanzo ni shetani na hili analijua hata kabla ya uumbaji.
Pasco kiukweli ntakubaliana na ww ktk baadhi ya mambo ila hilo la kusema mwanzo wa Mungu ndo mwanzo wa shetani itakuwa ngumu kuamini, una uthibitisho gani na hilo jambo??Mkuu Masaki, msingi mkuu wa imani nyingi ni mafundisho ya dini ambayo yako limited kwa kile tuu wanachotaka wanafunzi wake wakijue!. Dini kubwa huku kwetu ni Ukristo na Uislamu na zote mbili hazina mafundisho yoyote kuhusu Mwanzo wa Mungu!, inaelezwa tuu kuwa Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho!, Alfa na Omega!.
Sambamba na kutosema Mungu alianzanzaje, pia mafundisho ya dini hizi mbili kuu, hazisemi, mahali haswa Mungu alipo, zaidi ya kutaja, mbinguni, peponi, mawinguni, ahera etc, hivyo Mungu ni Omnipresent, yupo kote!.
Kama ambavyo dini hizi haziendi too deep kuhusu orgin ya Mungu, pia hazisemi orgin ya shetani zaidi ya kusema jina lake ni lusiferi, na ndiye alikuwa malaika mkuu.
Wengi wa waumini watiifu wa dini, wao wanaamini kile tuu kilichoandikwa katika vitabu vitakatifu vya dini zao, hawaamini kitu kingine chochote ambacho hakijaandikwa!, hawa ni waumini wa imani ya vitabu not logic!. Ukifanya deep meditation hata kwa kutumia vitabu hivyo hivyo vya dini, ukisoma unaweza kufunuliwa ukweli wa ziada ambao sio wengi wanaoujua!. Huu ukweli wa ziada kuhusu Mungu na shetani, ni ukweli mgumu na mchungu kumeza kwa hawa wenzangu na mimi wenye imani za vitabu!.
Dunia ni earth, hapa tulivyo na vyote vilivyotuzunguka, Mungu na shetani, wako over and above hapa duniani tulipo, na ndio maana kuna extra terestrials, viumbe wa sayari nyingine.
Mungu aliumba dunia na kila kilichopo, ila vile ambavyo viko over and above the universe hii tuliopo,sio lazima viwe viliumbwa na Mungu, na moja ya viumbe hivyo ambayo havikuumbwa na Mungu ni pamoja na shetani, ibilisi, majini, mapepo etc!.
Mungu ni omniscience, omnipotent na omnipresence so does shetani!. Mungu ana nguvu, na shetani ana nguvu, ila Mungu ana nguvu zaidi ya shetani!. Mwanzo wa Mungu ndio mwanzo huo huo wa shetani!, source ya powers za Mungu ndio hiyo hiyo source ya powers za shetani!, ila Mungu ndio mwenye powers zaidi na shetani ndie the 2nd in command kwenye ulimwengu wa powers!. Mungu ndie Bwana wa Majeshi ya Malaika wa Mbinguni, na shetani ndiye bwana wa majeshi ya nguvu za giza!.
Shetani baada ya kumuasi Mungu, alitimuliwa tuu kutokuwa malaika mkuu, alivuliwa madaraka tuu, hakuvuliwa powers!.
Ukiondoa uwezo wa uumbaji ambao ni Mungu tuu mwenyewe mwenye uwezo huo, na uwezo wa ku end life ni Mungu tuu ndie mwenye uwezo huo, vituvingine vyote ambavyo Mungu anavifanya, shetani pia ana uwezo wa kuvifanya!.
Kuna wahubiri wengi, wana uwezo wa kufanya miujiza mikubwa ya ajabu, ukiwepo kufanya uponyaji, huku wakilitumia jina la Mungu, lakini kiukweli ni watumishi wa shetani na wanamtumikia shetani kwa kujijua au bila kujijua!.
Mungu alipotuumba, na kutupulizia ile pumzi ya uzima, ndani ya pumzi hiyo, umeweka nguvu zake za Uungu, hivyo Mungu yuko ndani ya kila binadamu aliye hai regardless unamwamini, au haumwamini, na shetani nae ni omnipresent, anaweza kuingia kwa yotote na kumpa majaribu, regardless anamwamini Mungu, ana mtumikia Mungu na yuko na Mungu ndani ya yake ndio maana alidiriki hata kumjaribu "Mungu Mwana!", akamchukua na kupaa nae hadi juu ya mlima mrefu kwenda kumpa majaribu!.
Ndani ya miili yetu, tumepewa uwezo wa Ki Mungu kufanya kila kitu, ila pia, shetani nae ana uwezo wa kuingia ndani ya miili yetu na kutuwezesha kufanya aina ya uovu kwa kutumia nguvu za giza. Mema yote hufanyika kwa nguvu za Mungu na maovu yote hufanyika kwa nguvu za shetani na wanaofanya yote haya ni binadamu kupitia nguvu iliyopo ndani yao, iwe ni ya Mungu ambayo imewekwa automatically siku ya uumbwaji na nguvu za shetani ambazo ni induced!.
NB. Members wa darasa hili, tusameheaneni tuu wajemeni, siku za hivi karibuni nimejikuta bize hadi kukosa muda kuliendeleza darasa!.
Pasco
Mkuu Mwamba, nakubaliana na wewe kuwa kuna mambo mengine ni ngumu kuamini, na wengi ili waweze kuliamini jambo, wanataka uthibitisho japo hukusema ni uthibitisho gani, ila kama nilivyosema mwanzo, wenye limitatitions watataka uthibitisho ule ule wa kwenye limits zao, maandiko!. Nakuomba na kukusihi sana, endelea kuamini hicho unachokiamini, kwa sababu kinauthibitisho!, na uasiamini kitu chochote ambacho hakina uthibitisho!.Pasco kiukweli ntakubaliana na ww ktk baadhi ya mambo ila hilo la kusema mwanzo wa Mungu ndo mwanzo wa shetani itakuwa ngumu kuamini, una uthibitisho gani na hilo jambo??
then suala la kumuangamiza shetani ni maamuzi tu ila akiamua hashindwi nadhani amemuacha kwa kusudi maalumu
Mkuu Mwamba, nakubaliana na wewe kuwa kuna mambo mengine ni ngumu kuamini, na wengi ili waweze kuliamini jambo, wanataka uthibitisho japo hukusema ni uthibitisho gani, ila kama nilivyosema mwanzo, wenye limitatitions watataka uthibitisho ule ule wa kwenye limits zao, maandiko!. Nakuomba na kukusihi sana, endelea kuamini hicho unachokiamini, kwa sababu kinauthibitisho!, na uasiamini kitu chochote ambacho hakina uthibitisho!.
Kama wewe ni muumini wa Maandiko Matakatifu ya Biblia, na imani yako imegotea kwenye Biblia Takatifu, then Biblia haiusemi mwanzo wa Mungu, zaidi ya kusema ni Alfa na Omega!, in reality, God is not being, God is Power!, Omniscient, Omnipotent, Omnipresent. Kwa kutojua mwanzo wa Mungu, hivyo huwezi kujua the source of hizo powers!. Chini ya Mungu, the second in command wa lusifer, haikuelezwa popote kuwa Mungu alimuumba shetani!, and by the way, shetani mwanzo alikuwa malaika mkuu kabla hajaasi na kugeuka shetani!. Kama alivyo Mungu ni powers of Light, nguvu za Mwanga, shetani naye ni powers of darkness, nguvu za giza!, the source of powers is the same, alipoasi hakunyang'anywa hizo powers!, bado anazo, the only diference kati ya powers za mwanga na powers za darkness is only the use!.
Sisi binadamu tumeumbwa kwa Mfano wa Mungu na ametupulizia hizo powers!, ukizitumia kutenda mema, unatumia nguvu za Mungu, na ukizitumia kutenda maovu, unatumia nguvu za giza!. The dividing line between powers of light and powers of darkness is very thin!, na kwa taarifa hilo jina nguvu za giza, haina maana ndio nyeusi, unaweza kuta hizo nguvu za shetani ni nyeupe kama theluji!, na nguvu za Mema zikawa nyeusi kama masizi!.
Pasco
Mkuu Mwamba, kuujua mwanzo wa shetani, nimetumia elimination formular ya kuangalia mema yote Mungu aliyoyafanya na maovu yote shetani anayoyapanga kumtinulia Mungu, swali kuu la kujiuliza ni dogo tuu, kwa nini Mungu hajamdestroy shetani?!.kaka mm ni mkristu ila siko ktk limitation ya upande wowote, nahitaji uthibitisho wa aina yoyote ile kuonesha kuwa mwanzo wa Mungu ndo mwanzo wa shetani ila kusema kuwa ni kwasababu haijaandikwa mahali kuwa Mungu alimuumba shetan haitosh kusema kuwa mwanzo wao ni mmoja
ahaa,, basi km ni your own conclusion its okay ila sio general conclusion,,mi navyojua sio kwamba Mungu hawez kumdestroy shetani ila amemuacha kwa kusudi maalumu mana kila anachotaka kufanya sheteni Mungu anakijua kablaMkuu Mwamba, kuujua mwanzo wa shetani, nimetumia elimination formular ya kuangalia mema yote Mungu aliyoyafanya na maovu yote shetani anayoyapanga kumtinulia Mungu, swali kuu la kujiuliza ni dogo tuu, kwa nini Mungu hajamdestroy shetani?!.
Kwa jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hadi kumtoa mwanaye mpenzi anayependezwa naye, ili kuja kuukomboa ulimwengu, and yet huyu huyu shetani akaingilia kati, kwanza kwa kumjaribu! just imagine shetani ana guts gani kumjaribu Mungu?!, kisha akahakikisha Mungu mwana anasalitiwa, anateswa, anasulubiwa hadi kufa kifo cha aibu na udhalilishaji wa hali ya juu, kufa msalabani!, what the hell is the devil?!. Yesu kabla ya kukata roho pale msalabani, alitamka maneno, Eloi Eloi, kama ni amri yangu, ningeomba kikombe hiki kiniepuke?!, yaani Mungu anawish balaa limuepuke kwa ajili ya nini?.
Ndipo nika reach my own conclusion, God has powers na the devil has powers too!, the source of powers is the same, jape nguvu za Mungu ni zaidi za shetani!.
Pasco
Mkuu Mwamba, kuujua mwanzo wa shetani, nimetumia elimination formular ya kuangalia mema yote Mungu aliyoyafanya na maovu yote shetani anayoyapanga kumtinulia Mungu, swali kuu la kujiuliza ni dogo tuu, kwa nini Mungu hajamdestroy shetani?!.