Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Huwezi kutumia (Psychic Powers): Ni Nguvu za Kufanya Miujiza Pasipo na wewe kuwa na Pepo anaye kupa Nguvu mwilini mwako. bila ya hivyo hutoweza kufika popote pale Ukimuona Binadamu anafanya Miujiza ujuwe anashirikiana na Mapepo mwilini mwake ndio yanayo mpa Nguvu za Giza ili uweze kufanya Miujiza pasipo na hivyo hutoweza kufanya miujiza yoyote ile.
 
Mkuu Mzizi Mkavu, nguvu "powers from within" kila mtu anazo!, ziliwekwa na Mungu Muumba, (God the Creator) they are on you!, popote ulipo nguvu hizi ziko ndani yako, na huhitaji kufanya jambo lolote au kutumia kitu chochote ili kuziamsha zitumike bali ni kuwa na imani tuu!. Nguvu hizi ndizo huitwa Nguvu za Mungu, Nguvu za Yesu, Nguvu za Roho Mtakatifu, Nguvu za Mwanga, Nguvu za Kweli, Nguvu za Uzima, Nguvu za Uponyaji, Nguvu za Heri etc etc.

Sambamba na nguvu hizi za Mungu zilizomo ndani yetu, mwovu shetani naye yupo na ana nguvu zake. Nguvu za shetani ziko inje yetu, hizi ndizo nguvu za giza, nguvu za majini, nguvu za mapepo, nguvu za uchawi, ulozi, unajimu, kupandisha maruhani, kupandisha mapepo, wanga, ushirikina na kila aina ya uovu. Kwa vile nguvu hizi ziko nje yetu, ili kuweza kuzitumia ni lazima uziite, kuita majini, mashetani, mapepo kwa kutumia kitu chochote , iwe ni mipete, mishumaa, au conditions zozote, au masharti yoyote.

Tofauti pekee kati ya nguvu za Mungu na nguvu shetani, nguvu za Mungu ni unconditional, hukitaji kufanya chochote kuzitumia nguvu hizi, lakini kwa upande wa nguvu za shetani, ni pale unapopewa conditionalities za aina yoyote!, sijui fanya hivi!, fanya vile!, tumia kitu hiki ana kile!, geukia upande huu ama ule!, etc, etc.

Uwezo wa "psychic" ni njia tuu ya kuzifungulia hizo powers na kuzielekeza unataka zifanye nini!. Sehemu kuu ya kwanza ambayo ndipo tatizo kubwa lilipolalia, ni njia tuu ya kuzifungulia hizo powers na determinant kama ni nguvu za Mwanga au za giza, inapimwa kwa matumizi ya nguvu hizo.

Ukizifungulia unconditional, zinazofungunguka ni nguvu za Mungu zilizo ndani yako!. Ukizifungulia kwa conditional yoyote, kupitia hiyo conditional, unakuwa umekaribisha nguvu za giza kutenda unayoyataka, kwa kujijua au bila kujijua!.

Nyingi ya yale mafundisho yako Mkuu Mzizi Mkavu, ni matumizi ya nguvu hizi with conditionalities.
Pasco.
 
kaka yangu Pasco hivi unajua kuwa
kila mwanadamu ana uungu ndani yake?

Unajua kuwa kila mwanadamu ana uwezo
wa kuumba kitu na kikatokea? watambua
kuwa uwezo huo tunao na tumepewa na
Mungu?

Si jambo la kushangaza kuona mtu akifanya
kitu au akiwa na muujiza wa kufanya kitu
kwani kila mtu ana uwezo wa uungu ndani yake

samahani dada yangu, kuumba maana yake nini?
 
Last edited by a moderator:
Huwezi kutumia (Psychic Powers): Ni Nguvu za Kufanya Miujiza Pasipo na wewe kuwa na Pepo anaye kupa Nguvu mwilini mwako. bila ya hivyo hutoweza kufika popote pale Ukimuona Binadamu anafanya Miujiza ujuwe anashirikiana na Mapepo mwilini mwake ndio yanayo mpa Nguvu za Giza ili uweze kufanya Miujiza pasipo na hivyo hutoweza kufanya miujiza yoyote ile.
exactly
 
Mi Ninauwezo Wa Kuona Aura Ya Kitu Chochote Hasa Wakati Wa Usiku Ndo Naona Vizuri Lakini Aura Ninayoiona Ni Mvuke Hasa Kwenye Miili Ya Watu.. Ila hauna Rangi Mnazosema Una Rangi Ya Kiumbe Mwenyewe.. Nyingine Ni Levitation.. Nauwezo Wa Kupaa Ndotoni, Ila Sio Mara Kwa Mara Zamani Ndo Nilikuwa Napaa Nikilala Mara Kwa Mara.. Kingine Nnauwezo Wa Kupingana Na Power Za Watu Wengine, ukifanya Mazingaombwe Mbele Yangu Hufanikiwi Wala Power Wala Ukinitibu.. Ila kubwa Nilionayo Nikiwa Cna Mawazo Live Au Usingizini Naweza Kuona Mambo Yajayo Au Kutengeneza Taswira ikatokea Siku 5 au wiki 2 Zijazo... Wacha Nianze Kufungua Third Eye.. Ntaprove Kama Ni Ushirikina,Ubongo au Mashetani.. Ila Sita Waambia Hapa Nitakubaliana Na Nafsi Yangu Mwenyewe... Ukitaka Kujua Utamu Au Uchungu Wa Ngoma Ingia Ucheze Cio Kuamini Porojo Na Kubishabisha...
Kwa hilo la kupaa ndotoni inaonyesha wewe unaye Pepo mwilini mwako ndio anaye kusaidia kwa hayo yote kwa hapo nimekukamata kuwa unaye pepo mwilini mwako.
 
Mi Ninauwezo Wa Kuona Aura Ya Kitu Chochote Hasa Wakati Wa Usiku Ndo Naona Vizuri Lakini Aura Ninayoiona Ni Mvuke Hasa Kwenye Miili Ya Watu.. Ila hauna Rangi Mnazosema Una Rangi Ya Kiumbe Mwenyewe.. Nyingine Ni Levitation.. Nauwezo Wa Kupaa Ndotoni, Ila Sio Mara Kwa Mara Zamani Ndo Nilikuwa Napaa Nikilala Mara Kwa Mara.. Kingine Nnauwezo Wa Kupingana Na Power Za Watu Wengine, ukifanya Mazingaombwe Mbele Yangu Hufanikiwi Wala Power Wala Ukinitibu.. Ila kubwa Nilionayo Nikiwa Cna Mawazo Live Au Usingizini Naweza Kuona Mambo Yajayo Au Kutengeneza Taswira ikatokea Siku 5 au wiki 2 Zijazo... Wacha Nianze Kufungua Third Eye.. Ntaprove Kama Ni Ushirikina,Ubongo au Mashetani.. Ila Sita Waambia Hapa Nitakubaliana Na Nafsi Yangu Mwenyewe... Ukitaka Kujua Utamu Au Uchungu Wa Ngoma Ingia Ucheze Cio Kuamini Porojo Na Kubishabisha...

mkuu una uawezo wa kutabiri matokeo ya mpira au mchezo?
cc Pasco
 
Last edited by a moderator:
Asante lakini hizi nguvu ni hatari inatakiwa ufundishwe sio kujaribu kutumia wewe mwenyewe.Ni nguvu za giza .
Mkuu Mzizi Mkavu, nguvu zipo za aina mbili, "powers of light", nguvu za mwanga (Mungu), na "powers of darkness", nguvu za giza, (shetani). Nguvu za Mungu kila mtu alipewa ile siku alipoumbwa!, hazihitaji kufundishwa kwa sababu ziko ndani yetu!, (the powers from within) na hazina hatari yoyote bali ni neema tuu na hutenda yaliyo mema!. Nguvu za shetani ambazo huingizwa ndani yetu, ndizo zenye kuhitaji mafunzo kama hayo unayotuletea wewe!, na hizi ndizo nguvu za hatari kwa sababu ndizo chanzo cha uovu wote!, nashukuru kwa mwisho umekiri ni nguvu za giza, ila bado najiuliza, kwa nini hata baada ya kutambua ni nguvu za giza, lakini bado unaliendesha darasa la nguvu za giza?!.

Pasco
 
Mi Ninauwezo Wa Kuona Aura Ya Kitu Chochote Hasa Wakati Wa Usiku Ndo Naona Vizuri Lakini Aura Ninayoiona Ni Mvuke Hasa Kwenye Miili Ya Watu.. Ila hauna Rangi Mnazosema Una Rangi Ya Kiumbe Mwenyewe.. Nyingine Ni Levitation.. Nauwezo Wa Kupaa Ndotoni, Ila Sio Mara Kwa Mara Zamani Ndo Nilikuwa Napaa Nikilala Mara Kwa Mara.. Kingine Nnauwezo Wa Kupingana Na Power Za Watu Wengine, ukifanya Mazingaombwe Mbele Yangu Hufanikiwi Wala Power Wala Ukinitibu.. Ila kubwa Nilionayo Nikiwa Cna Mawazo Live Au Usingizini Naweza Kuona Mambo Yajayo Au Kutengeneza Taswira ikatokea Siku 5 au wiki 2 Zijazo... Wacha Nianze Kufungua Third Eye.. Ntaprove Kama Ni Ushirikina,Ubongo au Mashetani.. Ila Sita Waambia Hapa Nitakubaliana Na Nafsi Yangu Mwenyewe... Ukitaka Kujua Utamu Au Uchungu Wa Ngoma Ingia Ucheze Cio Kuamini Porojo Na Kubishabisha...
Mkuu Rakims, kwanza hongera kwa kuwa na nguvu, "powers", kitu cha muhimu zaidi sio kuwa na nguvu, "possession of such powers!", bali kwanza jee nguvu hizo ulizonazo ni za nani?!, na pili unazitumia kufanyia nini?!.

Angalizo, ukijiona unakuwa na nguvu hizo wakati wa usiku tuu, yaani wakati wa giza, giza tuu, then kaa ukijua, huyo giza ndio mwenye nguvu zake, na siku zote nguvu za giza hutumika gizani!, na nguvu za Mwanga hutumika mwangani!.

Kitendo cha kufikiria tuu kufungua third eye kwa mafundisho ya Mzizi Mkavu ni proove kuwa hizo ni nguvu za giza!.

me nilijua Wenzio Unaowajibu humu ndio wagumu kuelewa kumbe hadi ww kichwa ngumu...
Hujasoma hapa?? Nauwezo wa Kuona Aura Ya Vitu Hasa Miili Ya Watu Aura Ninayoiona Ni Mfano Wa Mvuke Ambapo Usiku Huona Vema(hii namaanisha usiku hakuna pilika nami huona vema ni kwa sababu pamepoa.... Na Kufungua Third Eye Hajafundisha MziziMkavu Usimsingizie Hii Nimesema Mie... One Of Ways On How To Meditate & Open Physical Power Is To Open The Third Eye... Third eye Sio Ushirikina Third Eye Ni Jicho La Tatu Ambalo Wewe Ukifanya Meditation Kufungua Physical Power kile unachokiona ndani yako ndio tunaita Third Eye Chakra.... Upo Hapo? em Fundisha Jinsi Zako Unavyofungua Watu Wapate Faida Darasa Lenyewe Unaliishia Katikati......
 
I Don't Use These Power I Haven't Even Try To Do Anything, About Dis... Only Naenjoy Kama Precognition... Huwa Sibadili Kitu Katika Future Nilioiona Mambo Hutokea Kama Nilivyoota Na Baada Au Katikati Ya Tukio Ndio Nakumbuka Kuwa Hili Jambo Nilishaliona Au Nilishafikiria... Bado Hujaelewa??
 
Mkuu Mzizi Mkavu, nguvu zipo za aina mbili, "powers of light", nguvu za mwanga (Mungu), na "powers of darkness", nguvu za giza, (shetani). Nguvu za Mungu kila mtu alipewa ile siku alipoumbwa!, hazihitaji kufundishwa kwa sababu ziko ndani yetu!, (the powers from within) na hazina hatari yoyote bali ni neema tuu na hutenda yaliyo mema!. Nguvu za shetani ambazo huingizwa ndani yetu, ndizo zenye kuhitaji mafunzo kama hayo unayotuletea wewe!, na hizi ndizo nguvu za hatari kwa sababu ndizo chanzo cha uovu wote!, nashukuru kwa mwisho umekiri ni nguvu za giza, ila bado najiuliza, kwa nini hata baada ya kutambua ni nguvu za giza, lakini bado unaliendesha darasa la nguvu za giza?!.

Pasco
Ndugu Pasco Umesema Nguvu zipo za aina mbili ninakunukuu (1) "powers of light", nguvu za mwanga (Mungu), na (2) "powers of darkness", nguvu za giza, (shetani). Sasa wewe una Nguvu zipi? tufundishe nguvu zako sasa?
 
Mkuu Rakims, kwanza hongera kwa kuwa na nguvu, "powers", kitu cha muhimu zaidi sio kuwa na nguvu, "possession of such powers!", bali kwanza jee nguvu hizo ulizonazo ni za nani?!, na pili unazitumia kufanyia nini?!.

Angalizo, ukijiona unakuwa na nguvu hizo wakati wa usiku tuu, yaani wakati wa giza, giza tuu, then kaa ukijua, huyo giza ndio mwenye nguvu zake, na siku zote nguvu za giza hutumika gizani!, na nguvu za Mwanga hutumika mwangani!.

Kitendo cha kufikiria tuu kufungua third eye kwa mafundisho ya Mzizi Mkavu ni proove kuwa hizo ni nguvu za giza!.

Pasco
Aliyeweza kufanya Miujiza na ikatokea ni mtu mmoja tu Duniani naye ni Bwana YESU Kristo. Waliobakia ukisikia wanafanya miujiza basi ujuwe wanatumia Nguvu ya Giza (Pepo) huwezi kufanya Miujiza pasipo na kuto- kutumia Nguvu ya Giza nguvu ya Pepo hilo ninakukatilia Mkuu Pasco
 
kumbe Hata Wewe Unaelimu Ya Kuunga Unga... Umesahau Kisa Cha Nabii Daud? Ye Hakufanya Miujiza? Hakuwa Akiomba Mpaka Milima Inaelemewa Na Kunyenyekea Kila Kilichopo Pembeni Yake? , je alitumia pepo?

Na vipi kuhusu mwanae Suleiman Bin Daud? King Solomon?? Kuwasikia Wanyama Wakiwasiliana Na Wadudu?? Vipi Umemsahau Nabii Mussa A.s.w Na Fimbo Yake?? Umemsahau Baba Wa Mababa Kaka Wa Makaka, Ya Rasullah Llah?? Muhammad S.A.W?? Alipovuta Mwezi Kwa Neema Aliopewa Na Mwenyezi Ukaja Kupasukia Kichwani Kwake?? Na Kusema "Hadha Ya Rasullah llah" huyu ndiye Mjumbe Wa Mwenyezi Mungu..... Tuachie Wajumbe Wa Mwenyezi Mungu..

Vipi Umemsahau Mfanya Biashara Tajir aliekuwa akisafir maka kwenda madina na akakutana na majambazi akawaomba dakika chache wamuache na akafanya miujiza kwa uwezo aliopewa na Mwenyezi Mungu.. Akamuita Malaika Wa Kijani??? Umesahau yote hayo?? Je, kitabu ulichosoma? Hakuna sehemu pameandikwa Mwenyezi Anampa Na Kumnyima Amtakae???

Rudi Darasani Mkuu MziziMkavu huwa Nakubali Point Zako Lakin hii umedunda... Ukweli ni Kwamba IMANI ndio kila kitu, hata wale mnaowaita makafir nao wanawaiteni nyie makafir kwa jinsi yao... Nanukuu.. "Si Kazi Yenu Kuwaongoa, Kazi Yenu Ni Kuwafikishia Ujumbe" sio kila asemalo kafir halina maana bali kafir anaweza kukunusuru siku hizi zaidi ya mwislamu mwenzio..

Nisameheni kuingiza udini lakini ukweli ni kwamba watu mnatakiwa Muelimike msikalili dini zote zinahitaji watu wenye elimu, mfano: yesu anasema usimuache elimu aende zake, na mtume s.a.w mara ya kwanza kutajiwa alitajiwa Soma...! Kwa Hiyo Hata Kama Utahisi Ni Ushetani Usome Kwanza Mbona Uzi Umejitosheleza Jamaa Kafanya Utafiti Kwanza... It Means Kasoma
 
kumbe Hata Wewe Unaelimu Ya Kuunga Unga... Umesahau Kisa Cha Nabii Daud? Ye Hakufanya Miujiza? Hakuwa Akiomba Mpaka Milima Inaelemewa Na Kunyenyekea Kila Kilichopo Pembeni Yake? , je alitumia pepo? Na vipi kuhusu mwanae Suleiman Bin Daud? King Solomon?? Kuwasikia Wanyama Wakiwasiliana Na Wadudu?? Vipi Umemsahau Nabii Mussa A.s.w Na Fimbo Yake?? Umemsahau Baba Wa Mababa Kaka Wa Makaka, Ya Rasullah Llah?? Muhammad S.A.W?? Alipovuta Mwezi Kwa Neema Aliopewa Na Mwenyezi Ukaja Kupasukia Kichwani Kwake?? Na Kusema "Hadha Ya Rasullah llah" huyu ndiye Mjumbe Wa Mwenyezi Mungu..... Tuachie Wajumbe Wa Mwenyezi Mungu.. Vipi Umemsahau Mfanya Biashara Tajir aliekuwa akisafir maka kwenda madina na akakutana na majambazi akawaomba dakika chache wamuache na akafanya miujiza kwa uwezo aliopewa na Mwenyezi Mungu.. Akamuita Malaika Wa Kijani??? Umesahau yote hayo?? Je, kitabu ulichosoma? Hakuna sehemu pameandikwa Mwenyezi Anampa Na Kumnyima Amtakae??? Rudi Darasani Mkuu MziziMkavu huwa Nakubali Point Zako Lakin hii umedunda... Ukweli ni Kwamba IMANI ndio kila kitu, hata wale mnaowaita makafir nao wanawaiteni nyie makafir kwa jinsi yao... Nanukuu.. "Si Kazi Yenu Kuwaongoa, Kazi Yenu Ni Kuwafikishia Ujumbe" sio kila asemalo kafir halina maana bali kafir anaweza kukunusuru siku hizi zaidi ya mwislamu mwenzio.. Nisameheni kuingiza udini lakini ukweli ni kwamba watu mnatakiwa Muelimike msikalili dini zote zinahitaji watu wenye elimu, mfano: yesu anasema usimuache elimu aende zake, na mtume s.a.w mara ya kwanza kutajiwa alitajiwa Soma...! Kwa Hiyo Hata Kama Utahisi Ni Ushetani Usome Kwanza Mbona Uzi Umejitosheleza Jamaa Kafanya Utafiti Kwanza... It Means Kasoma
Kuhusu Nabii Daudi umesha sema Nabii Daudi Sio Sheikh wala Mchungaji anayeweza kufanya hiyo Miujiza kwa hivi sasa hakuna . Nabii Daudi alikuwa anamuomba

Mwenyeezi Mungu pamoja na milima ilikuwa inasujudu kusujudu milima sio miujiza kila kiumbe kinamsujudia Mwenyeezi Mungu Miti,Wanyama na viumbe wote wanamsujudia Mwenyeezi Mungu sio miujiza .Miujiza aliyofanya Bwana YESU ni kuponyesha watu

wagonjwa,Vilema,Vipofu,wenye ukoma,kuwafukuwa watu waliokufa kutoka makabaruni kurudi uhia tena. kuuumba ndege kisha akampulizia akaruka mbele ya macho ya watu kwa uwezo wake Mwenyeezi Mungu hiyo ndio Miujiza mikubwa aliyofanya Bwana YESU.

Hakuna miujiza mingine tena. Miujiza Mikubwa iliyopo hivi sasa ni Quraan ya waislam ndio ile ile aliyoacha Mtume Muhammad Rehema

za Mwenyeezi mungu ziwe juu yake na amani hiyo ndio Miujiza mikubwa hapa duniani hakuantena miujiza zaidi ya hiyo .Iliyobakia ni mambo ya uchawi tu kila mtu akifundishwa anaweza kufanya.
 
Back
Top Bottom