Lady niece
JF-Expert Member
- Feb 18, 2014
- 953
- 414
Mkuu Lady Niece, nahisi labda sijakuelewa, hivi wewe ndio unaniuliza mimi kama najua kuwa kila mwanadamu ana Uungu ndani yake?, yaani ni unaniuliza, au ndio unaniambia ili nami nijue kuywa kila binaadamu ana Uungu ndani yake?.
Pasco.
Asante, nimefahamu.nakuambia wewe iili ujue au ufahamu kuwa kila binadamu ana uungu ndani yake
Mkuu Masaki, msingi mkuu wa imani nyingi ni mafundisho ya dini ambayo yako limited kwa kile tuu wanachotaka wanafunzi wake wakijue!. Dini kubwa huku kwetu ni Ukristo na Uislamu na zote mbili hazina mafundisho yoyote kuhusu Mwanzo wa Mungu!, inaelezwa tuu kuwa Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho!, Alfa na Omega!.
Sambamba na kutosema Mungu alianzanzaje, pia mafundisho ya dini hizi mbili kuu, hazisemi, mahali haswa Mungu alipo, zaidi ya kutaja, mbinguni, peponi, mawinguni, ahera etc, hivyo Mungu ni Omnipresent, yupo kote!.
Kama ambavyo dini hizi haziendi too deep kuhusu orgin ya Mungu, pia hazisemi orgin ya shetani zaidi ya kusema jina lake ni lusiferi, na ndiye alikuwa malaika mkuu.
Wengi wa waumini watiifu wa dini, wao wanaamini kile tuu kilichoandikwa katika vitabu vitakatifu vya dini zao, hawaamini kitu kingine chochote ambacho hakijaandikwa!, hawa ni waumini wa imani ya vitabu not logic!. Ukifanya deep meditation hata kwa kutumia vitabu hivyo hivyo vya dini, ukisoma unaweza kufunuliwa ukweli wa ziada ambao sio wengi wanaoujua!. Huu ukweli wa ziada kuhusu Mungu na shetani, ni ukweli mgumu na mchungu kumeza kwa hawa wenzangu na mimi wenye imani za vitabu!.
Dunia ni earth, hapa tulivyo na vyote vilivyotuzunguka, Mungu na shetani, wako over and above hapa duniani tulipo, na ndio maana kuna extra terestrials, viumbe wa sayari nyingine.
Mungu aliumba dunia na kila kilichopo, ila vile ambavyo viko over and above the universe hii tuliopo,sio lazima viwe viliumbwa na Mungu, na moja ya viumbe hivyo ambayo havikuumbwa na Mungu ni pamoja na shetani, ibilisi, majini, mapepo etc!.
Mungu ni omniscience, omnipotent na omnipresence so does shetani!. Mungu ana nguvu, na shetani ana nguvu, ila Mungu ana nguvu zaidi ya shetani!. Mwanzo wa Mungu ndio mwanzo huo huo wa shetani!, source ya powers za Mungu ndio hiyo hiyo source ya powers za shetani!, ila Mungu ndio mwenye powers zaidi na shetani ndie the 2nd in command kwenye ulimwengu wa powers!. Mungu ndie Bwana wa Majeshi ya Malaika wa Mbinguni, na shetani ndiye bwana wa majeshi ya nguvu za giza!.
Shetani baada ya kumuasi Mungu, alitimuliwa tuu kutokuwa malaika mkuu, alivuliwa madaraka tuu, hakuvuliwa powers!.
Ukiondoa uwezo wa uumbaji ambao ni Mungu tuu mwenyewe mwenye uwezo huo, na uwezo wa ku end life ni Mungu tuu ndie mwenye uwezo huo, vituvingine vyote ambavyo Mungu anavifanya, shetani pia ana uwezo wa kuvifanya!.
Kuna wahubiri wengi, wana uwezo wa kufanya miujiza mikubwa ya ajabu, ukiwepo kufanya uponyaji, huku wakilitumia jina la Mungu, lakini kiukweli ni watumishi wa shetani na wanamtumikia shetani kwa kujijua au bila kujijua!.
Mungu alipotuumba, na kutupulizia ile pumzi ya uzima, ndani ya pumzi hiyo, umeweka nguvu zake za Uungu, hivyo Mungu yuko ndani ya kila binadamu aliye hai regardless unamwamini, au haumwamini, na shetani nae ni omnipresent, anaweza kuingia kwa yotote na kumpa majaribu, regardless anamwamini Mungu, ana mtumikia Mungu na yuko na Mungu ndani ya yake ndio maana alidiriki hata kumjaribu "Mungu Mwana!", akamchukua na kupaa nae hadi juu ya mlima mrefu kwenda kumpa majaribu!.
Ndani ya miili yetu, tumepewa uwezo wa Ki Mungu kufanya kila kitu, ila pia, shetani nae ana uwezo wa kuingia ndani ya miili yetu na kutuwezesha kufanya aina ya uovu kwa kutumia nguvu za giza. Mema yote hufanyika kwa nguvu za Mungu na maovu yote hufanyika kwa nguvu za shetani na wanaofanya yote haya ni binadamu kupitia nguvu iliyopo ndani yao, iwe ni ya Mungu ambayo imewekwa automatically siku ya uumbwaji na nguvu za shetani ambazo ni induced!.
NB. Members wa darasa hili, tusameheaneni tuu wajemeni, siku za hivi karibuni nimejikuta bize hadi kukosa muda kuliendeleza darasa!.
Pasco
Mkuu Pasco,
Vitabu vimeandikwa kabla ya Mungu kumuumba mwanadamu aliumba malaika kwanza, tofauti iliyopo malaika alimbwa kwa moto na binadamu aliumbwa udongo. sasa shetani akiwa kama malaika wakati huo akiitwa lucifaer pia nae aliumbwa na Mungu
Naomba ufafanuzi wako juu ya hili ikizingatia ufafanuzi wako uliotangulia
Huu si ndo uchawi sasa
Pasco,Mkuu John Kachembeho, hiyo 1994, ulikuwa na umri gani?!.
Hizo ndoto za kuota unapaa ni ndoto za kawaida tuu, ila pia unaweza kuwa unapaa kweli!.
Kipimo cha kuzipima kama ni za kawaida au unapaa kweli ni kimoja tuu.
Ukiona unapaa, kisha ukashtuka, akajiona kama una hema fulani, kumbuka uliona nini ulipopaa, eg, sherehe, msiba, tukio, etc, kesho yake ukipata habari hicho ulichoota ni kweli kimetokea, then ni kweli ulipaa!.
Ukiota unapaa, then ukiamka uko ok, nothing happened, then ni ndoto tuu!.
Pasco
Mkuu Mzizi Mkavu, katika ile mada yangu kuu kuhusu nimeeleza haya yote labda nirudie tuu kwa kifupi, ili wale watakaoamua kufuata mafundisho yako, wajue wanafuata nini!.Psychic Spells (KUFUNGUWA JICHO LAKO LA TATU)
Angalia kitu hicho Mkuu Pasco Ukitaka Ushauri wowote kuhusu hiz nguvu na mambo ya nyota wasiliana na mimi kwa njia ya Email Address yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
Asante lakini hizi nguvu ni hatari inatakiwa ufundishwe sio kujaribu kutumia wewe mwenyewe.Ni nguvu za giza .Mkuu Mzizi Mkavu, katika ile mada yangu kuu kuhusu nimeeleza haya yote labda nirudie tuu kwa kifupi, ili wale watakaoamua kufuata mafundisho yako, wajue wanafuata nini!.
Sisi binadamu wote tumeumbwa na Mungu, tumepewa uhai (life force) na Mungu. Huu uhai, una nguvu za Kimungu ndani yake, kuna "Gods Powers, Will Power, ("Psychic powes, Spiritual Powers, Powers from within, "I" Power, Nguvu za Roho Mtakatifu, etc), power hii ndicho kitu chenye nguvu kuliko kitu kingine chochote kwenye binadamu hai!. Namna ya kuzifungulia nguvu hizi ni ku will tuu, bila kutumia kitu chochote, mmea wowote wala sharti lolote!, the powers are just there to be used unconditional!.
Shetani naye yupo!, na yeye anazo powers karibu kama zile za Mungu, almost everything that God can do!, satan can do, isipokua tuu shetani hana ile pumzi ya uhai, yaani hawezi kumuumba mtu wala kumtoa uhai!.
Tofauti pekee kati ya nguvu za Mungu na nguvu za shetani ni "conditionality!", nguvu za Mungu ni totaly unconditional wakati nguvu za shetani ni conditional!. Ili kufanya mambo kwa nguvu za Mungu, unatakiwa kuamini tuu!, have faith!, hakuna condition yoyote!, ili kutumia nguvu za shetani, utapewa conditions!, au ufanye hivi, au ugeukie huku, au utumie kitu hiki na kile etc, na yako baadhi ya madhehebu ya dini, wanamtumikia shetani bila waumini wao kujijua!, shetani anapenda sana ku disguise kuwa yeye ndiye Mungu, ila kiukweli shetani sio Mungu bali ni mungu!.
Mafundisho yako Mkuu Mzizi Mkavu, ni mafundisho ya kutumia nguvu za mungu!, hivyo endeleza tuu darasa na utawapata wengi kama mkuu wao anavyowakamata!.
All the best!.
Pasco.
Mkuu Masaki, msingi mkuu wa imani nyingi ni mafundisho ya dini ambayo yako limited kwa kile tuu wanachotaka wanafunzi wake wakijue!. Dini kubwa huku kwetu ni Ukristo na Uislamu na zote mbili hazina mafundisho yoyote kuhusu Mwanzo wa Mungu!, inaelezwa tuu kuwa Mungu ndiye Mwanzo na Mwisho!, Alfa na Omega!.
Sambamba na kutosema Mungu alianzanzaje, pia mafundisho ya dini hizi mbili kuu, hazisemi, mahali haswa Mungu alipo, zaidi ya kutaja, mbinguni, peponi, mawinguni, ahera etc, hivyo Mungu ni Omnipresent, yupo kote!.
Kama ambavyo dini hizi haziendi too deep kuhusu orgin ya Mungu, pia hazisemi orgin ya shetani zaidi ya kusema jina lake ni lusiferi, na ndiye alikuwa malaika mkuu.
Wengi wa waumini watiifu wa dini, wao wanaamini kile tuu kilichoandikwa katika vitabu vitakatifu vya dini zao, hawaamini kitu kingine chochote ambacho hakijaandikwa!, hawa ni waumini wa imani ya vitabu not logic!. Ukifanya deep meditation hata kwa kutumia vitabu hivyo hivyo vya dini, ukisoma unaweza kufunuliwa ukweli wa ziada ambao sio wengi wanaoujua!. Huu ukweli wa ziada kuhusu Mungu na shetani, ni ukweli mgumu na mchungu kumeza kwa hawa wenzangu na mimi wenye imani za vitabu!.
Dunia ni earth, hapa tulivyo na vyote vilivyotuzunguka, Mungu na shetani, wako over and above hapa duniani tulipo, na ndio maana kuna extra terestrials, viumbe wa sayari nyingine.
Mungu aliumba dunia na kila kilichopo, ila vile ambavyo viko over and above the universe hii tuliopo,sio lazima viwe viliumbwa na Mungu, na moja ya viumbe hivyo ambayo havikuumbwa na Mungu ni pamoja na shetani, ibilisi, majini, mapepo etc!.
Mungu ni omniscience, omnipotent na omnipresence so does shetani!. Mungu ana nguvu, na shetani ana nguvu, ila Mungu ana nguvu zaidi ya shetani!. Mwanzo wa Mungu ndio mwanzo huo huo wa shetani!, source ya powers za Mungu ndio hiyo hiyo source ya powers za shetani!, ila Mungu ndio mwenye powers zaidi na shetani ndie the 2nd in command kwenye ulimwengu wa powers!. Mungu ndie Bwana wa Majeshi ya Malaika wa Mbinguni, na shetani ndiye bwana wa majeshi ya nguvu za giza!.
Shetani baada ya kumuasi Mungu, alitimuliwa tuu kutokuwa malaika mkuu, alivuliwa madaraka tuu, hakuvuliwa powers!.
Ukiondoa uwezo wa uumbaji ambao ni Mungu tuu mwenyewe mwenye uwezo huo, na uwezo wa ku end life ni Mungu tuu ndie mwenye uwezo huo, vituvingine vyote ambavyo Mungu anavifanya, shetani pia ana uwezo wa kuvifanya!.
Kuna wahubiri wengi, wana uwezo wa kufanya miujiza mikubwa ya ajabu, ukiwepo kufanya uponyaji, huku wakilitumia jina la Mungu, lakini kiukweli ni watumishi wa shetani na wanamtumikia shetani kwa kujijua au bila kujijua!.
Mungu alipotuumba, na kutupulizia ile pumzi ya uzima, ndani ya pumzi hiyo, umeweka nguvu zake za Uungu, hivyo Mungu yuko ndani ya kila binadamu aliye hai regardless unamwamini, au haumwamini, na shetani nae ni omnipresent, anaweza kuingia kwa yotote na kumpa majaribu, regardless anamwamini Mungu, ana mtumikia Mungu na yuko na Mungu ndani ya yake ndio maana alidiriki hata kumjaribu "Mungu Mwana!", akamchukua na kupaa nae hadi juu ya mlima mrefu kwenda kumpa majaribu!.
Ndani ya miili yetu, tumepewa uwezo wa Ki Mungu kufanya kila kitu, ila pia, shetani nae ana uwezo wa kuingia ndani ya miili yetu na kutuwezesha kufanya aina ya uovu kwa kutumia nguvu za giza. Mema yote hufanyika kwa nguvu za Mungu na maovu yote hufanyika kwa nguvu za shetani na wanaofanya yote haya ni binadamu kupitia nguvu iliyopo ndani yao, iwe ni ya Mungu ambayo imewekwa automatically siku ya uumbwaji na nguvu za shetani ambazo ni induced!.
NB. Members wa darasa hili, tusameheaneni tuu wajemeni, siku za hivi karibuni nimejikuta bize hadi kukosa muda kuliendeleza darasa!.
Pasco
Naomba kuchukua nafasi hii, kuwajulisha watu humu spells ni kuita wachawi!, kutumia nguvu za giza!.DUA YA KUSAFIRI:
Travel Spells
I already have a travel spell charm on another page of Wiccan spells,
Soon you'll find some new travel options open for you Pasco