Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Duuuh hili darasa safi sana,naomba kujua jins ya kugonga kidole ili nitoke.... Pia Napenda kuonana na wewe ana kwa ana MWENEKAYA NKULU,Je nifanyeje ili nikuone.....??

kugonga Kidole Ni Vile Kama Unamuita Mtu... Yaani Kutanisha Dole Gumba Na kidole Cha Kati Mkono Wa Kulia, cha pete na kidogo vifumbe kama unakuja gumi cha shahada kiwe nyuma Ya cha kati sukuma kwa nguvu cha kati na gumba halafu ukitelezeshe chini ya gumba gumba peleka kwenye cha shahada hapo utaskia huo mlio au wewe huujui??
 
Hii Itasaidia Sana Wale Walio Makini Na Suala Hili Ku practise Hatua Itakayokuwa Muafaka Kwa Muhusika Sababu Naamini Sio Watu Wote Wanaohitaji Kufanya Taamuli Wanaweza Kutumia Aina Moja Ya Taamuli Kwani Njia Moja Inaweza Ikaonekana Ngumu Kwa Mmoja Ikafaa Kwa Mwingine Karibu Tena Kwa Darasa Mkuu

tupo pamoja mkuu..
 
Nafikiri Nyang'omango Ana Mahitaji Sawa Na Mimi Kuonana Ana Kwa Ana Na Wewe Mkuu Rakims Ingawa Hapo Ju Anaonekana Anhitaji Kuonana Na Mwenekaya Nkulu Maana Sioni Chochote Nilichochangia Hata Kimvute Ahitaji Kuniona,so Toa Mwongozo Anayehitaji Kukuona Anakupata Namna Gani Mkuu Maana Haya Mambo Makubwa Haya Eti
 
anamuhitaji Pasco Mwenye Uzi Huu Hujamuelewa...
 
Sasa Ikifika Hatua Ya Kuonekana Zile Spirits Ambapo Unaweza Kuomba Chochote Kinachoweza Kupatikana Ina Maana Ni Kile Unachoweza Kupata Kwa Mazingira Yako bila Shaka Maana Huwezi Kuwa Dodoma Kijijini Halafu Ukaomba Upate Kumiliki Meli Ilhali Hata Baiskeli Huna Ndio Kuomba Hapo Sasa Unamuomba Nani?
 
wewe hiyo Nimeieleza Kwa Kirefu Mpaka Mwisho Yani Waweza Bahatika Kufika Stage Zote Bila Kikwazo.. Wengine Hufikia Stage Na Kuvuka Zote Hizo Na Kuingia Kwenye Mwili Wa Mtu Mwingine Kubeba Kila Anachojua Na Kujinufaisha Ni Stage Wengine Huishia Kwenye Kuona Matukio Yao Tu....... Ila hata Kama Utaomba hiyo Meli Itakuja Kama Una Pysichic Power Aina Ya dowsing-locate objects au precognition... Nitaprove hivi: Mfano Umeomba Upate Meli Eneo Uliopo Huna Uwezo Wa Kuipata Unaeza Kucheza Bahati Nasibu Kwa Precognition-events b4 happen na ukapiga jackport m 500... Hujapata hiyo boti Mkuu?
 
Ahaaa,sasa Ninazidi Kuelewa Haya Mambo Ila Sio Rahis Kama Inavyoonekana Linapokuja Suala La Practictal,ila Nafikiri Lingekuwa Jambo Jema Hili Zoezi Likafanyika Sehemu Yenye Utulivu Wa Hali Ya Juu Mno Na Sio Huku Uswahilini Tunakoishi Sasa Sijui Wakuu Rakims Na Pasco Hakuna Location Ambayo Haya Mambo Mtu Anaweza Kwenda Kufanya Meditation Hata Kama Ni Kwa Kulipia Alimradi Pawe Na Utulivu Unaofaa Mnapofahamu Ili Wadau Waende Huko?Saidia Wakuu, Sasa Kuhusu Ndoto Mimi Nimejaribu Hizo Njia Zote Mbili Kwa Nyakati Tofauti Japokuwa Sikuona Matokeo Yote Kwa Mpangilio Uliouelezea Hapo Juu Ila Kuna Hali Niliyoipata Ya Wepesi Wa Mwili Isivyokawaida Nikahisi Kuna Kotu Hapa Kimetokea Ila Leo Imekuja Ndoto Inaonyesha Nimekutana Na Watu Ninaowafahamu Na Nisiowafahamu Sehemu Niliyoenda Kwa Lengo La Kuabudu Lakini Wakaniambia Mchungaji Wangu Hawafaham Kwamba Ni Mchungaji Bali Msaka Fedha Tu Na Wala Sikuwa Na Wazo Lolote Juu Ya Hilo Sasa Hapo Ni Vp Niendelee Kwenda Kanisani Kwake Au Majibu Ndio Hayo Niliyipewa?
 
usiridhike na jibu la siku moja huo ni ubongo unaadha kufunguka hizo ndio takataka zilizokuganda wacha zianze kutoka endelea practical.. Kuhusu Sehemu Tulivu Mi Sipafahamu Wapi Wanafanya Hiyo Kitu Fanya Hivi... Key Kubwa Ya Kumeditate Ni Kufunga Inner Na Outer Chattaz Inner Chater Ni Rahic Wengi Outer Chata Huwa Inawasumbua Kufunga Kwa Sababu Masikio Muda Wote Yanasikia.. Mpaka Upractice Muda Hta Wa Siku 3 hadi 7 ukizoea Ndio Unaweza Kufanya Popote Muda Wowote jaribu kupangilia Muda Ikiwezekana Fanya Kwenye Saa 8 au 11 alfajiri Hapo Watu Wengi Huwa Wamepumzika.. Remember Always There Where A Will, There's A Way... Karibu Mkuu
 
Ok sasa umezidi kunipa mwanga katika hilo,ingawa hii njia ya pili yaani calm meditation inaonekana kufaa shida ipo kwenye hesabu zake zinarudi rivasi sasa usipokuwa makini,utarudia mara kurudia ila polepole tutafika tu,sasa kuna kitu kingine kidogo kimenipa shida namna ya kuelekeza macho uliyofumba yatazame mahali fulani yaani kama muelekeo wa paji la uso kama sijaelewa vibaya inakuwa ishu sana kwamba ukomae na uelekeo wa macho uliyofumba at the same time uhesabu kurudi chini nahisi ndio mahali pameninyanyasa sana hapo hebu toa ufafanuzi juu ya sehemu hiyo mkuu,kabla hatujahamia kwenye njia ya tatu mkuu,
 
hapo Unaangalia Katikati Ya Nyusi Zako,juu ya macho ukianza kuhesabu utaona macho yameganda hapo hapo mpaka utakapohitaji kumaliza... Usikunje sana ndita.. Just relax
 
Mimi Nahitaji Kuwapata Wote Wawili Pasco Na Rakims Kama Alivyosema Nyang'omango Ili Tupeane Mambo Mengine Kwa Kina Zaidi, Pia Mkuu Rakims Tunasubiri Hiyo Njia Ya Tatu Ya Kutumia Mshumaa Usipotee Kwa Kipindi Kirefu Kama Pasco Huku Haonekani Ukienda Kwenye Siasa Utamkuta
 
Njia Ya Tatu Naileta Ya Kutumia Mshumaa....... Soon How To Meditate By The flame Candle.................:flame:

Mkuu mbona unatupa mizuka then unatukata tena? mm binafsi ningependa unipe mwongozo wa meditate ana kwa ana yani uso kwa uso, hapa hakuna usalama wa taifa mkuu ww twambie darasa tunalipataje hili tukiwa na walimu kabisa? usiseme hujui tafadhali.
 
kwa wale mliopo dar es salaam Wasilianeni Na Pasco.. Mimi Nipo Mbali... Kikubwa Ni Kufuata Mlolongo Na Kujijua Unaji guide Vipi Kufanya Self Meditation.... Ifuatayo Ni Meditation By Candle

Rakims
 
Pasco pasco pasco uzi huu haotoshi.....naomba kukuona ana kwa ana....maswali ni mengi sana juu ya jambo hili....yapo mengi wengi wetu tunahitaji kutoka kwako mkuu wa uzi....Jitokeze Pasco.....!!
Mkuu Nyang'omango, wakati naanzisha uzi huu, nilitoa angalizo lifuatalo
Wanabodi,
Kwa kuanzia naileta tuu kwanza hii hoja hapa, ikipata watu wa kutosha, tutaomba kwa mode, ifunguliwe jukwaa lake, tutalitafutia jina muafaka, mfano, "Miujiza ya Ukweli!".

Kwa sasa nimethibitisha pasi shaka kuwa hii mada sio tuu ina followers wengi, bali pia kumejitokeza waalimu wa ukweli na wanafunzi wa ukweli, "when the student is ready, the teacher will apear!", kwa hapa tulipofika sasa, nadhani its high time Jf tukaanzisha jukwaa la "Mastering Powers", " Self Realisation" "meditations" "mind over matter", "dreams interpretations" "out of body experiences", "chakra balancing", etc, etc ili kila mwalimu afungua darasa atupige dozi.

Kwa vile mimi ndie niliyeanzisha huu uzi, wengi bado wanadhani na mimi ni mwalimu!, no!, baada ya kujitokeza waalimu wa ukweli humu, huwezi amini hata mimi nimejikuta ni mwanafunzi!.

Pasco
 
Back
Top Bottom