Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Jinsi Ya Kufanya Taamuli Kwa Mshumaa/ How To Meditate By Candle...

Fuata Hatua Zifuatazo Kufanya Meditation Kwa Kutumia Mshumaa...

Kwanza:
Mshumaa Ni Moja Kati Ya Vifaa Vikubwa Vinavyotumika Kufanya Miujiza, Inapotumika Kufanya Mema Huitwa "KISAIDIZI" Inapofanya Baya Huitwa "KISAIDIZI" Pia...
Mishumaa Ipo Aina Nyingi Na Rangi Tofauti Tofauti Na Zote Zina Maana Yake... Sipo Kuielezea Mishumaa Sana Nalo Ni Darasa Lakini Kifupi Mishumaa Inaingia Popote Kwa Lolote Husika....

Hatua:

1: Jiandae Kwa Kuoga Vizuri, Vaa Mavazi Yasiyokubana Wala Chochote Kitakachokidhana Na Damu Hata Pete Vua Au Hereni Kama Ni Nyele Fumua... Ila Kama Ni Rasta Usihofu Kaa Na Minywele Yako Ila Isiwe Inakuwasha...

2: Kaa Mtindo Wa X Au Wowote Kati Ya Nilizotoa Hapo Kwenye Aina Ya Kwanza Na Pili...

3: Sehemu Uliokaa Hakikisha Pametulia Hakuna Chochote Kitakacho Kusumbua Japo Kwa Dk 15 Hii Itasaidia Kutuliza Mind Yako Kwa Meditate Ya Uhakika...

4: Usivae Vazi Jeusi Halitakuweka Confortable Kwenye Aina Yoyote Ya Meditation Kumbuka Pia Usivae Mkanda Au Kama Huwezi Kuutoa Basi Ulegeze Ili Kila Eneo La Mwili Wako Liwe Huru..

5: Tafuta Stuli Au Chochote Ambapo Ukiweka Mshumaa Wako Utakuwa Upo Sawa Na Macho Yako.. Umbali Kati Ya Mshumaa Na Macho Uwe Centmeter 30 Na Kuendelea...

6: Vuta Pumzi Zako Mara 20 Deep Breath Huku Ukiwa Umefumba Macho Yako.. Ukimaliza Fumbua Na Angalia Moto Unaowaka Kwenye Mshumaa Wako Usiangalie Pembeni Ukitaka Kupiga Kope Piga Kawaida Ila Akili Na Mawazo Yote Weka Kwenye Moto Wa Mshumaa..

7: Tumia Mshumaa Mweupe Hauna Makuu Na Mtu, Huu Huashiria Amani... Na Ndicho Unachokitafuta Pale Ni Amani....

8: Huku Ukiendelea Kuangalia Mshumaa Wako Endelea Pia Kuvuta Pumzi Zako Taratibu...

9: Kumbuka Fikra Mbovu Weka Pembeni, Kuna Watu Huanza Kudhani Ule Mshumaa Utaanza Kufanya Mambo Ya Ajabu Weka Pembeni Hizo Mawazo...

10: Pia Kumbuka: No Imagination, No Visualization & No Creation.. That Is Your Brain Wherever You Want It To Take You Will Take You...

MATOKEO:

Ikiwa Umefuata Hatua Zote Kwa Uelewa Wa Hali Ya Kuelewa.. Kwenye Moto Au Kwa Juu Utaona Matukio Yako Yanapita Mfano Uliwahi Kuchapwa Sticks Nursery Mpaka Leo Unazikumbuka Na Zinakunyima Raha Chomelea Mbali Kwenye Moto.. Ulitongoza Au Ulitukana Inakunyima Raha Choma Pia, Uliambiwa Huna Lolote Choma, Baki Na Yale Unayoona Yanakuletea Maana.. Mfano Umeambiwa Wewe Ni Tajiri Siku Moja Lazima Utakuwa Kama Linakufurahisha Liache Yani Pale Ulipo Itakua Kama Mtu Anachoma Makaratasi Asioyataka.... Na Kila Unavyochoma Utaona Moto Unazidi, Na Ukiacha Utaona Moto Umepungua Kidogo, Ukitulia Utaona Mshumaa Umerudi Kwenye Hali Ya Kawaida... Zote Its A Work Of Power Wakuu" Believe There's Something Special Is In You... God Not Create You For Nothing Or With Nothing... Na Mungu Hakuleta Mtu Duniani Kuja Kuteseka Katuleta Tuone Neema Zake Na Uwezo Wake Tumuamini Na Tumtii.. Sasa Kama Kakuleta Kukutesa Utamuamini Vipi? think Big..! You will realize its us who make our life taugh...

Rakims....
 
sasa mkuu unazichoma vp? au unaiambia mind ichome? maana kumbuka utakuwa unaziangalia zikipita.
 
Kwa Hiyo Kwa Aina Hii Yale Mambo Ya Kuomba Kitu Fulani Hayapo Sio?Maana Nakumbuka Kuna Mahali Ulisema Ikifika Stage Fulani Unaweza Ukaomba Kitu Na Kikatokea Ndani Ya Wiki....Mkuu Rakims Liweke Sawa Hilo

ndio maana kila meditation inakuja na kutegemea umekusudia nini, ipo ya vyote hyo njia ya pili, ipo ya kuomba.. Ipo ya kujitibu, ipo ya kutoka nje ya mwili, ipo ya kuingia kwenye mwili wa mwenzio kuchota unayotaka kuyajua.. Ni nyingi na ni kubwa.. Ila ya mshumaa hukupunguzia takataka hii itakusaidia kufanya meditation zote....
 
Sio Meditation Zote Zinafungua Psychic Powers... Wakuu Zipo Nyingine Za Kuangalia Matukio Yajayo Nidarasa Pana.... Chakra Zenyewe Zipo Saba.. Kubwa Inayobeba Zote Ndio Hiyo Third Eye Ninayofundisha... By Meditate Hata Magonjwa Ya Sio Tibika Hupunguzwa Na Hata Kutoweka Kabisa...

Rakims
 
Summarize....

FAIDA ZA MEDITATION
1. Husaidia kuratibu msukumo wa damu pamoja na usafirishwaji wa damu mwilini.
2. Husaidia pumzi pamoja na kurahisisha usagwaji wa chakula mwilini.
3. Husaidia kuimarisha mfumo wa kinga mwilini.
4. Husaidia kuleta furaha ya nafsi.
5. Husaidia kuimarisha nguvu yako ya machale pamoja na nguvu zako za ziada.
6. Husaidia kutibu matatizo mengi ya kisaikolojia kwani hubadili hali ya mfumo wa fahamu na mawazo (endapo itafanywa kila siku).
7.meditationpia inaweza kutumika kuomba kitu unachohitaji,kamavile kazi au mahitaji mbalimbali,
Hatua zinazotakiwa wakati unajiandaa
Kufanya meditation ni kamai fuatavyo:
1. Tafuta sehemu iliyotulia, isiyo na makelele. Kaa kwenye kiti au chini, au lala kitandani. Hakikisha huumii mahali popote. Legeza mwili wako pamoja na misuli yote ya mwili wako kwa kadri utakavyoweza.
2. Sahau matatizo yako yaliyopita, yaliyopo na yajayo. Sahau matatizo yako ya kazini au nyumbani. Jitahidi usifikirie chochote.
3. Ni muhimusanakujali hisia zako wakati unafanya tahajudI.
4. Pumua kwa kuingiza pumzi ya kutosha mapafuni, halafu toa pumzi yote na kufanya kifua kiwekamakitupu. Weka mawazo yako yote kwenye pumzi zako
.
Aina za :meditation
1.meditation ya pumzi.
Ni kongwe zaidi. Ilianzia china naIndia. Ni tahajudi nzuri au muhimu kwa wale wanaoanza kujifunza.
2.meditation ya mkono:
Hii inakuonyesha ni kwa jinsi gani mawazo yako yana nguvu zaidi kuliko mwili. Lakini pia inakuonyesha uhusiano uliopo kati ya mawazo yako na mwili wako.
.
3.Tahajudi ya namba:
Hapa, unatakiwa kuhesabu namba kinyumenyume huku ukiwa umefumba macho. Unaweza ukaanzia 100, 99, 98, 97, 96, 0„3-mpaka 1, au unaweza kuanzia 200, 198, 196, 194, 192, 0„3-mpaka 2. hakikisha wakati unahesabu namba hizi hukosei, na ikitokea ukakosea namba yoyote hata
kamaumekaribia kumaliza, itakulazimu kuanza upya. Tahajudi hii ni nzurisanakwa kurejesha kumbukumbu, ingawa pia ina faida nyingine.
Hizo ni baadhi ya tu ya aina za meditation....

Rakims
 
Summarize....

FAIDA ZA MEDITATION
1. Husaidia kuratibu msukumo wa damu pamoja na usafirishwaji wa damu mwilini.
2. Husaidia pumzi pamoja na kurahisisha usagwaji wa chakula mwilini.
3. Husaidia kuimarisha mfumo wa kinga mwilini.
4. Husaidia kuleta furaha ya nafsi.
5. Husaidia kuimarisha nguvu yako ya machale pamoja na nguvu zako za ziada.
6. Husaidia kutibu matatizo mengi ya kisaikolojia kwani hubadili hali ya mfumo wa fahamu na mawazo (endapo itafanywa kila siku).
7.meditationpia inaweza kutumika kuomba kitu unachohitaji,kamavile kazi au mahitaji mbalimbali,
Hatua zinazotakiwa wakati unajiandaa
Kufanya meditation ni kamai fuatavyo:
1. Tafuta sehemu iliyotulia, isiyo na makelele. Kaa kwenye kiti au chini, au lala kitandani. Hakikisha huumii mahali popote. Legeza mwili wako pamoja na misuli yote ya mwili wako kwa kadri utakavyoweza.
2. Sahau matatizo yako yaliyopita, yaliyopo na yajayo. Sahau matatizo yako ya kazini au nyumbani. Jitahidi usifikirie chochote.
3. Ni muhimusanakujali hisia zako wakati unafanya tahajudI.
4. Pumua kwa kuingiza pumzi ya kutosha mapafuni, halafu toa pumzi yote na kufanya kifua kiwekamakitupu. Weka mawazo yako yote kwenye pumzi zako
.
Aina za :meditation
1.meditation ya pumzi.
Ni kongwe zaidi. Ilianzia china naIndia. Ni tahajudi nzuri au muhimu kwa wale wanaoanza kujifunza.
2.meditation ya mkono:
Hii inakuonyesha ni kwa jinsi gani mawazo yako yana nguvu zaidi kuliko mwili. Lakini pia inakuonyesha uhusiano uliopo kati ya mawazo yako na mwili wako.
.
3.Tahajudi ya namba:
Hapa, unatakiwa kuhesabu namba kinyumenyume huku ukiwa umefumba macho. Unaweza ukaanzia 100, 99, 98, 97, 96, �0„3-mpaka 1, au unaweza kuanzia 200, 198, 196, 194, 192, �0„3-mpaka 2. hakikisha wakati unahesabu namba hizi hukosei, na ikitokea ukakosea namba yoyote hata
kamaumekaribia kumaliza, itakulazimu kuanza upya. Tahajudi hii ni nzurisanakwa kurejesha kumbukumbu, ingawa pia ina faida nyingine.
Hizo ni baadhi ya tu ya aina za meditation....

Rakims

nimekupata mkuu
 
Pasco,
Thanks! I wonder how do you know these things! Umesomea? Nitajaribu ku-exercise kama ulivyonishauri. In-fact mara nyingi nimekuwa na wazo la kuwa mimi ni mtu wa kipekee ingawa bado sijawa na uhakika wa upekee huo, labda sasa umeanza kunipa mwanga! Sasa nitaanza kujifunza na ku-practice ili nione exactly what I have inside me!

NB:
Nashukuru kwa kunipa jina la ile nguvu ya pili (second sight) kwa kongezea tu ni kuwa ninapowaona watu hao walio uchi ni kweli kuwa wenyewe hawaoni wala kusikia lakini ukifanya jambo (kwa vitendo au maneno) kuwahusu wao wanashtuka na ku-take action! Hilo nimelishuhudia mara kadhaa. Mfano kuna mmoja nilimwagia maji akashtuka, akageuka na kutokomea.
Mwingine aliingia chumbani kwetu (tukiwa watoto) kupitia kwenye ceiling board, nikapiga kelele kuwaambia wazazi kuwa kuna mtu hapa ameingia chumba chetu wakawa hawamuoni, nilipokomaa kumchunguza akanipiga ngumi ya mdomoni nikapiga kelele wazazi wangu wakawa hawaamini baada ya dakika chache mdomo ukaumuka (vimba) wakaanza kuogopa na kupiga kelele kuomba msaada toka kwa majirani na tangu siku hiyo wakaanza kuniamini!

hahaha pole sana mkuu kwa kula kitasa cha mdomo ukiwa bdo unakausingizi kako katamu.
 
Haya Mkuu Takataka Zimeshachomwa Na Wachomaji Na Wengine Wanaendelea Kuchoma Sasa Tuendelee Na Somo Linalofuata,sababu Ukifundisha Ukaona Maswli Mengi Toka Kwa Hadhira Jua Somo Lilikuwa Gumu Na Ukiona Ukimya Umetamalaki Namna Hii Basi Jua Kwamba Umeeleweka Kwa Hiyo Endeleza Hatua Nyingine Ukimaliza Hiyo Tufanye Kuulizana Nani Kaona Nini Na Aliyeshindwa Kashindwa Wapi Na Asaidiwe Namna Gani,nawasilisha Karibu Wakuu Pasco Na Rakims
 
usijali tupo pamoja mkuu.. Ifuatayo Naleta Ya Kila Mtu Hakuna Atakae Shindwa.. Itakuwa Jinsi Ya Kufanya Meditation Kwa Msaada Wa Koo La Chakula.. How To Meditate By The Help Of Throat Chakra...

Coming Soon....

Rakims
 
Mkuu Rakims Pakua Vitu Hivyo Ujue Watu Wamekaa Mkao Wa Kula Maana Watu Washapigwa Sana Kwenye Vilinge Vya Waganga Na Madhabahu Za Waombaji Wengine Sasa Huku Mmesema Nguvu Zinafunguliwa Kihivi Tena Kwa Gharama Ya Bundle Tu Watu Tunasubiri Njia Za Kumeditate Ili Kudevelop Hizo Powers Tufungue Jicho La Tatu Tuone Yaliyofichika Maisha Yaendelee,karibu MKuu Utupe Maujuzi Hayo.
 
Meditation By The Help Of Throat Chakra & Hand.... Coming Soon.. Msijali Wakuu I Promise After 17hrs

Rakims
 
Pasco..! Darasa La Psychic Powers Wanafunzi Watafutie Walimu Wengine Me Nimejitoa
Maana We Talk About The Inner Powers, Na Tumeamua Kuwafundisha Light Inner Powers.. Still Tunaitwa Washirikina Me Cfundishi Tena Watafutie Ticha Mwingine.. I Quit... Ndio Maana Wengine Hawajitokezi Kwa Kuona Kila Ticher Anaambiwa Mshirikina.. Simo Humu Tena.. Acha Na Mi Niende Kwenye Chitchat, mapenzi na Siasa I Think Its All They Know.. Msiniulize lolote kuhusu powers pm.. Ctajibu i quit

Rakims
 
Back
Top Bottom