Nyang'omango
Senior Member
- Nov 6, 2011
- 194
- 87
Naomba niruhusu kukupa hongera RAKIMS kwa darasa hili....pia naomba nikupe mrejesho nyuma wangu kisha utanijulisha hiyo ni nin,cku ya ijumaa Oficin kwetu huvaa Tshart,tunazao Tshart aina tofauti tofauti na kila ijumaa lazima uvae ile ambayo uongozi umepanga,na hii ni nchi nzima,ijumaa hii ya jana nikawa nimesahau kuangalia kwenye ubao wa matangazo kuwa ni Tshart gani napaswa kuvaa ijumaa ya jana,nikawa shafika nyumbani,nikajipumzisha kidogo kitandani huku nikipumua kwa stairy uliyotuelekeza,cha ajabu nikapitiwa na usngizi nikaota Tshart ya aina furani ambayo tulipaswa kuvaa Ijumaa husika ambayo ni jana,ili kuhakikisha hilo nikaondoka nyumbani mpaka Oficin kuhakikisha hilo,Huwezi amini ndugu yangu RAKIMS Nimefika Oficin nikakuta ndio haswaa yanipasa kuvaa Ijumaa....sijakwambia mtu ila nimeleta hapa jukwaani.....asante sana.....!!