Rakims
JF-Expert Member
- Jun 4, 2014
- 5,002
- 4,571
Mkuu Rakims
Baada ya kutoka kazini na kufika nyumbani 11 Jioni nilikula chakula maana ckuweza kupata mda wa kula mchana
1. Nilikaa na kuangalia movie na kuchat, jf, n.k(mpaka dk ya mwisho kwenda kulala)
2. Magic spells nimesikia kwenye movies,(circles, vampire Diaries na the originals)na nna kama mwezi sijaangalia movies za aina hii
3. Nshawahi kuota nnakula nyama na washkaji zangu nnaowajua, na hata hii ndoto ya Jana pembeni kulikuwa na marafiki zangu nnaowafahamu. Kipindi cha nyuma kama miaka 6 nilishaota ninatoka (chumbani kwangu) na kuacha choo cha ndani kwenda kukojoa cha nje servant quota, wakati nafungua mlango was nje nkakutana na mtu kajivika manguo meupe kashikilia grill ya mlango Mimi nkakimbia kurudi ndan ila nkashindwa kufungua mlango wa kuingia chumbani kwangu kwa kuwa weak ndipo niliposhtuka.(nnaota Mara nyingi ndoto za kawaida hizi no baadhi ya zilizowahi kunisisimua)
4. Alikuwa ana umbo la kawaida ana mwili kiasi
5. Nilikuwa nimevaa boxer ina rangi mchanganyiko(blue ndo nyingi, njano kijan, nyekundu kwa mbali)
5. Nilikula viazi vya kukaanga na nyama rosti (saa 4, nkalala SAA 6)
Nb: huwa nna kawaida ya kusali kabla ya kulala na Jana sikusali
Thanx mkuu
Kwa Maelezo/Majibu Yako Unaonesha Una Power Ya Mediumship.. The Same Time Una Mi Nawaita, Maruhani, Wengine Wanawaita mashetani Pia wengine Wanawaita Mapepo.. Jina lao Halisi Ni Jinni au djinns Ikiwa Wanakuposess bac wanatumia nguvu zako psychic kukuonyesha kuwa unanguvu.. uwezo wa kuwasiliana nao sasa kuna mawili wakikuposess hawa tunaita dark power kwa kukupa mashariti kwamba fanya hivi tutakupa hiki.. Ukifungua nguvu yako utakuwa umewashusha watakuacha uwacontrol wewe, ni power nayo pia ndio hiyo mediumship kwa mfano unaweza kuwaambia nataka kitu flani watakusaidia bila mashariti wala malipo.. Yani Ni Kujijua Tu Mkuu... Swali Uliza,
#Rakims
Last edited by a moderator: