Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

:Meditation:

1: Haibagui Dini
2: Haibagui Rangi
3: Haibagui Kabila
4: Haibagui Hali =Maskini/Tajiri
5: Haibagui Uwezo =Wagonjwa/Wazima
6: Haibagui Ujinzia
7: Haibagui Umri
8: Haibagui Uzuri Au Ubaya
9: Haibagui Aliesoma Au Asiesoma
10: Haibagui Chochote..

Meditation Ni Mfano Wa Soulmate Unachopenda Wewe, Unachotaka Wewe.. Ndio Nayo Inakubali Na Kukupeleka Huko, Ukifanya Meditation Uwe Mchamungu Utaabudu Sana Ukifanya Uwe Mjukuu Wa Iblis Utakuwa Sana....
Everyone Has A Free Will The Choice Is Yours....
Nadhani Nimeeleweka Asitokee Mtu Akajihisi Genius Alete Udini Kuna Jukwaa Limeandikwa Dini/Imani Wakaanze Mjadala Wa Meditation Ni Machukizo Ya Bwana Yesu, Au Ni Makatazo Ya Uislamu Mtawapata Wengi Tu...

By #Rakims
 
Ushauri mzuri sana huu tunaomba uzingatiwe na wale wenzetu walio na shauku ya kujadili dini
 
Vipi Mkuu Tuendelee Kwa Topics Au Kwa Types Na Results?????

#Rakims

Endelea, mkuu ... Mimi kila nikitulia kufanya meditation, huwa napenda kufanya nikiwa nimefumba macho, so huwa nikitulia sana huwa naona mfano wa mawingu meupe yanakuja usoni mwangu, yaani kama mfano wa mtu ambaye amekaa sehemu yenye moshi mwingi mweupe, ambao huwa unakuja kutoka mbele yangu, kunielekea mimi. Pia sometimes huwa naona kama nyota inayong'aa, inaweza ku-shine mara moja, then inaondoka, nikiendelea ina-shine tena kisha inaondoka. Je, inaashiria nini ? Ninafanya vizuri au nakosea ?
 
:Meditation:

1: Haibagui Dini
2: Haibagui Rangi
3: Haibagui Kabila
4: Haibagui Hali =Maskini/Tajiri
5: Haibagui Uwezo =Wagonjwa/Wazima
6: Haibagui Ujinzia
7: Haibagui Umri
8: Haibagui Uzuri Au Ubaya
9: Haibagui Aliesoma Au Asiesoma
10: Haibagui Chochote..

Meditation Ni Mfano Wa Soulmate Unachopenda Wewe, Unachotaka Wewe.. Ndio Nayo Inakubali Na Kukupeleka Huko, Ukifanya Meditation Uwe Mchamungu Utaabudu Sana Ukifanya Uwe Mjukuu Wa Iblis Utakuwa Sana....
Everyone Has A Free Will The Choice Is Yours....
Nadhani Nimeeleweka Asitokee Mtu Akajihisi Genius Alete Udini Kuna Jukwaa Limeandikwa Dini/Imani Wakaanze Mjadala Wa Meditation Ni Machukizo Ya Bwana Yesu, Au Ni Makatazo Ya Uislamu Mtawapata Wengi Tu...

By #Rakims

Ni sawa lakini Watu Wa meditation huwa hawana imani na mungu.
 
Rakims# Naomba ufafanuzi# Jana nimeota nipo ktk shimo la mgodi wa dhahabu na dogo ambaye sikumjua mara tukapata bonge la dhahabu lkn tulipoigonga ndani ilikuwa udongo, nikajikuta nabatizwa na mchungaji wangu ila ubatizo haukuusisha maji ila ni maziwa ya Ng'ombe na nilifanyiwa hivyo kwakuwa nimemaliza mafunzo ya imani ya kikristo
 
Endelea, mkuu ... Mimi kila nikitulia kufanya meditation, huwa napenda kufanya nikiwa nimefumba macho, so huwa nikitulia sana huwa naona mfano wa mawingu meupe yanakuja usoni mwangu, yaani kama mfano wa mtu ambaye amekaa sehemu yenye moshi mwingi mweupe, ambao huwa unakuja kutoka mbele yangu, kunielekea mimi. Pia sometimes huwa naona kama nyota inayong'aa, inaweza ku-shine mara moja, then inaondoka, nikiendelea ina-shine tena kisha inaondoka. Je, inaashiria nini ? Ninafanya vizuri au nakosea ?

safi sana mkuu me bado sijaanza pilika nyingi
 
Kwanza Nakupa Hongera Kupata Moja Ya Matokeo Mazuri..

Pili Nakupa Pole Kwa Kukimbia Kile Ubongo Unachotaka Kukuonyesha..

Tatu Maana Yake: Unapoona Mawingu Ujue Third Eye Chakra Inaanza Kufunction, Yale Mawingu Ukiendelea Kufanya Meditation Bila Kuyachunguza, Yataanza Kukuretea Picha Kwa Kujikusanya..

Ukiona Nyota.. Hii Hutokea Kwa Watu Ambao Wana Spirits Pia Ndani Yao Yani Majini.. Lakini Pia Inapotokea Hii Upande Wa Meditation Tunaitwa Spirits Ambazo Zikingaa Kama Nyota Nyota Na Kupanda Juu Basi Hapo Ndio Upo Katika State Ya Kuomba Chochote Na Ukakipata..
Endelea Mkuu Ni Dalili Tu Bado Hujafungua..

#Rakims
 
Ni sawa lakini Watu Wa meditation huwa hawana imani na mungu.

Umeshinda Mkuu.. Basi Kaa Pembeni Usiwafate Utapotea.. Maana Imani Yako Ndio Imekutuma Hivyo Sisi Hatukulazimishi Kuamini Meditation Ni Haki Ya Kila Mtu,.. Sisi Pia Tunadini Tena Tupo Radhi Kuzipigania.. Umenikumbusha Tukio Moja Jamaa Alisema Mimi Simezi Dawa Za Marelia Alietengeneza Sio Dini Yangu Huwa Hasali Na Mimi...
We Pita Tu, Tuache Sisi Tupotoshane..

#Rakims
 
Rakims# Naomba ufafanuzi# Jana nimeota nipo ktk shimo la mgodi wa dhahabu na dogo ambaye sikumjua mara tukapata bonge la dhahabu lkn tulipoigonga ndani ilikuwa udongo, nikajikuta nabatizwa na mchungaji wangu ila ubatizo haukuusisha maji ila ni maziwa ya Ng'ombe na nilifanyiwa hivyo kwakuwa nimemaliza mafunzo ya imani ya kikristo

Kwa Psychic Powers Mtu Akiota Aina Yoyote Ya Madini Ni Matokeo Mazuri Katika Maisha Yake,..
Kuhusu Kuoga Maziwa Hii Ipo Budhism Kwamba Wao Kuoga Maziwa Ni Kuoga Mfano Wa Ngekewa Kufuta Nuksi Na Kujitakasa..

Ila Kwa Imani Yangu Kuchezea Chakula Sio Sahihi Ni Makosa.. Jiangalie.. Sijui Kwa Imani Yako..

Ya Kwanza Nimekujibu Sahihi Hii Ya Pili Sina Imani Nayo Haipo Kwenye Light Psychic Power..

#Rakims
 
Kwanza Nakupa Hongera Kupata Moja Ya Matokeo Mazuri..

Pili Nakupa Pole Kwa Kukimbia Kile Ubongo Unachotaka Kukuonyesha..

Tatu Maana Yake: Unapoona Mawingu Ujue Third Eye Chakra Inaanza Kufunction, Yale Mawingu Ukiendelea Kufanya Meditation Bila Kuyachunguza, Yataanza Kukuretea Picha Kwa Kujikusanya..

Ukiona Nyota.. Hii Hutokea Kwa Watu Ambao Wana Spirits Pia Ndani Yao Yani Majini.. Lakini Pia Inapotokea Hii Upande Wa Meditation Tunaitwa Spirits Ambazo Zikingaa Kama Nyota Nyota Na Kupanda Juu Basi Hapo Ndio Upo Katika State Ya Kuomba Chochote Na Ukakipata..
Endelea Mkuu Ni Dalili Tu Bado Hujafungua..

#Rakims

Ahsante, mkuu ... Tatizo linalonikabili, mawazo yanazidi sana wakati niki-meditate, mpaka nashindwa kutulia. Jingine, kuna jamaa yangu alikuja kazini kwangu, katika mazungumzo yetu mimi na yeye, nikamgusia aina ya project ambayo natarajia kufanya, ile habari ikamvutia na yeye akasema ataifanya pindi mwezi huu ukiisha. Kwa kweli lazima nikiri kuwa sikupendezwa na ile hali ya kuibiwa idea yangu, nikabaki kujilaumu mwenyewe. Lakini la ajabu sasa, usiku nilipolala, akanijia mtu ndotoni, akaniambia unataka kuzuia jamaa yako asiifanye ile project ? Nikamjibu ndio, akaniambia chukua kipande cha kamba ya aina yoyote, nuia unachotaka kiwe, yaani nuia kwamba jamaa asiifanye ile project, kisha ifunge kitanzi uiweke sehemu, hatofanikiwa na hiyo project mpaka utakapoifungua hiyo kamba ..!! Kisha nikastuka usingizini ..!!! Je, na hii nayo ni kitu gani, mkuu ??
 
Napingana na wewe kwa asilimia miamoja juu ya hili la dini hasa dini ya kikristo kwa Bahati nzuri nimeona watu wakipona magonjwa vilema wakitembea vipofu wakiona. Na kati ya haya mengine hata Mimi nayafanya wala hivyo vitabu sijawahi kuvisoma

Nachodhani wewe unazungumzia nguvu zakichawi hizo sawa ila jina la YESU halifananishwi na chochote duniani ukibisha nitafute nikuonyeshe
 
Back
Top Bottom