Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Pasco sijui hata ni kwa nini sikuona hapa.
Mi natamani kufanya miujiza niombee watu wapone, nikemwe mapepo yakimbie. Hiki kipawa najua ninacho ila kinakosa palizi au rutuba.
Nisaidie hapa. Mwisho wake nataka niwe na kundi langu..........
Sasa hicho kiingilish sikijui uniwekee kwa kilugha hiki.

Last edited by a moderator: