Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Wakuu zangu naombeni msaada wa maelezo kuhusu maswala haya:TOKA 2003 mpaka leo hii huwa naota ndoto kuu nne..1-nacheza mpira nimeota si chini ya mara 50..2-nasafiri kwa kupaa angani nimeota si chini ya mara 50..3-napigana na majini ama watu wa kawaida hata wakiwa mia nawashinda mara nyingine huwa nawakimbia kwa kupaa hawanikamati au mara nyingine najigeuza vampire mwene makucha nawapiga nimeota si chini ya mara 30..4-niko shule darasani nasoma ama nimetoka shule au watu wananena lugha tofauti tofauti ngeni lakin zote najua wanachoongea nimeota si chini mara 40 TAFADHARINI KWA WENE UJUZI NA MAMBO HAYA NAOMBA MAANA ZAKE mana zinaninyima raha maisha haya..#pasco kaka..#rakims kaka na wenineo.

Kaaaaziii kweli kweli,I think hapo Rakim atatoa msaada
 
Wakuu zangu naombeni msaada wa maelezo kuhusu maswala haya:TOKA 2003 mpaka leo hii huwa naota ndoto kuu nne..1-nacheza mpira nimeota si chini ya mara 50..2-nasafiri kwa kupaa angani nimeota si chini ya mara 50..3-napigana na majini ama watu wa kawaida hata wakiwa mia nawashinda mara nyingine huwa nawakimbia kwa kupaa hawanikamati au mara nyingine najigeuza vampire mwene makucha nawapiga nimeota si chini ya mara 30..4-niko shule darasani nasoma ama nimetoka shule au watu wananena lugha tofauti tofauti ngeni lakin zote najua wanachoongea nimeota si chini mara 40 TAFADHARINI KWA WENE UJUZI NA MAMBO HAYA NAOMBA MAANA ZAKE mana zinaninyima raha maisha haya..#pasco kaka..[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Rakims]#Rakims [/URL] kaka na wenineo.

Una kitu kinaitwa Spirit Ndani Yako Ambayo Huwa Active Ukilala Kuna Kulala Kwa Aina Mbili Spiritual na Body Sleeping Mwili Ukilala Peke Yake Spirit Inaamka Na Spirit Ikilala Mwili Unaamka Ukibahatika Kuvilaza Vyote Ndio Utaskia MTU Anaamka Asubuhi Anasema.. Dah! Leo nimelala usingizi mnono fofofo... Una Spirit Ambayo Ni Jini Ndani Yako.. Yawezekana ni Mzimu au Joni Wa Kawaida Anataka Umtambue Ndio Maana Hukuretea Ndoto Hizo Na Hukupigania Wanapokuja Wachawi.. Utakuja Zurika Usiku Maana Na Yeye ni Kiumbe kuna Siku Atachoka Kama Unalala Bila Kuomba Mungu Utazurika.. Watakiwa Umfuatilie Ili Ndoto Ziwe Name Maana.. Kitaalamu Tunasema Hongera Una power Ya Medium ship...

#Rakims
 
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=rakims]#rakims [/URL]

kaka #rakims nashukuru kwa maelezo yako mazuri ila niweke wazi kana kwamba unamfundisha mtoto wa awali.. MAISHA YANGU YOTE NIMEAMINISHWA NA NIKAAMINI KUWA MAJINI NA MIZIMU NI SEHEMU YA SHETANI NA hii joni sihifahamu imekuwaje tena unanipa hongera ya kuwa na mizumu ama sijakuelewa kaka?
 
kaka#rakims nina maswali meng sana usinichoke pia hyo Medium ship iko vp?ama ni nguvu ya namna gani?na umeniambia nimfatilie ili nijue uwepo wake ni jinsi gani ya kumftatilia? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . , , . , , . , .0. . . , , ,0, . . . . , .0. ,
 
kaka [URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Rakims]#Rakims [/URL] nashukuru kwa maelezo yako mazuri ila niweke wazi kana kwamba unamfundisha mtoto wa awali.. MAISHA YANGU YOTE NIMEAMINISHWA NA NIKAAMINI KUWA MAJINI NA MIZIMU NI SEHEMU YA SHETANI NA hii joni sihifahamu imekuwaje tena unanipa hongera ya kuwa na mizumu ama sijakuelewa kaka?

Nakupa hongera kuwa na power.. Joni nimekosea kuandika nilitaka niandike Joni... Kuhusu ushetani.. Ushetani utakuja pale kutakiwakutoa kafaa ili upate kitu.. Na power ni pale unapofanya kitu bila kutegemea kulipa

#Rakims
 
kaka#Rakims nina maswali meng sana usinichoke pia hyo Medium ship iko vp?ama ni nguvu ya namna gani?na umeniambia nimfatilie ili nijue uwepo wake ni jinsi gani ya kumftatilia? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . , , . , , . , .0. . . , , ,0, . . . . , .0. ,

In Rahisi tu, ukishajua power yako huyo atajipendekezanakujtambulisa kwako.... Medium ship ni aina ya nguvu walionayo baadh ya watu ambayo humuwezesha kuwasiliana na kiumbe tofauti na yeye mfano Joni,malaika,mdudu au mnyama,maiti au msukule n.k

#Rakims
 
N.b Kwa Yeyote Yule Mwenye Power.. Power ulionayo Hindi utakavyo itumia ndio utaifanya ionekane ya kishetan au imetoka kwa muumba....

#rakims
 
Pasco kuna sehemu alicomment sijui alitumia panic au vipi kwenye uzi wake alidai kuna nguvu mbili ndani yetu kitu ambacho si kweli katika dini zote kwamba inside us kuna break & build powers au kuna light and dark power hapo nakataa kwa kishindo kikubwa.... Naipast hii jf...

Sasa c uweke unachojua hapa ili tuchambue pumba na mchele?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Pasco
...mathalan
unagundua baadhi ya
watu waliokuzunguka
wako kinyume na
wewe!, au kuna hiyo siku
wife alitoka party ya
kazini, sixth sense
imekuambia mwenzako
"tayari" ili kukuzuga,
ajajifanya yuko "high!"
akihitaji huduma!. "Mzee"
aligoma! lakini
aliamshwa!, na kwenye
"game" ilibidi ajitahidi
sana na ku fake "kufika"
mapema kuliko
kawaida!. Kupitia
mazoezi hayo, unaweza
kudistinguish "kufika"
kweli na "kufika" fake ili
kunizunga!.
Unakuja ile genuine trust,
love na happyness
inayeyuka kwa kujua you
are cheated!...

...dah!...hapa kwa 'wife' nikama umeunitonesha kidonda,ilishawai kuntokea na kila nikiikumbuka hiyo siku nakuwa sina hamu kabisa na mwenzangu...
Au anakuja na vidonge vya panadol macho mekunduu anadai anaumwa kichwa.Dah,ndoa...!
 
Last edited by a moderator:
mkuu,tafadhali nahitaji kuwa kwenye group,50 tayar?
Zipo 7 lakini Kwanza Soma Huu Uzi Wa Pasco Uelewe Wote Baada Ya Hapo Soma Wangu wa Mwanzo Wa Meditation Halafu Soma Hizi Comments za watu Na Majibu Yao Mawazo Yao Na Majibu Ya Viongozi... Idea Itakuwa Imejaa Baada Ya Hapo Ndio Nione P.m Nikuweke Group....

#Rakims
 
Mkuu Pasco sina lakukuuliza kwa sasa.. ila upo vizuri. Be blessed hizi nondo sijawahi kutana nazo kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom