Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Sorry Mate Sio Nakupinga Ila UKWELI Ni Kwamba Lucifer Hakuwa Malaika Alikuwa Ni Jini.. Malaika Wa Mungu Hawapingi Kile Anachosema Mungu Hawakupewa FREE WILLS wao asemacho mungu ndio hicho hicho kwa.. Lucifer Ana Material Ya Moto Ndio Maana Aliweza Kupinga Maana Alipewa FREE WILLS....

Source Ya Mungu Ni Nyingine na anaijua yeye tu Mkuu..

Lucifer Hakujiumba Aliumbwa na mungu kwa hiyo usiseme mwanzo wa mungu ndio wa lucifer....

kwamba wanazidiana nguvu hiyo haipo mungu ni alpha na omega kama ulivyonena sasa kama ni alpha na omega means vingine vyote vipo chini yake tena havimkaribii hata robo.....

"Rakims"

Mkuu Rakims,tunazo ulimwengu mbili, ulimwengu wa mwili, physical world, na ulimwengu wa roho, spiritual word. Kwenye ulimwengu wa mwili, ndiko hapa tulipo, tunapoonana physically na kugusana etc, mwili ukishakufa ndipo unahamia katika ulimwengu wa roho.

Kama ulivyo ulimwengu, miili yetu nayo inazo sehemu mbili kuu, the physical body, ambao ndio mwili huu wa nyama, na the spiritual body ambao ni mwili wa roho, astral body.

God, devil, malaika, majini, wanga, mashetani, ni spirits hivyo they act on spiritual bodies. Lucifer ndie alikuwa malaika mkuu, anaitwa malaika pale tuu anapotenda mema, lakini anapotenda maovu ndio huitwa shetani, majini pia ni hao hao malaika na ndio hao hao mashetani, jini la ulinzi au la mafanikio ndio malaika wema na jini la maangamizi ndio mashetani, the dividing line between malaika na jini ni very thin so does the dividing line between Mungu na shetani, na nguvu za Mwanga na nguvu za giza.

Nguvu za mwanga ni wale wote wanaotumia nguvu za Mungu kutenda mema, sala, maombezi, uponyaji, mafanikio, etc, ila pia shetani nae ana nguvu na ana penda sana kuji disguise kama ndie Mungu, hivyo wapo wanaotumia nguvu za giza kufanya maombezi, uponyaji au kupata mafanikio huku wakilitaja jina la Mungu jut to make believe kuwa ni Mungu, lakini kiukweli ni shetani!.

Utawatambuaje hawa kama ni miujiza ya nguvu za Mungu au ni miujiza ya nguvu za giza au za shetani, utawatambua kwa namna mbili tuu.

1. Matendo yao: Ukiwafuatilia utawakuta wanahubiri Neno la Mungu madhabahuni, tuu, lakini nje ya madhabahu, wanatafuta utajiri, ni wazinzi na waasherati wakiendekeza ngono, utawaona wakivaa mawazi nadhifu ya kuonekanika, wakitembelea magazi ya kifahari, wakimiliki utajiri mkubwa majumba, madhahabu, fedha na vitu vingine vya kuonekanika, huku wakilipia airtime mahubiri yao yaonekane kwenye ma TV huku kistari ya mbele wakiwapanga matajiri etc!. Wahubiri wanaotumia nguvu za giza wako arrogant na huhubiri kwa ku shout!, Wahubiri wa kweli wanaotumia nguvu za mwanga wako humble and down to earth!, huomba kwa kuzungumza na Mungu, very sofltly and humbly!.

2. Mafanikio, miujiza, uponyaji toka kwa Mungu ni unconditional! tunaokolewa kwa neema tuu na sio matendo, ukipona utaambia imani yako ndio imekuponya na credits zote za uponyaji zsiende kwa Mungu, lakini uponyaji, au mafanikio ya nguvu za giza ni conditioner!, utaambiwa ili upone lazima ufanye abcd!, lazima usali kanisa fulani, mhubiri yule hujifanya yeye ndio mwenye hizo nguvu za uponyaji hivyo wewe umtegemee yeye, na sometimes huandamana na material things, maji ya baraka, mara leta nguo,mara jishike hapa ili mradi lazima utawekewa conditions na the bottom line ni sadaka!, makusanyo!.

Mungu alipotuumba ulitupa Umungu hivyo yupo ndani yetu spiritually na kila muujiza wa kweli wa Mungu, comes from within!. Shetani nae ni spiriti ila yuko without, anajitahidi sana akuingie ili Roho wa Mungu akutoke!, Mungu na shetani hawakai pamoja, hivyo ukimpokea shetani, umempoteza Mungu!, kuna wengi wetu wanamtumikia shetani bila kujijua wakiamini kuwa wanamtumikia Mungu!.

Pasco.
 
kaka yangu mpendwa naona escrow inaendelea kukuneemesha,kwenye mada naona unajichanganya kdogo,umesema shetani alikuwa ni malaika mkuu,hapa it meanz ukuu wa umalaika wake ni cheo tu lakini ni malaika kama wenzake,ukaja kusema kuwa dividng line kati ya jini na malaika ni narrow,kwa logic ya kawaida it meanz malaika na shetani hawana tofaut kubwa kiuwezo ukiacha tabia,sasa kwa logic ya hapo juu ni kuwa unataka kusema the line dividng malaika na mungu ni ndogo kitu ambacho nashndwa kukuelewa,tafadhal rudi utoe ufafanuz
 
Yes, nina maana shetani hapo mwanzo alikuwa malaika!, alipoasi, alifukuzwa tuu mbinguni lakini hakunyanganywa powers zake!. Tofauti kati ya shetani na malaika ni majukumu tuu, lakini make up, is the same kila kitu!.

Pasco
 
Pasco kuna kitabu niliwahi kukisoma zamani na kujaribu kupractise nikawa naona kama inakuwa kweli.ni vitu vya kawaida ila ni rahisi kutokuvifanya kwa kujisahau
Inahitajika kuupa ubongo chakula chake kikuu ambacho ni oxygen then utaongeza thinking capacity against mambo yanayokuzunguka.
Namna ya kulala,Kujenga imani,kupata utulivu wa rangi na fresh flowers vyote hufungua milango ya nguvu hizi
Pia kutoa kiasi ya ulichonacho kws wahitaji hukuongezea,hii niliijaribu nikiwa chuo na ika-work out siku hiyo hiyo.kwa kifupi huwezi kupata zaidi kama hutumii(refer Bill Gates)
Mtu anayepractise njia hizi ile kumtazama tumgonjwa anaweza kujua kama atapona au la..bila kujali muonekano wake wa nje
Hakika nilifikia mahali nikasema ukiacha bible that was my second favourite book...

Kinaitwaje hiko kitabu????
 
Last edited by a moderator:
SOURCE YA POWERS ZA MUNGU NA SHETANI:

Mwenyezi Mungu Kabla Ya Kuumba Aliumba MBINGU Na Ardhi Sikuwepo Lakini Ndio Ukweli Ulivyo Kisha Akaumba Viumbe Ambao Ni Malaika Kwa Kuamuru Nuru Yani Mwenyezi Mungu Akisema "Kuwa Jambo Linakuwa" baada ya hapo akaumba mazingira yaani mimea,wanyama,wadudu n.k except binaadamu na majini....

baada ya mazingira ndipo akaumba majini na kuwakabidhi ulimwengu na kuwawekea vipower vya kuwasaidia kuishi duniani hapa... katika kuumba mwenyezi mungu aliwapa malaika akili tu... lakini wanyama akawapa matamanio...

baada ya kuumba majini akawapa vitu viwili matamanio na akili nao aliwaumba kwa moto... baada ya kuwepo kwa wingi wa miaka majini walianza kumuasi mwenyezi mungu...

wakuu siongelei dini ya mtu hapa naongelea kuzitafuta tofauti ya power za mwenyezi na shetani...

Walimuasi Sana Ikafikia SEHEMU mwenyezi mungu akatoa kauli kwamba wakauliwe wote...

majeshi ya malaika wakashuka duniani na kuuwa kila jini waliemuona mbele yao waliwauwa wengi sana lakini kwa kuwa mwenyezi mungu ni mjuaji zaidi katika kuwapa kipower majini aliwapa kipower cha kuingia popote kama moshi bila kupaharibu ndipo hapa walipokimbia wengine kwenye miamba matumbo ya wanyama na baharini ambapo malaika hawana amri ya mungu kufika maeneo hayo...

walipoona wameenda mule walikaa sana majini ndani ya maeneo hayo kwa kuwa majini ni survivals wa miaka mingi waliweza kujificha kwa muda mrefu hadi pale ilipotoka amri ya mwenyezi mungu kwamba waachwe.. wakati vita inaendelea malaika walikikuta kitoto jini(JINI) Hakihusiani kabisa na Malaika NI KITOTO JINI...

Ambacho walikibeba na kumuomba mwenyezi mungu atoe hukumu kuhusu kitoto kile mwenyezi mungu akaamuru kuwa katika majini chenyewe kakiumbia kwa ulimi wa moto sio moto kama majini wengine hivyo alijua mwenyezi mungu kwa nini kakiumba kwa ulimi wa moto akawaamuru wakilee...

baada ya kupita muda mwenyezi mungu aliwakusanya malaika wake na kitoto jini ambacho ndio unaemskia leo shetani au jini wakati bado yupo mtoto mambo haya yanaendelea... mwenyezi mungu akawaambia malaika wake nitamleta kiumbe atakaeishi humo duniani na watazaliana hadi siku ya mwisho....

malaika wakajibu "ewe mola wetu unataka kumleta kiumbe atakae fanya maasi ya kumwaga damu na machafuko katika dunia yako"?

mwenyezi mungu akawaijibu "hakika mimi ninayajua msioyajua yaliopo mpaka ndani ya nyoyo zenu nayajua"

malaika wakamwambia umetakasika ewe mjuzi wa wajuzi...

mwenyezi mungu akamuumba adamu kwa neno kipindi adamu yupo dongo kitoto jini kilikuwa kinachezea mwili wa adamu kwa kuingia mapuani kutokea kwenye kila tundu la mwili....

vile kililelewa kimalaika na kujua historia yake na kukua kikawa kichamungu sana nikisema "abasajda" waislamu wanamjua sana alikuwa ni mwingi wa kusujudu na kumuomba mungu yeye ndo yeye hadi baadhi ya malaika akawashinda..

ilipofika wakati adamu alivyokamilika likalia la mgambo mbinguni na wakaitwa malaika woote na kuambiwa leo ni siku ya kumtambulisha kwenu kiumbe mpya adam niliemuumba kwa udongo nikampa vitu viwili akili na matamanio...

kisha akawaita wanyama wote wa duniani na viumbe wengine na kuwaamuru malaika wawataje ni kina nani??

"malaika wakajibu umetakasika wewe mjuzi wa wajuzi sisi hatujui lolote ewe mola wetu"

ndipo mwenyezi mungu akamuamuru adamu awataje viumbe wale adamu kama tape recorded akaanza kuwaolodhesha kwa majina... lugha aliotumia kuwataja ni moja ambayo tutaizungumza sote siku ya mwisho... wanaijua wachache miongoni mwenu lugha hiyo ambayo haileti maana ukitoa yake herufi hata moja....

baada ya kuwaorodhesha ndipo mwenyezi mungu akawaambia malaika wote wamsujudie ikiwemo abasajda ambae alishasali duniani kila sehemu unayokanyaga wewe yeye alishasali... malaika wote wakaenda chini kumsujudia adamu sasa hapa ndipo jina la shaitwan au shetani ibilis likaanzia hapa kwamba aliehasi... ni vibaya sana na ni machukizo kumuita binaadamu mwenzio shetani maana yeye bado ananafasi ya kutubu kurudi kwa muumba wake ndio maana wewe uliemuita pasco wakala wa shetani ulinikwaza sana kuhukumu nyama hai...

mwenyezi mungu akamwambia ewe ibilis yani ulieasi mbona humsujudii adamu?

kwa majigambo ya umbo ibilisi akasema ewe mola wangu mtukufu siwezi kumsujudia huyo japo tunafanana sifa za matamanio na akili ila umbo yeye ni udongo na mimi ni moto tena ulimi wa moto.....

ndipo hapa mwenyezi mungu akamwambia imelaaniwa na adhabu yako ni moto wa ajabu uwakao

"ibliis akasema nakuomba ewe mola wangu unipe uwezo wa kuniweka hadi mwisho wa dunia na nitawapotosha wote wa kama huyu....

"Ndipo Mwenyezi Mungu Akamwambia Utawapotosha lakini sio wa kwangu na nimekupa nafasi ulioomba lakini laana yangu ipo juu yako na moto uwakao unakusubiri"

kwa mwenye kupenda kisa hiki nitakiendeleza lakini Jibu Lako Mkuu PASCO liko hapa kwamba power ya shetani kapewa kipawa kidogo cha kupumbaza na kuwepo hadi kiama akili na matamanio na inguvu kidogo ya kichawi na aliempa ni mungu...

makazi yako ya shetani utakaa nae motoni na nyote mtakula adhabu ya milele

na

makazi yako na mwenyezi mungu atakuwepo akikuangalia kwa karibu sana peponi na kule hakuna kutubu wala kusali tena ni starehe mtindo mmoja lakini hutamuona mola wako kwa macho daima na hii imani uwe nayo ili siku shetani akikwambia mimi mungu mwambie ametakasika mola wangu asiyeonekana milele...

N.B
Mwenyezi mungu ni mkali wa kuadhibu jichungeni.....

#Rakims

Japo nafurahia kupata elimu lakini naona tofauti kati ya Pasco na Rakim ni za kiimani,mnaelimisha vizuri lakini kuna chembe za mapokeo ya mafundisho tofauti katika kila imani ya mmoja na mwingine,ndo maana muafaka sijauona bado
 
Mimi na Rakims tuko sawa in principles, tofauti zetu mmoja ni Mkisto na mwingine ni Muislamu!.
Wakristo na Waislamu ni watoto wa Baba mmoja Nabii Ibrahim.
Pasco
 
Mimi na Rakims tuko sawa in principles, tofauti zetu mmoja ni Mkisto na mwingine ni Muislamu!.
Wakristo na Waislamu ni watoto wa Baba mmoja Nabii Ibrahim.
Pasco

Tukishafikia tu hapo ndipo hua natafakari kwa kina nakosa jibu.mwingine husema muislam hafai na muislamu husema mkristo ni khafiri hafai,binafsi naamini tunaenda kumoja kupitia njia tofauti...ila naamini alichosema pasco katika uzi huu,kiukweli mara kadhaa ukitest kutumia power iliyo ndani yako kama kuomba jambo fulani na ukaamini,mwisho wa siku ulichoomba hujikuta kinajipa bila ww kujua na unastuka ya kua kuna siku uliwahi kulitiisha jambo hilo katika maisha yako.isipokua penye mtihani ni kwenye IMANI..hapa ni kizungu zungu kwa wengi
 
Yes, nina maana shetani hapo mwanzo alikuwa malaika!, alipoasi, alifukuzwa tuu mbinguni lakini hakunyanganywa powers zake!. Tofauti kati ya shetani na malaika ni majukumu tuu, lakini make up, is the same kila kitu!.

Pasco

tafadhali pasco,nataka kujua tofauti kati ya malaika na mungu,usiöne narudia rudia,kuna connectns natafuta,tafadhali rudia swali langu hapo juu
 
Sorry Mate Sio Nakupinga Ila UKWELI Ni Kwamba Lucifer Hakuwa Malaika Alikuwa Ni Jini.. Malaika Wa Mungu Hawapingi Kile Anachosema Mungu Hawakupewa FREE WILLS wao asemacho mungu ndio hicho hicho kwa.. Lucifer Ana Material Ya Moto Ndio Maana Aliweza Kupinga Maana Alipewa FREE WILLS....

Source Ya Mungu Ni Nyingine na anaijua yeye tu Mkuu..

Lucifer Hakujiumba Aliumbwa na mungu kwa hiyo usiseme mwanzo wa mungu ndio wa lucifer....

kwamba wanazidiana nguvu hiyo haipo mungu ni alpha na omega kama ulivyonena sasa kama ni alpha na omega means vingine vyote vipo chini yake tena havimkaribii hata robo.....

"Rakims"

Rankim hii umeitoa wapi? Ndio kwanza naisikia kwako!
 
Rankim hii umeitoa wapi? Ndio kwanza naisikia kwako!

Si Kazi Yangu Kushawishi Wala Kubadili Mtu Wala Kuchochea Chochote Bali Natoa Experience Nilionazo Katika SUALA la Powers... Wewe Pia Unahaki Ya Kuongea Kile Ulichoexperience Usiigize Cha Mwenzio Hata Kama Utakuwa Sahihi Hautakuwa ABSOLUTELY Maana Hukufanya Fikra Pevu Hivyo utakapo hitajika kukifikisha sehemu hautakifikisha sawia kwa maana sio chako...

Ushauri Wangu Kwa Mwenye Kutaka Kujua Kweli Basi Lazima Aichimbe ilipo vinginevyo Atabakia Kuona Mambo Mapya Kila Siku Hali Ya Kuwa yapo siku nyingi..

Na Tukiendelea Kuingia Ndani Zaidi Na Pasco Itakuwa Kila Mtu Anavutia Upande Wake Maana NITASEMA Kwa upande Wangu na Yeye ATASEMA kwa Upande Wake Ambapo Baadae Itaondoa Maana Sahihi Ya Psychic POWERS...

Soma Kama Unataka Kujua Kweli Na Usichague Unasoma Nini Soma Ili Uelewe Usisome Ili Ujue...

NB: Kila Kitu Kipo Ubongoni Mwako Kazi Ni Kuvifungua Tu Na Kuvisoma...

"Rakims"
 
Mkuu pasco nilikuwa naidharau sana hii post yako, ila naona kuna kitu nimekipata kwa kutumia haya makitu yako, kabla sijakuuliza maswali zaidi ngoja niipitie thread nzima ili nisije uliza yaliyoishajibiwa, kwani naona kuna vitu bado vyanchanganya!

Halafu mkuu kumbe ulishawahi gongewa na ukagundua, kwa wengine hii ni ngumu kumesa labda na manguvu haya yawe na uwezo na kinicontrol hasira!
 
Si Kazi Yangu Kushawishi Wala Kubadili Mtu Wala Kuchochea Chochote Bali Natoa Experience Nilionazo Katika SUALA la Powers... Wewe Pia Unahaki Ya Kuongea Kile Ulichoexperience Usiigize Cha Mwenzio Hata Kama Utakuwa Sahihi Hautakuwa ABSOLUTELY Maana Hukufanya Fikra Pevu Hivyo utakapo hitajika kukifikisha sehemu hautakifikisha sawia kwa maana sio chako...

Ushauri Wangu Kwa Mwenye Kutaka Kujua Kweli Basi Lazima Aichimbe ilipo vinginevyo Atabakia Kuona Mambo Mapya Kila Siku Hali Ya Kuwa yapo siku nyingi..

Na Tukiendelea Kuingia Ndani Zaidi Na Pasco Itakuwa Kila Mtu Anavutia Upande Wake Maana NITASEMA Kwa upande Wangu na Yeye ATASEMA kwa Upande Wake Ambapo Baadae Itaondoa Maana Sahihi Ya Psychic POWERS...

Soma Kama Unataka Kujua Kweli Na Usichague Unasoma Nini Soma Ili Uelewe Usisome Ili Ujue...

NB: Kila Kitu Kipo Ubongoni Mwako Kazi Ni Kuvifungua Tu Na Kuvisoma...

"Rakims"

Kaka Rakim mbona unatumia nguvu nyingi kujidefend? sio kila anayekuuliza swali anataka kukukosoa, haya mambo ya imani ni bora kuelimishana zaidi na zaidi kwani kwa wengine huchukua muda kidogo kuukubali ukeri na wengine ni akina Gedion ambao mpaka immtokee yeye ndo aamini.
 
Mkuu Huenda Hujajua Text Ni Nini Text Hazielezi Hisia Za Mtu Wala Hazionyeshi Mtu Yupo Katika hali gani Labda anacheza au amechukia sijui umenifahamu? ukisoma quotes ya mtu kishari utaona yupo kishari na ukisoma kishwari utaona yupo kishwari think....

kitu kingine imani ni jambo zito sana na hamna alieimasta wewe unaweza kuwa mfia kristo au islam ukasema jambo ukaona upo sahihi lakini wenzio humo humo kwenye dini wakaanza kusema ona pimbi hiyo imeongea pumba...

Relax Dude My Mood State Normal nimeona pasco anasema tupo tofauti kimapokeo kama amelijua hilo ndio nikajitoa hapo....

"Rakims"
 
Mkuu Mpigania Uhuru, tangu nimeanzisha hii mada, wewe ndio wa kwanza mwenye higher powers, wengine tunazo tunazo ila ni za kawaida!. Hapo ulipo wewe tayari ni bilionea ila tuu, hujayatia mkononi mabilioni yako. Yi have some of top powers, hivyo mtafute Uri and off you go!, wewe sio mwenzetu!.

Hilo la astra projection, nimesoma procedure zote, nikaogopa maana kuna warning kali inatolewa kuwa ukiwa out of body, anything ikitokea kwenye ule mwili wako uliouacha, ukirudi, huwezi tena kuingia, huku nyuma utabaki tuu kushuhudia msiba!.

Hilo la pili, umejaaliwa power ya Sixth sense ya second sight - Perception outside the known human senses. Hao unaowaona ni wachawi na wanga, wao hawakuoni kama unawaona na wengine wote wasio na hiyo sixth sense huwa hawaoni!, ila akitokea mtu akapandisha mashetani, huwaona na kupiga makelele!.

Unachotakiwa
  1. Kwanza uifanyishe mazoezi ya kuicomand hiyo sense!. Kwa sasa inaibuka pale tuu wachawi wanaibuka!. Sasa fanya mazoezi kuiibua hata bila ya wachawi kwa kuanza na vitu vodogo home!. Mfano itazame saa au mobile phone, concentrate!. Then mpe mdogo wako akaifiche chumbani. Kisha ingia room, funga macho, kumbuka ile vision ya simu, fingua macho, itaopna simu ilipo!.
  2. Fanya mazoezi ya kuona vitu vingine visivyoonekane na sio mpaka wachawi!. Kwa sasa unawaona wakiwepo, then kwa mazoezi ile wakija tuu unawaona!, kisha sio tuu kuwaona wachawi bali hata wezi!, hata kama umelala usingizi, mwizi akiingia tuu kwako, unashtuka, uki will, unamuona beyond everthing!.
  3. Mazoezi haya yanaitwa Dowsing - Ability to locate objects, unachofanya ni kuichannel hiyo power ya sixth sense, sio tena kuona wachawi, bali kuona mali!. Ukifanikiwa kwenye ku locate vitu vodogo vidogo, anza na vikubwa. Take time, nenda Mererani, omba kuangalia row Tanzanite. Then angalia udongoni kulocate Tanzanite zilipo, kwa miadi ya just 10% ya thamani. Jamaa atachimba akiikuta then unafuatilia mawe makubwa makubwa!.
  4. Tafuta kitabu cha Fortune Secret cha Gellar ujifunze jinsi ya kuzichanneli hizo powers. Yeye sasa ni bilione mkubwa mwenye ma royalities kibao kutokana na kubashiri yalipo mafuta, hivyo wanachimba visima vya mafuta!. Tazama row gold, chukua ramani, saka gold, utaiona ilipo, nenda eneo husika, angalia ardhini ile gold utaiona!. Ikichimbwa, 10 percent ni yako, kwa sababu exploration costs billions!.
  5. Unaweza jikuta unazo powers nyingine kibao ila bado hujajijua!.
Pasco.

Aisee hii nimeipenda zaidi
 
Yaani watu wanaingizwa kwenye uchawi kidogo kodogo bila kujijua halafu naona ni mamia ya watu...Tunahitaji neema sana ya YESU KRISTO ikae pamoja na roho zetu.

Teh Teh teh...!
haitamki kauli mtu isipokuwa yule mwenye uzoefu nayo.. (fumbo)

"Rakims"
 
Back
Top Bottom