G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Wakuu zangu naombeni msaada wa maelezo kuhusu maswala haya:TOKA 2003 mpaka leo hii huwa naota ndoto kuu nne..1-nacheza mpira nimeota si chini ya mara 50..2-nasafiri kwa kupaa angani nimeota si chini ya mara 50..3-napigana na majini ama watu wa kawaida hata wakiwa mia nawashinda mara nyingine huwa nawakimbia kwa kupaa hawanikamati au mara nyingine najigeuza vampire mwene makucha nawapiga nimeota si chini ya mara 30..4-niko shule darasani nasoma ama nimetoka shule au watu wananena lugha tofauti tofauti ngeni lakin zote najua wanachoongea nimeota si chini mara 40 TAFADHARINI KWA WENE UJUZI NA MAMBO HAYA NAOMBA MAANA ZAKE mana zinaninyima raha maisha haya..#pasco kaka..#rakims kaka na wenineo.
Kaaaaziii kweli kweli,I think hapo Rakim atatoa msaada