Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Hapa ndo napata majibu ya maswali yangu nlikuwa najiuliza kwa muda wa miaka 6 lkn leo ndo napata majibu....
Nikiwa secondary kuna jamaa walkuwa wapo shule jiran na wo walkuwa viongoz wa dini kwa mlopitia sec mtaelewa maana ya TYCS.
Walkuwa wanakuja tunasali nao.... Na walkuwa wanafanya matendo ya kimazingaombwe......tukawa hatuwaelewi.
Mmoja anasimama nje na mwenzie anakaa ndani then mtu yeyoye anamwambia mamba yoyote huyu wa ndan....baadae yule wa nje akija anatuambia ni namba gani alimwambia.

Pia anapanga vitu mezani then unakuja unagusa chochote yule wa nje akija anasema ulchokigusa. Huyu wa nfan anachofanya ni kuangalia tu.
Na yule wa nje akija hawapean ishara zozote lkn anaeleza kilichofanyika....... Nataman kufungua power zangu kwa sasa....
 
daisy ni bookshop gani hapa Dar naweza kuvipata? nisaidie mkuu maelekezo. Pasco Inkoskaz mshana jr msaada wenu unahitajika pia.Navihitaji sana wakuu hivyo vitabu
 
Last edited by a moderator:
daisy ni bookshop gani hapa Dar naweza kuvipata? nisaidie mkuu maelekezo. Pasco Inkoskaz mshana jr msaada wenu unahitajika pia.Navihitaji sana wakuu hivyo vitabu

Nenda mtaa wa Mindu upanga nyumba ya tano kulia ukitokea barabara kuu kuna temple ya wasri lanka pale utapata vitabu anuwai na mafundisho pia
 
Last edited by a moderator:
Haya Umefika Muda Wa Kurudi Darasani Chap Chap PM namba Yako Nikuingize Whatsapp Group Ya Meditation...


"Rakims"
 
Pongezi Pasco umeleta jambo la manufaa sana; watu watambue tu ya kwamba ukiamini kiungo cha albino kinatajirisha utatajirika kwa kiungo cha albino. Ukiamini utatajirika kwa kiungo cha chura utatajirika kwa kiungo cha chura; muujiza upo kwenye ile imani na wala sio kile kinachotumiwa kuifungua milango ya imani husika. Hebu tuachane na viungo vya albino sasa tugeukie viungo vya kondoo na mbuzi; mambo ni rahisi tu iwapo waganga watawaaminisha wateja wao kuwa sasa miujiza imehamia kwenye viungo hivyo na bado watu watafanikiwa kama kawaida. Tembelea pia Quasserer Information Website | Empowering millions
 
nimejalibu kusoma huu uzi katika vitabu vyote tajwa sijaona kitabu cha kiswahili inamaana kwa wale tisiojua. kiswahili atupati fulsa ya kujua vizuri.
 
Kweli elimu ni bahari bado kuna vitu vyakujifunza ila si vyote hongera kwa mwanzisha Uzi huu
 
Kuna mama mmoja ukimuudhi akiingalia suruali yako inawaka moto! This world is full of knowledge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…