Psychic Powers: Ni nguvu za kufanya miujiza. Wengi wanazo bila kujitambua. Je, wewe unazo?

Ww ni mkimya ?,,mpole msiri?,,maana haya mambo yanaendana na tabia hiyo
 
siyo rahisi kudevelop hizi power inahitaji muda wa practise na pia uwe mvumilivu kwa sababu si jambo la siku moja it can take time...but before that start to purify your mind and body n then practuce will lead you direct to purify your soul n then those will come naturally as you keep meditating and other practice.
 
Salamu... Tafadhali naomba tafsiri ya neno BROUGWE AREA maana niliota ndoto // ufunuo miaka mingi iliyopita lakini bado nakumbuka nadhani ni message fulani kulingana na tukio husika neno hilo liliandikwa kwenye kibao kuelekea huko nilikooneshwa au kuoteshwa mambo husika na barabara ilikuwa ya lami ila inaingia kwenye Msitu... (Google search halipo)
 
Ninani hasa hawa embu wagusie kdg tu tafadhali
Ni Buddhism mkuu.. More details fika kwenye temple yao kakutane na rev. Ilukpiytiye pannasekara thero wa Dar es salaam Buddhist temple, Tanzania.
 
Ni Buddhism mkuu.. More details fika kwenye temple yao kakutane na rev. Ilukpiytiye pannasekara thero wa Dar es salaam Buddhist temple, Tanzania.
Mawasiliano yao ninapo hitaji kwenda nayapata vp ??
 
Kaka hata Mimi imepata kunitokeaaa hii halii aseee n hataarii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi huwa kuna ndoto nikiota zinatokea kwel lakin mara chache sana. Na ndoto hizo zinakuwa zinanionesha kitu kibaya kitatokea kwangu na kwel kinakuja kutokea vilevile mpk najuta kwanini sikufata ile ndoto.Nikimkumbuka mtu au nikimuwaza na yeye lazima atanikumbuka atanipigia simu au nikakutana nae accidentially. Je hiyo naweza sema ni nini.
 
Aisee zote nzuri ila nazikubali zaidi telepathy,telekinesis,precognition,faith healing,aura reading,astral projection & bilocation..

I wish i kud be....(in Yohana's voice)
 


Hii inaendana na kuweza kusoma hisia za watu, yaani reading people's feelings
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…